Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

Salaam Wakuu,

Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo.

Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli?

Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi?

Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu huko Tunguuu Zanzibar..

Je, kuna Familia za Wananjeshi zenye taarifa?

Sisi ambao ndugu zetu wapo huku, hizi habari zinatushotusha na Serikali inaonekana haijali.

Kama wanajeshi wetu hawana mafunzo au zana za kisasa za kivita, kwanini Wasirudi tu? Wanafanya nini huko?
View attachment 3547971
nonsense,
wabebe ufala wa kifikra mamaluki wenzako wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi :1Head:
 
Hawa wanakulinda wewe usiye na shukrani, wakati umelala na demu wako usiku wao wanakesha bunduki mkononi huko mipakani!.

Labda akili za kitoto zinawasumbua hawa watoto wa Gen Z.
Wangewalinda waliuwawa majumbani Kwa mamia ya wasio na hatia

Kama watu walioko nyumbani wanauwawa mbele ya macho Yao wakiwa Doria huko nje ndo wataweza
 
Hawa wanakulinda wewe usiye na shukrani, wakati umelala na demu wako usiku wao wanakesha bunduki mkononi huko mipakani!.

Labda akili za kitoto zinawasumbua hawa watoto wa Gen Z.
Hilo ni jeshi la kulinda viongozi waovu na kuwaacha raia wakitekwa na kuuwa ovyo majumbani
Halina credibility ya kuitwa jeshi la wananchi Tena
 
Hilo ni jeshi la kulinda viongozi waovu na kuwaacha raia wakitekwa na kuuwa ovyo majumbani
Halina credibility ya kuitwa jeshi la wananchi Tena
Mliingizwa chaka na hao wanaharakati mkiambiwa nyinyi ingieni barabarani hao JWTZ watawakuta huko!.

Mkuu jeshi linafanya kazi kwa kufuata miongozo na taratibu miaka yote. Lina nidhamu ya kazi.

Haliwezi kwa heshima lililonalo likajiingiza kwenye siasa zinazomtii yule changudoa wa California Mange.
 
Screenshot_20251219-181905.jpg
 
Mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakufa mtu hata mmoja?.

JWTZ linailinda katiba ya nchi, Samia hajavunja kipengele chochote cha katiba.
Nimekuuliza Tarehe 29 walikuwa Doria na wananchi wakuwawa majumbuni kwao bila hatia
Kama limeshindwa kuwalinda wananchi wa ndani wakiwa Doria watawezaje adui wa nje

Amiri Jeshi wao alikiri Kuna watu wakitoka Kenya wakaingia nchini kuleta vurugu
Sasa wao kazi Yao Nini mipakani ?
 
Back
Top Bottom