Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

Endelea kusikiliza na kuangalia hizo movies mwisho wa siku utazoea

Hizo movies zikiwa na subtitles itapendeza zaidi
Sawa mwaaaalimu pia nisaidie kwa hili naweza kutumia njia ipi kusikia na kuelewa maneno yanayozungumzwa kwenye movies maana kwangu inaniwia vigumu kuyaelewa kwa jinsi
Wanavyoyatamka hasa hasa hawa wazungu, tofauti na wanaigeria kwakiongea nawaelewa tatizo kwa akina Van damme...
 
Hongera aisee, mimi ni mbovu sana kwenye kujifunza lugha.

In fact sina hata lugha moja nayoifahamu kiufasaha kabisa.
Yawezekana sio vitu unavovipenda Don. Mimi napenda ningejua hata lugha zote duniani. Sipendi kuwa mgeni mahali nihitaji mtafsiri.
Ni kweli ni ngumu kufahamu lugha yoyote kiufasaha kabisa, hata kiswahili tunakosea.
 
kwenye comment za wadau nishaanza kuona kizunguzungu. Hivi kwa nini mtu asiejua kingereza akilewa huwa kinakuja automatic?
 
Yawezekana sio vitu unavovipenda Don.
Mimi napenda ningejua hata lugha zote duniani. Sipendi kuwa mgeni mahali nihitaji mtafsiri.
Ni kweli ni ngumu kufahamu lugha yoyote kiufasaha kabisa, hata kiswahili tunakosea.

Kweli, sijawahi kupenda lugha yoyote aisee. Ni vile mawasiliano ni lazima lugha itumike.

Najitahidi tu kuhakikisha nakuwa kwenye level ambayo mawasiliano yatawezekana.
 
Ticha mbona sasa umetuingiza chaka zaidi..... Duh..... This is a water, sijawahi kusikia hiyo English ya hivyo
 
Twende wote kule Asprin. Ukiandika vichekesho ukichekwa wiki tu unakuwa vizuri.
Mi nilivyo mvivu wa kujifunza lugha... wakinicheka tu na somo linaishia hapohapo

Uvivu wangu umenifanya lugha pekee nayoijua kwa ufasaha ni kiswahili tu...

Kimombo na kinyumbani kwetu nachapia mpaka naona aibu. Kwenye kuandika sio mbaya sana, kwenye kuzungumza sasa.... khaaaa!!

Acha niendelee na kipaji changu cha makalkuleshen bhana...

Lugha nakuachia wewe uniwakilishe
 
Back
Top Bottom