Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Mwanaume anayejua atachelewa kurudi kwake bila ya kumtaarifu mkewe, hana adabu.
Niwe na adabu kwani yeye mzazi wangu:what:jaribu kuiweka vizuri.
Mwanaume anayejua atachelewa kurudi kwake bila ya kumtaarifu mkewe, hana adabu.
Mmh wanaume mnajiendekeza! Yan kumwambia tu kuhusu uvaaji wake ndo mchakato wote huo!
Niwe na adabu kwani yeye mzazi wangu:what:jaribu kuiweka vizuri.
Kutafuna namaanisha kula kila mda bila utaratibu, kimeisha kabisa hadi utafikiri denti wa form 2, kuhusu ndoa nimefunga kabla hata ya kuanza kuwaza uzao wa wanangu kama miaka 6, 7 iliyopitaunasema anatafuna kama mbuzi alafu umemmis???
anyways kwa experience yangu vitambi vya wanawake havitokagi hata kwa maombi
vya bia ndo balaaa
bado kipo sema kitakua kimepungua
alafu acha uzizni FUNGA NDOA
umemmisi kwa sababu hujafunga nae ndoa
mambo mengine yanamalizwa kimasihara ingawa ndio unakuwa ukweli unahitajika. Wanawake wengi huuliza hayo maswali huku wakiwa na sauti fulani ya kukereka au kwa kupandisha sauti zao, hicho ndio kikubwa kinachotukera sisi wanaume. Uliza kwa utaratibu na upole, utapewa jibu.Nimeambiwa katika maswali mwanaume anayochukizwa nalo ni hili "ulikuwa wapi" actually ukichelewa na wakati najua ratiba yako lazima nikuulize ulikuwa wapi hili swali tuliwekeje ili lisiwaudhi.
Lakini pia siku hizi wanaume wengi huwa na vitambi bila sababu za msingi ni njia ipi ya kumwambia mume/mpenzi kwamba afanye mazoezi kupunguza mwili na uzito?
Pia mavazi nyinyi wanaume inakua rahisi sana kutuambia usivae suruali au kimini au nguo ambayo hampendi ila nyinyi kuambiwa mnaona kama ni jambo zito sana.
Je, ni njia ipi ya kufuata ili isilete mtafaruku katika swala la kumbadilisha mume/mpenzi avae kitu unachokipenda na unachoona kitampendeza? Tujulishane juu ya hili.
Kutafuna namaanisha kula kila mda bila utaratibu, kimeisha kabisa hadi utafikiri denti wa form 2, kuhusu ndoa nimefunga kabla hata ya kuanza kuwaza uzao wa wanangu kama miaka 6, 7 iliyopita
twende kwenye hali halisi UMERUDI SAA 6 nisiulize chochote kweli?
Mimi naamini hilo swali si la kuudhi kwa wanaume tu bali kwa wote me na ke,coz ulikuwa wapi ni swali tunalotumia kuwauliza watoto tena wenye tabia ya kuzurula mara nyingi swali hili hufuatiwa na kichapo pindi yakitoka majibu yasiyoridhisha.
Sasa swali kama hili ukimswalika mme/mke linaonyesha kitu kama dharau flani hivi.
Nadhani njia bora ni kuuliza ''ulipitia wapi...?'' au hata unaweza ukaanza na mshanga ''Da leo umechelewa ,ulipitia wapi?
hii kidogo ni swali la kiutu uzima na sio dharau kama vile unachungwa.
Hilo la kuvaa linategemea mlivyoshibana na mwenzi wako
mfano mimi my wife mara nyingi ndo ananichagulia nguo
na hii kiasi fulani imenilemaza maana akisafiri,utanigundua tu.
hivyo na mimi sioni shida kumchagulia nguo na anaridhika
tunaendelea na maisha.
Masai dada haya ni maneno ya kuandika hapa ila kwake natumia maneno ya chumbani na ndio maana ananielewa... Wakati wa kunyonyesha anaongeza kiwango cha ulaji japo ni muhimu kutokuelemea upande mmoja wa aina za vyakula. Mfano mafuta au protini kupita kiasi.haya poa ila kama ananyonyesha muache ale kila saa
pia kama upendi ale kila saa TAFUTA NJIA YA KUMUAMBIA
sio unasema huyu nae anatafuna kila saa kama mbuzi
mambo mengine yanamalizwa kimasihara ingawa ndio unakuwa ukweli unahitajika. Wanawake wengi huuliza hayo maswali huku wakiwa na sauti fulani ya kukereka au kwa kupandisha sauti zao, hicho ndio kikubwa kinachotukera sisi wanaume. Uliza kwa utaratibu na upole, utapewa jibu.
Mfano: "Mume wangu mwenzako mi tangu saa hizo nimejiweka tu hapa najua mda wako wa kurudi ni saa fulani, mda umefika nimeona mwenzangu kimya basi sina raha wala amani, vipi ulikutwa na maswahibu gani?". Utaona utakavyojibiwa. Uliza hivyo au mfano wa hivyo utaona matokeo yake.
Nimeambiwa katika maswali mwanaume anayochukizwa nalo ni hili "ulikuwa wapi" actually ukichelewa na wakati najua ratiba yako lazima nikuulize ulikuwa wapi hili swali tuliwekeje ili lisiwaudhi.
Lakini pia siku hizi wanaume wengi huwa na vitambi bila sababu za msingi ni njia ipi ya kumwambia mume/mpenzi kwamba afanye mazoezi kupunguza mwili na uzito?
Pia mavazi nyinyi wanaume inakua rahisi sana kutuambia usivae suruali au kimini au nguo ambayo hampendi ila nyinyi kuambiwa mnaona kama ni jambo zito sana.
Je, ni njia ipi ya kufuata ili isilete mtafaruku katika swala la kumbadilisha mume/mpenzi avae kitu unachokipenda na unachoona kitampendeza? Tujulishane juu ya hili.
mkuu umeiweka vizuri nitaitumia hiyo
yaani kwa kifupi unalegeza sauti,unambembeleza hata kama ulichukia
Tumieni voice tone ambayo haionyeshi kukasirika au kuwa na hasira vinginevyo ndio mtajibiwa, "It is none of your business." Kwani ukiuliza swali hili huku ukionyesha mapenzi kwa mume/BF kuna ubaya gani!?
Mwanaume anayejua atachelewa kurudi kwake bila ya kumtaarifu mkewe, hana adabu.
Masai dada haya ni maneno ya kuandika hapa ila kwake natumia maneno ya chumbani na ndio maana ananielewa... Wakati wa kunyonyesha anaongeza kiwango cha ulaji japo ni muhimu kutokuelemea upande mmoja wa aina za vyakula. Mfano mafuta au protini kupita kiasi.
Ukiniuliza nikakujibu, mfano
'Nilikuwa baa nakunywa'
Usinihoji zaidi. Nikitaka kukusimulia yote nitakusimulia. Nisipotaka, ukanisukuma....