haha, kwani misomi yenu ya UDSM inayodai chuo chao sijui ni cha ngapi duniani.Haikuweza ng`amua?Wenzio ulaya wapo mahakamani, kurudisha elimu mbadala kwamba binadamu waliumbwa na Mungu. Hii yako ya UDSM haina hata fikra elimu mbadala kuhusu asili ya mwanadamu. Siku zote huwa nasema hii misomi yetu ni mipuuzi,miongo, inahubiri wasichokiamini wanaishi kisanii tuu. Sasa dunia inawaacha na kuwashangaa.