Je, wanaume tuwaulize vipi hili swali? "Ulikuwa wapi"

1. Usiulize kabisa hilo swali! Kama atajitolea kukuambia mwenyewe alikokuwa, fine! La, ni vyema kumjengea tabia ya kutoa taarifa kuwa utachelewa kabla hujachelewa.

2. Hilo la kitambi mchane tu live..ukimbembelezea sauti ndo hataona kama ni ishu. of course si kwa kumgombeza but with a stern voice...'Baby i don't like your kitambi' ama "unanenepa sana siku hizi and i don't like it..you are too young for that body!"

3. Hahaha...hapa kwa nguo mimi ni mhanga najua ushauri wangu utakuwa biased!

4. buy him! ila pia hakikisha zinaendana basi na taste yake sio unambadili mpaka yeye mwenyewe anajiona artificial!

NB: Hii ni experience yangu tu ya kwa nini sipendi mwanamke anaye control uvaaji wangu! Niliwahi kuwa na girlfriend aliyependa kunilazimisha nivae specific colours za nguo. Mwanzoni sikuwa nikijua kwa nini lakini hizo rangi hazikuwa taste yangu kabisa yani! Kumbe baadaye nilikuja kugundua ex-boyfriend wake ndo nguo alizokuwa anapenda kuvaa. Dah, nilichomfanyaaaa....

1.kuhusu kuuliza sitauliza nitaacha mpaka aniambie mwenyewe au lah YABIDI TUTENGENEZE MAZINGIRA YA KUAMBIWA KABLA
2.teh teh baby i dont like ur kitambi
3.kuhusu nguo mi napenda tu ziwe safi and a bit fashionable sio mtu unavaa kisharo hadi inaboa na sio mtu UNAVAA KAUNDA SUTI WAKATI UPO KWENYE UR LATE 20's
4.napenda sana kununua nguo za kiume i mean kumnunulia

NB.hahahahahahahahaha nimecheka kinoma
 
Kuna mmoja officemate wangu yeye alikuwa nalalamila mkewe huwa hamuulizi chochote mpk akawa anajistukia hata akirudi saa kumi na moja asubuhi mke anamfungulia mlango na hamuulizi chochote ikabidi yeye ndio aanze kumfuatilia mkewe may be ana mtu anamkeep busy ndio maana hana wivu na yeye mmewe. Kufuatilia akaona mama wa watu hana mtu ikabidi amuulize mbona nikichelewa huwa huniulizi akamwambia hata ulale nje wiki nzima sitakuuliza coz wewe ni mtu mzima unajua unachofanya watu pekee nitakaofuatilia ni watoto wangu maana nataka wawe na discipline. Ila mkewe ni mrembo sana na anajikwatua sana so jamaa katuambia bora atulie nyumbani coz mke atanyakuliwa. So sometime ni heri kuwa kimya.
 
naomba nijibu part ha mavazi tu....nadhani huna haya ya kumwambia nunua aina ya nguo unazopenda kumuona anavaa mpelekee nadhani utafanikiwa kumchange 200% kuliko kuanza kumwambia sipendi uvae hvo sipendi vile!!!

okey ni vyema kumnunulia nadhani hii itakua poa zaidi
 
Kuna mmoja officemate wangu yeye alikuwa nalalamila mkewe huwa hamuulizi chochote mpk akawa anajistukia hata akirudi saa kumi na moja asubuhi mke anamfungulia mlango na hamuulizi chochote ikabidi yeye ndio aanze kumfuatilia mkewe may be ana mtu anamkeep busy ndio maana hana wivu na yeye mmewe. Kufuatilia akaona mama wa watu hana mtu ikabidi amuulize mbona nikichelewa huwa huniulizi akamwambia hata ulale nje wiki nzima sitakuuliza coz wewe ni mtu mzima unajua unachofanya watu pekee nitakaofuatilia ni watoto wangu maana nataka wawe na discipline. Ila mkewe ni mrembo sana na anajikwatua sana so jamaa katuambia bora atulie nyumbani coz mke atanyakuliwa. So sometime ni heri kuwa kimya.

kuwa kimya ni vizuri sana lakini NI VYEMA KUZUNGUMZA NA MWENZI WAKO
 
Nimeambiwa katika maswali mwanaume anayochukizwa nalo ni hili "ulikuwa wapi" actually ukichelewa na wakati najua ratiba yako lazima nikuulize ulikuwa wapi hili swali tuliwekeje ili lisiwaudhi.

