masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,570
- 20,147
- Thread starter
- #81
Hapana, si jina lake, hata yeye ananiita mimi Gozi lake. Kisa kirefu kidogo, nilishawahi kuulizwa hili swali humu humu JF na nikalijibu, muda sasa. Kwa ufupi:
Jozi = Kiswahili fasaha ni "pair", hilo neno linatokana na Kiarabu likiwa na maana hiyo-hiyo. Mkioana kiarabu husema mmekuwa "pair" "Jozi". Na harusi huitwa Zawaj (to become into a pair).
Nilibahatika kutembelea Egypt na Gozi langu siku za mwanzo mwanzo baada ya kuoana, na tour guide wetu kila akiongea anatu "refer" kama Gozi (accent ya Kiarabu cha Egypt Jozi wanatamka "Gozi"), basi ndipo nikashika hiyo "Gozi" ya ki Egypt.
He is my "Gozi" and I am her "Gozi", we are a pair.
Kuoana ni kuwa "jozi" hata kwa Kiswahili. Hata viatu kama havioani haviwi jozi.
We find it funy and to the point.
wooww
romantic