1. Usiulize kabisa hilo swali! Kama atajitolea kukuambia mwenyewe alikokuwa, fine! La, ni vyema kumjengea tabia ya kutoa taarifa kuwa utachelewa kabla hujachelewa.
2. Hilo la kitambi mchane tu live..ukimbembelezea sauti ndo hataona kama ni ishu. of course si kwa kumgombeza but with a stern voice...'Baby i don't like your kitambi' ama "unanenepa sana siku hizi and i don't like it..you are too young for that body!"
3. Hahaha...hapa kwa nguo mimi ni mhanga najua ushauri wangu utakuwa biased!
4. buy him! ila pia hakikisha zinaendana basi na taste yake sio unambadili mpaka yeye mwenyewe anajiona artificial!
NB: Hii ni experience yangu tu ya kwa nini sipendi mwanamke anaye control uvaaji wangu! Niliwahi kuwa na girlfriend aliyependa kunilazimisha nivae specific colours za nguo. Mwanzoni sikuwa nikijua kwa nini lakini hizo rangi hazikuwa taste yangu kabisa yani! Kumbe baadaye nilikuja kugundua ex-boyfriend wake ndo nguo alizokuwa anapenda kuvaa. Dah, nilichomfanyaaaa....