Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

Hawa wanakulinda wewe usiye na shukrani, wakati umelala na demu wako usiku wao wanakesha bunduki mkononi huko mipakani!.

Labda akili za kitoto zinawasumbua hawa watoto wa Gen Z.
Hao machoko wavaa combats hawana hata uwezo wa kulinda inzi na hata kujilinda wenyewe wanaoshinda, kama wanatekwa na kufirwa na Mafwele wataweza vipi kulinda wananchi.
 
Waliposema asitoke mtu tarehe 29 October wewe ulikaa ndani ukaishia kuchungulia nje kwa kusogeza kidogo pazia la hapo sebuleni kwako.
 
Nimekuuliza Tarehe 29 walikuwa Doria na wananchi wakuwawa majumbuni kwao bila hatia
Kama limeshindwa kuwalinda wananchi wa ndani wakiwa Doria watawezaje adui wa nje

Amiri Jeshi wao alikiri Kuna watu wakitoka Kenya wakaingia nchini kuleta vurugu
Sasa wao kazi Yao Nini mipakani ?
JWTZ wameanza kuwepo mipakani kabla ya tarehe 29 October, labda uwe umezaliwa miaka hii ya 2000 lakini jeshi limekuwepo tangu mwaka 1964 lilipoundwa na operesheni zote limeweza kushiriki.
 
Hao machoko wavaa combats hawana hata uwezo wa kulinda inzi na hata kujilinda wenyewe wanaoshinda, kama wanatekwa na kufirwa na Mafwele wataweza vipi kulinda wananchi.
Tangu 1964 nani anailinda hii nchi?. Nani alikwenda Comoro akaikomboa ile nchi?.

Nani alimuondosha Idi Amin madarakani mwaka 1978?.

Hizi akili za iphone zisiwadanganye mkadhani mnafahamu kila kitu.
 
Hawa wanakulinda wewe usiye na shukrani, wakati umelala na demu wako usiku wao wanakesha bunduki mkononi huko mipakani!.

Labda akili za kitoto zinawasumbua hawa watoto wa Gen Z.

Wanamlinda mamaduro na waporaji wenzie kina rostum, mkwere na chawa wengine, kengez tunalindwa na mungu tu hata maji tunakunywa majitaka so hamna bunduki inayolinda maskini chawa
 
Unajua nini wewe chawa zaidi ya kuzalisha mbolea tu ukishibishwa makombo na makonda?
JWTZ wanafanya kazi ya maana sana kwenye ulinzi wa Tanzania, waliweza kuwamaliza magaidi wa MKIRU miaka ile ya 2016 wenye akili timamu tunaelewa wanachokifanya.

Bila ya uwepo wao muda mrefu sana nchi hii ingeshavunjika vipande vipande.
 
Hatujakataa wanamlinda mamaduro, rostum na koo kama 100 hivi zinazokula nchi kwani kuna ntu kakubishia chawa?
 
Wanailinda nchi kabla wewe hujazaliwa, sisi wenye kuelewa wanachokifanya tutaendelea kuwaheshimu.

Sisi wenyeji wa mipakani tunautambua mchango wao katika kudumisha amani ya maeneo yale.
 
Hao wanapelekewa moto na technicians kutoka Blackwater, TPDF na Angola. baraka kutoka kwa Marekani.
Nia, mgodi wa Rubaya, kuwasogeza mbali na Burundi.
Na vibali vingi vya madini
Vinatoka marekani na UK
Lkn mpk Kinshasa aidhinishe 😄
Watu washafanya yao
Wajeda wetu watoke tu hukko watatumika Chambo
Tu hakuna lolote wakatalo
Pata

Ova
 
Tangu 1964 nani anailinda hii nchi?. Nani alikwenda Comoro akaikomboa ile nchi?.

Nani alimuondosha Idi Amin madarakani mwaka 1978?.

Hizi akili za iphone zisiwadanganye mkadhani mnafahamu kila kitu.
That's why huwa ninawaambia Mchonga alikufa na jeshi likafa naye, yaani references imekulazimu kutafuta za enzi za Mchonga.
So this confirms kwamba hawa wa sasa ni machoko ndiyo maana wakitoka tu kwenda kwenye real battlefield inakuwa ni aibu tupu kwa taifa. Kabla ya hawa tunaohabarishwa kuwa wanauawa kama inzi kulikuwa na wale walitekwa hukohuko Eastern DRC yaani mpaka Colonels wanasechiwa kama vibaka, what a shame.
 
Kama why huwa ninawaambia Mchonga alikufa na jeshi likafa naye, yaani references imekulazimu kutafuta za enzi za Mchonga.
So this confirms kwamba hawa wa sasa ni machoko ndiyo maana wakitoka tu kwenda kwenye real battlefield inakuwa ni aibu tupu kwa taifa. Kabla ya hawa tunaohabarishwa kuwa wanauawa kama inzi kulikuwa na wale walitekwa hukohuko Eastern DRC yaani mpaka Colonels wanasechiwa kama vibaka, what a shame.
Tatizo wengi wetu humu kwa sababu ya umri tunaanza kufuatilia masuala ya jeshi miaka ya karibuni.

JWTZ walikwenda wakaikomboa Comoro wakati wa JK, waliwatuliza waasi kule Msumbiji.

JPM aliua wapuuzi 1200 kule Mkuranga mwaka 2016 hakuna aliyewapongeza wanajeshi kwa kuilinda amani.

Wakiwa wanashinda mje na taarifa zao sio mnatafuta taarifa za wao kuuwawa ili mzifurahishe nafsi zenu zilizoingia unyonge baada ya yale machafuko ya October 29.
 
Na vibali vingi vya madini
Vinatoka marekani na UK
Lkn mpk Kinshasa aidhinishe 😄
Watu washafanya yao
Wajeda wetu watoke tu hukko watatumika Chambo
Tu hakuna lolote wakatalo
Pata

Ova
Tatizo siyo Congo, kwa Tanzania, tatizo ni Burundi.
Na Burundi haina migodi inayovunwa na Wamarekani, ni wachina. Ndiyo maana sasa hivi kuna SGR kwenda Burundi, tayari imeanza. Ile ya kwenda Rwanda bado inasua.
 
Baada ya kusoma comments zote humu, nimegundua yafuatayo.

1: Watanganyika hawana tena Ari, uzalendo na hamasa ya kuilinda nchi yao kama miaka ya 1960 hadi 1990.

2: Vita ikitokea sasa hivi kati ya Tanzania na nchi jirani, raia/wananchi wako tayari kuwaunga mkono nchi jirani ikiwa watawahakikishia ulinzi kamili, uhuru, maisha Bora na haki ya kujieleza.

3: Jeshi letu pendwa lililokuwa linashingiliwa na kupewa zawadi enzi za vita ya Uganda miaka ya 1978-1980,, sasa hivi linachukiwa mno kama makaburu wa South Africa enzi hizo waliokuwa wanauwa raia wao.
 
You will be suprised.
 
Back
Top Bottom