Lakini pia siku hizi wanaume wengi huwa na vitambi bila sababu za msingi ni njia ipi ya kumwambia mume/mpenzi kwamba afanye mazoezi kupunguza mwili na uzito?

Pia mavazi nyinyi wanaume inakua rahisi sana kutuambia usivae suruali au kimini au nguo ambayo hampendi ila nyinyi kuambiwa mnaona kama ni jambo zito sana.

Je, ni njia ipi ya kufuata ili isilete mtafaruku katika swala la kumbadilisha mume/mpenzi avae kitu unachokipenda na unachoona kitampendeza? Tujulishane juu ya hili.

1.Ulikuwa wapi? Kama ni mume wako lazima unajua anapokuaga siku zote.USIMUULIZE,na ukimuuliza use na 7bu.
Maana kabla yakukujibu,atakuuliza, KWANINI UMENIULIZA HIVO?
Usipomjibu hakujibu swali lako,na atahisi humuamini.

Vizuri ila sina uhakika ukauliza hv;
MBONA UMECHELEWA LEO? au ULIPITIA WAPI LEO?
anaweza akakwambia alipokuwa kama umemuuliza kistaarabu.

2.lazima ujue kwanza kitambi chake anakipe/anakifurahi au hakipendi/hakifurahii?
Maana kuna wengine kuwa na vitambi kama kina Fulani ni ndoto zao, na wengine wanaamini kitambi ni heshima.
So,kama anakipenda,kakitafuta,kakipata afu we uje umweleze habari za kukipunguza,unamtafuta ubaya.endelea tu kumpenda iviivo na kitambi chake,ukiweza msifie kuwa kitambi chake kizuri,mtu kama huyu mtaelewana.

Ila kwa ambao hawapendi na hawafurahii kitambi ila ndo ivo mahanjumati yako yamelifumua tumbo lake.
Mshauri muwe mnafanya mazoezi wote,wewe na yeye kila asubui,na umtolee mfano wa watu wanaofanyaga mazoezi asubui.
Mnunulie baadhi ya vifaa vya mazoezi,ambavyo anaweza kuvitumia hata akiwa nyumbani.
Mweleze umuhimu wa mazoezi,na akianza mazoezi usiache kumsifia.MPAKA KITAMBI KITAONDOKA.

3.Kuhusu mavazi,
Mavazi mengi ya wanaume hayana kasoro.ila kama wewe hutaki avae hivo anavovaa,nguo zake use unamnunulia wewe.
Ukimnunulia,akivaa unavotaka wewe,MSIFIAGE.
Ila kumwambia asivae nguo Fulani wakati haina kasoro ya kimaadili,haitasaidia kwa walio wengi.

4.kuhusu kubadilisha mke.
NI WEWE UNAVOONESHA KWAKE,ukionesha kumjali na kuridhika naye kimatendo zaidi na kimaneno hawezi badilisha.

Najaribu tu...
 
mtuulize kiakili sana.... Nimerudi saa sita sita usiku sema hivi... Mh.. muda unakimbia maara hii saa sita? Siku imeisha sasaaaa? Mi ntaona aibu na kujikanyagakanyagaa weeee mpaka ntakwambia mwenyewe nilikua wapi bila kuulizwaa

Nimeota kitambi sasa natisha sema hivi... Eeeeh Baba......(jina sassa hapo) naona umegain some weight... vitambi vinaua sikuhizi.... Mwenyewe ntaanza mazoezi kuogopa kufa

Nguo huipendi sema simply tu... Hiyo nguo ukivaa leoutakosa bahati, hebu vaa hii utanambia ukirudi (unanipa unayoipenda sasa hapo)

WARNING: HAYA UYASEME WAKATI NIPO KWENYYE GOOD MOOD.
 
