Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

Umetuingiza chaka mkuu, "a" haiwezi kutumika kutambulisha nomino yenye umbo jumuishi kama maji, mchanga, udongo, hewa nk. Yaani mtu aseme "This is a air? Wewe baba wewe!!
Huyu boya anataka kutuona sisi wa kuja tu!
 
Sawa mwaaaalimu pia nisaidie kwa hili naweza kutumia njia ipi kusikia na kuelewa maneno yanayozungumzwa kwenye movies maana kwangu inaniwia vigumu kuyaelewa kwa jinsi
Wanavyoyatamka hasa hasa hawa wazungu, tofauti na wanaigeria kwakiongea nawaelewa tatizo kwa akina Van damme...
First of all ukitaka kuimprove listening skills through movies don't rely on subtitles strain your brain to try process all of this and make reasonable guesses about what they’re saying. This is how you improve your listening ability.

I would even say, watch one scene of the movie at a time, and then go back and watch it again a few times, each time trying to pick up more than you did the last time. The first time, maybe you just get the main ideas. The second time, you confirm or revise your understanding of the main ideas, while noticing a few more words that you didn’t get the first time.

The third time, you are already pretty clear on the meanings and you are free to focus on the specific vocabulary and grammar being used to express that idea. The fourth time, maybe you grasp the whole sentence well enough that you could repeat it. Etc.

If you still aren’t getting every word by then, watch it one more time with subtitles. And then maybe one more time without.
In this way, you use the subtitles as a tool to help you with the parts that are challenging, such as words and phrases that you didn’t know before (slang, brand names, technical jargon) or that were spoken in a way that you didn’t catch them (too quiet, too fast, spoken in a different accent than you’re used to hearing, or just mumbled).
But at the same time, you’re still training your ears and your brain to try to decipher the sounds, without being overly reliant on reading the subtitles.
 
Kwa nin unasema "thi is a book" sio sahihi me naona haina shida kwenye gramma.
 
Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni:-
"A" hutumika kutambulisha nomino ambayo haina umbo maalum.kwa mfano:- tuchukue nomino ambayo haina umbo maalum kama "maji" basi sentensi itakuwa, "this is a water from indian ocean".hatuwezi kusema "this is the water from indian acean.
"THE" ni kinyume cha "A" ambapo hutumika kwa ajili ya utambulisho wa nomino ambayo ina umbo maalum hapa tutumie kitabu sentensi yetu itakuwa ni, "this is the book".hatuwezi kusema "this is a book
nafikiri nitakuwa kidogo nimetoa darasa kwa ambao walikuwa wakichanganyikiwa juu ya maneno haya mawili.
Mkuu umeandika utumbo na matango pori,kama hujui jambo usijaribu kuwalisha wenzako Uongo,kuna mwanafunzi atasoma hapa akariri,akiandika hivo lazima afeli.

Article A na An ni indefinite articles kwa maana ya kwamba zinatambulisha Nomino isiyo maalum au sio mahsusi.
A book,a car,an orange an apple nk.
Article A inatumika kwa nomino ambazo Sauti yake ya kwanza ni konsonanti eg A book, A boy na article An inatumia kwa nomino ambazo Sauti yake ya kwanza ni vowel,an orange an honest nk.kumbuka ni Sauti na sio spelling.

Article The inatumika kwa nomino ambazo ni mahsusi au maalum,The Kilimanjaro,The president,vyombo Vyote vya muziki na sehemu zote za nyumba pia zinatumia hiyo.

Article The inatumika pia kwa nomino ambazo sio mahsusi lakini pale zinapokuwa zinatajwa kwa Mara ya pili katika habari.Eg,yesterday I Saw a girl,the girl was in black miniskirt
 
First of all ukitaka kuimprove listening skills through movies don't rely on subtitles strain your brain to try process all of this and make reasonable guesses about what they’re saying. This is how you improve your listening ability.

I would even say, watch one scene of the movie at a time, and then go back and watch it again a few times, each time trying to pick up more than you did the last time. The first time, maybe you just get the main ideas. The second time, you confirm or revise your understanding of the main ideas, while noticing a few more words that you didn’t get the first time.

The third time, you are already pretty clear on the meanings and you are free to focus on the specific vocabulary and grammar being used to express that idea. The fourth time, maybe you grasp the whole sentence well enough that you could repeat it. Etc.

If you still aren’t getting every word by then, watch it one more time with subtitles. And then maybe one more time without.
In this way, you use the subtitles as a tool to help you with the parts that are challenging, such as words and phrases that you didn’t know before (slang, brand names, technical jargon) or that were spoken in a way that you didn’t catch them (too quiet, too fast, spoken in a different accent than you’re used to hearing, or just mumbled).
But at the same time, you’re still training your ears and your brain to try to decipher the sounds, without being overly reliant on reading the subtitles.
Ahsante mkuu kwa maelezo yako
 
Umeongea uongo mkuu katika dhana ya singularity na plurality ukitumia a unataka kusema maji yanahesabika? Maji moja maji mbili maji tatu .......? Parabora mkubwa weeee.
Ndio maana mleta mada ametumia mfano mahsusi kabisa. Yaani this is a water from Indian Ocean. Mimi nakubaliana nae kabisa, kwenye Geography tumegonga sana hizo, tumegonga sana pia waters.

Sema mleta mada nae kuzingua, atelataje mfano wa mmoja tena unaoongeza conlict. 😂😂
 
Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni:-
"A" hutumika kutambulisha nomino ambayo haina umbo maalum.kwa mfano:- tuchukue nomino ambayo haina umbo maalum kama "maji" basi sentensi itakuwa, "this is a water from indian ocean".hatuwezi kusema "this is the water from indian acean.
"THE" ni kinyume cha "A" ambapo hutumika kwa ajili ya utambulisho wa nomino ambayo ina umbo maalum hapa tutumie kitabu sentensi yetu itakuwa ni, "this is the book".hatuwezi kusema "this is a book
nafikiri nitakuwa kidogo nimetoa darasa kwa ambao walikuwa wakichanganyikiwa juu ya maneno haya mawili.

Dah! Bhana teacher unadanganya umati mpaka aibu naona mimi..
 
First of all ukitaka kuimprove listening skills through movies don't rely on subtitles strain your brain to try process all of this and make reasonable guesses about what they’re saying. This is how you improve your listening ability.

I would even say, watch one scene of the movie at a time, and then go back and watch it again a few times, each time trying to pick up more than you did the last time. The first time, maybe you just get the main ideas. The second time, you confirm or revise your understanding of the main ideas, while noticing a few more words that you didn’t get the first time.

The third time, you are already pretty clear on the meanings and you are free to focus on the specific vocabulary and grammar being used to express that idea. The fourth time, maybe you grasp the whole sentence well enough that you could repeat it. Etc.

If you still aren’t getting every word by then, watch it one more time with subtitles. And then maybe one more time without.
In this way, you use the subtitles as a tool to help you with the parts that are challenging, such as words and phrases that you didn’t know before (slang, brand names, technical jargon) or that were spoken in a way that you didn’t catch them (too quiet, too fast, spoken in a different accent than you’re used to hearing, or just mumbled).
But at the same time, you’re still training your ears and your brain to try to decipher the sounds, without being overly reliant on reading the subtitles.
Ulichoandika kina mashiko japo ungeweka ktk lugha yetu kwa faida ya wengine kwa sbb hapa naona kama bado unaweka chumvi kwenye kidonda boss.
 
Back
Top Bottom