Je wajua....?

Je wajua....?

je wajua kama ninayesoma ni mwanamke au mschana nn kiotatokea?
 
Je wajua maana ya neno 'fariki' ni 'ondoka?'.
Ndio maana mtu akiaga dunia tunasema 'amefariki dunia'. Kwa hiyo unaweza ukalitumia neno lenyewe kwa mfano ukitaka kumuuliza mgeni wako anaondoka lini, mwambie 'Utafariki lini?'.
 
je wajua mkeo au demu wako ni spea tairi wa wanaume wote wanaosoma hapa jamii forum

Duuh vijana mtaniua kwa kicheko coz mnavorushiana hayo mameno utadhani wanataarabu.
 
Je wajua maana ya neno 'fariki' ni 'ondoka?'.
Ndio maana mtu akiaga dunia tunasema 'amefariki dunia'. Kwa hiyo unaweza ukalitumia neno lenyewe kwa mfano ukitaka kumuuliza mgeni wako anaondoka lini, mwambie 'Utafariki lini?'.

usije ukamfanya mgeni anaondoka bira ya kuaga.
 
Back
Top Bottom