1.kama unajua ratiba yake alafu siku hiyo akachelewa sana
2.hahah mkuu kuna watu wanatafutaga kitambi kumbe
3.mavazi ni vyema kunuliana
 
nimekuelwa mkuu
 
Wafanye kama baba yangu mungu amlaze pema. Sikuwah kumuona akigombana na mama. Kazini alitoka saa kumi kila siku lazima arudi nyumbani kwanza atuone watt wake na mke wake atapata cofee jioni na snack samoja huyo anatoka kupata bia zake apo ata akirudi saa sita haulizwi. Maza ana amani. Mara nyingine wanaenda wote japo mama hanywi.
Tatizo wanaume wa siku hizi anaamka asubui hajaona wtt anatoka kazini anaishia bar hata hajui home kukoje anarudi saa saba usiku hajui watt wamelalaje. Akiulizwa ulikuwa wapi anang'aka. Lazima niwe na wasiwasi na nitakuuliza
 
ki ukweli mkishakua na watoto wababa wengi wanadhani hilo ni jukumu la mama tu

anatoka saa 11 anarudi saa 05
watoto anawaona kimachale machale tu
 
Maswali yote hayo ni simple kuuliza kama una mume au mpenzi muelewa, simple sana, tena anakujibu vizuri kabisa huku mnacheka. Sasa mama, wewe ndio unamjua mumeo yuko vipi, hivyo utapata namna ya kumuuliza kwa kutumia akili yako kutokana na hivyo umjuavyo baba watoto wako. Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake, bali mwenye hekima ...

You Sound Good!!
 
1.kama unajua ratiba yake alafu siku hiyo akachelewa sana
2.hahah mkuu kuna watu wanatafutaga kitambi kumbe
3.mavazi ni vyema kunuliana

1.Ndo mekwambia kama akichelewa,muulize; ulipitia wapi Leo?

2.Unacheka! Wapo kibao wanahaso kutafuta vitambi!

3.Yah! Mdada,kununuliana mavazi na mapambo kunaongeza ukaribu,kufikiri mwenzio anapenda nini,umnunulie kabla hajajinunulia..
Kujua mwenzio anahitaji nini,kumpatia kwa wakati kabla hajaomba.
Lazima afe akiwa nawewe.
 
teh teh my dada lets forget about the money kwanza
kama unafanya kazi una haja gani ya ela yake so long as hakuombi
let say unapata laki 8 kwa mwezi na hakuombi hata mia yako UNA HAJA YA KUMUAMBIA AKUACHIE HELA???
kama matumizi ya home anafanya yeye yote una haja ya mia yake kweli???

tuongelee hili. JINSI YA KUMUULIZA ULIKUWA WAPI

Kweli wanaume tuna kazi aisee
 
1.Ndo mekwambia kama akichelewa,muulize; ulipitia wapi Leo?

2.Unacheka! Wapo kibao wanahaso kutafuta vitambi!

3.Yah! Mdada,kununuliana mavazi na mapambo kunaongeza ukaribu,kufikiri mwenzio anapenda nini,umnunulie kabla hajajinunulia..
Kujua mwenzio anahitaji nini,kumpatia kwa wakati kabla hajaomba.
Lazima afe akiwa nawewe.

sure mkuuu
NOTED
 
Kupangiwa nguo za kuvaa ndio sitaki kabisaaaaaa. Mambo ya kuulizwa ulikuwa wapi?, ulikuwa na nani? Nyumbani kwangu siyo kituo cha polisi na ni dalili za mke kukosa imani na mumewe na kumhisi kuwa siyo muaminifu. Mume au mke anaweza kuwahi kurudi na bado akawa siyo muaminifu kwenye ndoa.
 
mi nataka une taarifa
kutokana na michango ya hapa juu naona hili ndo suluhisho la kuuka hili swali ulikuwa wapi
toa taarifa mapema
 
nimekubali maungamo yako
ila katika mavazi najua wewe ni engeneer coz am facing the same challenge
p
P.se comply.wala usiulise ile maneno mbofumbofu.Yeye naye anapigika kwenye fani hiii au ww ndo mwenyewe
 
Kama mwanaume hataki kiilizwa.Na mimi nikichelewa ntaulizwa ulikua wapi? Just asking
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom