Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,723
- 171,991
babu weweee hayo ndo mahaba we unadhani mzee machache haulizwi hivo na jakiliniSasa kama nlisikia njaa si lazima ntakuwa nshakula?? Yani hata kula nako muulize???
babu weweee hayo ndo mahaba we unadhani mzee machache haulizwi hivo na jakiliniSasa kama nlisikia njaa si lazima ntakuwa nshakula?? Yani hata kula nako muulize???
hii tamu sana hii....like like masai dada hii ndo yenyeweUlipitia wap leo darling! maana nilikuwa najihic upweke
babu weweee hayo ndo mahaba we unadhani mzee machache haulizwi hivo na jakilini
Zamani sisi na mama zenuNimeambiwa katika maswali mwanaume anayochukizwa nalo ni hili "ulikuwa wapi" actually ukichelewa na wakati najua ratiba yako lazima nikuulize ulikuwa wapi hili swali tuliwekeje ili lisiwaudhi.
Lakini pia siku hizi wanaume wengi huwa na vitambi bila sababu za msingi ni njia ipi ya kumwambia mume/mpenzi kwamba afanye mazoezi kupunguza mwili na uzito?
Pia mavazi nyinyi wanaume inakua rahisi sana kutuambia usivae suruali au kimini au nguo ambayo hampendi ila nyinyi kuambiwa mnaona kama ni jambo zito sana.
Je, ni njia ipi ya kufuata ili isilete mtafaruku katika swala la kumbadilisha mume/mpenzi avae kitu unachokipenda na unachoona kitampendeza? Tujulishane juu ya hili.
Mwanaume anayejua atachelewa kurudi kwake bila ya kumtaarifu mkewe, hana adabu.
maswali yanaendelea "ushaoga dear...umevaa nguo gani" nije nkuoshe....
Yani afadhali ya lile swali gumu zaidi "uko na nani?"
wenyewe hawapendi kuulizwa ila wao saasaaa mhm....
Maswali yote hayo ni simple kuuliza kama una mume au mpenzi muelewa, simple sana, tena anakujibu vizuri kabisa huku mnacheka. Sasa mama, wewe ndio unamjua mumeo yuko vipi, hivyo utapata namna ya kumuuliza kwa kutumia akili yako kutokana na hivyo umjuavyo baba watoto wako. Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake, bali mwenye hekima ...
Unarudi kwako, taarifa ya nini kama sio utaahira? Kama mkeo ameingiza mchepuko ndani, unampa taarifa kwamba sasa narudi!!! Ondoa mchepuko!!!Ukisikia mume ----- ndo huyo.
Zamani sisi na mama zenu
kulikuwa kuna kitu kinaitwa
JAndo na UNyago.
Mwanaume anayejua atachelewa kurudi kwake bila ya kumtaarifu mkewe, hana adabu.
hii tamu sana hii....like like masai dada hii ndo yenyewe
Tumia kauli yoyote na ikibidi hata matusi, ili mradi kauli zako ziambatane na mahaba.
Simu yangu haitoi reo ningekupa aisee