figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,653
- 59,077
Salaam Wakuu,
Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo.
Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli?
Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi?
Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu huko Tunguuu Zanzibar..
Je, kuna Familia za Wananjeshi zenye taarifa?
Sisi ambao ndugu zetu wapo huku, hizi habari zinatushotusha na Serikali inaonekana haijali.
Kama wanajeshi wetu hawana mafunzo au zana za kisasa za kivita, kwanini Wasirudi tu? Wanafanya nini huko?