Je wajua....?

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,182
408
1. Je wajua kuwa kunguru na njiwa ndio ndege pekee wanao2mia mchanga kwa kuoga.

2. Je wajua kuwa treni/gari moshi ndio chombo kinachodumu muda mrefu? Lakn kilitengenezwa kwa mfano wa nyoka.

3. Je wajua kuwa CCM wameshi kwa kuchakachua kura Igunga.

4. Je wajua kuwa dar es salaam Ngereja kawachunia kwa hz siku mbili?

5. Je wajua kuwa kinababa wengi wanalea watoto wasio wao?

6. Je wajua kuwa janga la umeme linakaribia kuishinda Tanzania?

Hebu tuambie wewe unajua nini.....
 

King Octavian

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
403
342
Je wajua kua njiwa hutaga mayai mawili tu ambayo watoto watao totolewa ndo mke na mume wa baadae na hawawez kutoka nje ya kizazi chao?
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Je unajua kifaru ni mnyama pekee anaezaa mara moja ktk maisha yake yote.
 

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
861
403
je wajua kuwa Wachagga wanatofautiana lugha? Yaani mchagga wa Machame hazungumzi lugha moja na mchaga wa Marangu?.
Je wajua Wasukuma, Wanyakyusa na Wachagga ndio makabila makubwa Tz?
Je wajua idadi ya watumia simu barani afrika inafikia milioni 500?
Je wajua Tanga ndio mji wa kwanza kuwa manispaa hapa Tz?
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,379
je wajua mkeo uwa anakuchit unapokuwa kazini!?
Duh! umeniwahi Arifu lakini wacha nimalizie,

Je wajua mimi ndio mume mwenza wako ?

Je wajua sasa hivi tuna ugeni mzito nchini Mkulu kapita kidogo ?

Je wajua nusu ya wapiga kura Tanzagiza wameuza vitambulisho vyao vya kupigia kura tena kwa buku 10 tu ?
 

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Je wajua kuwa hujui kuwa hujui kuwa hujui.

je wajua,utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua?
Tunahitaji kujua kwa sababu
hatujui; na hatuwezi kujua kama
hatujui kwamba
hatujui...Hatutajua chochote
iwapo hatutahoji na kudadisi. Na
kadiri tunavyojua, ndivyo
tunavyogundua kwamba
hatujui..teh he he.
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,770
10,513
Je wajua?magamba ni chama pekee duniani kisichokua cha kikomunisti kuendelea kutawala tangu uhuru..
 

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,242
10,060
Je wajua kwamba Jeikei hajui ni kwa nini Tanzania ni nchi masikini?

Je wajua hata ukizusha jambo la uongo alimradi ni kumsifia Jeikei, Ikulu itakaa kimya?

Je wajua kuwa Jeikei yuko tayari kusafiri hata kama ni kwenda kuhudhuria maonesho ya mavazi tu?

Je wajua kuwa Jeikei ni rais pekee duniani aliyeamua kujiita Dakta ilhali hana vigezo hivyo?

Je wajua kuwa Tanzania ni nchi pekee ambayo ina Waziri Mkuu anayeweza kulia alimradi atimize malengo yake?
 

ChaterMaster

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
1,597
718
je wajua we unayesoma hapa sahv kama ni mwanaume mm huwa n spea tairi wa dem/mke wako!
 

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,182
408
Je wajua kuwa hata kikwete aliachiwa nchi tayari ikiwa na matatizo? Alichofanya ni kuyaendeleza tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom