Je, wajua kuwa mazungumzo yetu na Barrick ni mazungumzo tu? Mwenye uamuzi wa mwisho ni Acacia!, Kwanini hakushirikishwa?!. Je, Tutalipwa?.

Are fool to an extent that we don't know what we're doing in that discussion Pascal?

Sent using Jamii Forums mobile app

Paskali is asking very poignant questions and sharing some incisive observations! The secrecy sorrounding the negotiations between between Barrick and GOT is counter the spirit of tansparency that laced the start of the "Uzalendo crusade to protect our natural resources" and that raises more questions than provides answers let alone erroding trust in due process!
We are a disadvantaged lot 'cause even the art of negotiation by our team is either learnt or copied from western universities; our degrees of uzamili and uzamivu are all "Boko haram"; Western oriented; and our counterparts have learnt and practiced that since time imemorial!
The balance is well weighted against us; Duniani ni sheria, Haki ni mbinguni! If the contract is a legal document, Do we
have a chance?!
Imagine uko kitaa, Mbwa akija kukushambulia utasubiri mwenye mbwa au utapambana na mbwa?! Wapi Accasia, wapi mbwa wetu?!
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa kidogo, kuendelea na zile makala zangu za kwa maslahi ya Taifa. hii ni mada ya swali
Jee Wajua Kuwa Mazungumzo Yetu na Barrick Ni Mazungumzo Tuu? Mwenye Uamuzi wa Mwisho ni Acacia!, Kwa Nini Hakushirikishwa?!. Jee Tutalipwa?.

Kwanza its sad kwa sisi Watanzania kupata update ya hatima ya rasilimali zetu, ni kutoka huko huko kwa hawa mabwana wa rasilimali zetu, au wezi wetu!.

Leo nimepata muda kufuatilia hatima ya mazungumzo kati ya serikali yetu ya Tanzania na Kampuni ya Barrick kuhusu hatma ya makinikia ya Acacia yaliyozuliwa, kupitia taarifa kwenye tovuti ya Barrick, mazungumzo yameelezwa kuwa yanaendele vizuri
Barrick Gold Corporation - Update on Discussions with Government of Tanzania

Acacia nao kwenye tovuti yao nao wameeleza kitu kile kile kilichoelezwa na Barrick
Press Release Item

Jambo la kwanza la maendeleo ya mazungumzo haya, ni mazungumzo yasiyo na time frame, yaani hayana muda maalum wa kumalizika na kufikiwa makubaliano!, mazungumzo ya aina hii ni mazungumzo gani yasiyo na SMART Objectives yanaendelea tuu na yanaweza yakaendelea tuu bila mwisho?!.

Barrick wametoa statement fupi ya page 1 yenye para 3 zenye lines 15 na maneno 146 lakini wakaweka angalizo lenye page 2, para 4 zenye lines 69 na maneno 775!. One has to be good kusoma hiyo statement together with angalizo kuelewa the motive behind.

Tukija kwa Acacia, wao wametoa tuu statement ya Barrick bila kuweka angalizo la pembeni ila wao wameweka msimamo wao wazi kuwa "The Company has been supporting Barrick in its discussions with the GoT, but has not been directly involved in those discussions to date. Any proposal received by the Company in the future that might be agreed in principle between Barrick and the GoT as a result of those discussions will be subject to review by the Independent Committee of the Acacia Board of Directors". Wanaunga mkono mazungumzo hayo lakini wao sio sehemu ya mazungumzo hayo na kwanza hawajahusishwa popote hadi leo, hivyo chochote kitakachofikiwa na mazunguzo hayo kati ya Barrick na Serikali ya Tanzania, ni lazima kiridhiwe na kamati yao maalum!. Hii maana yake maafikiano yoyote yatakayofikiwa kati ya serikali yetu na Barrick sio final and conclusive, mwennye uamuzi wa mwisho ni Acacia!. Kama hali ni hii, kwa nini wanasheria wetu nguli na makini hawakuwahusisha Acacia kwenye mazungumzo haya ambao ndio the determinant ya utekelezaji wa makubaliano yoyote?. Jee mnatambua kuwa chochote ambacho serikali yetu itakubaliana na Barrick, hala Acacia wakakataa kutekeleza, hakuna kitu chochote ambacho tunaweza kuwafanya?.

Wakati mazungumzo yetu na Barrick yako kwenye dilly dallying, wenzetu Barrick wameelekeza macho na masikio yao China!,
"Barrick’s focus on China is real and deliberate.
Barrick’s focus on China is real and deliberate. In 2014, we created the position of President for Barrick China to manage our interests there. In 2015, we sold half of our ownership in the Porgera gold mine in Papua New Guinea and began joint operations with the buyer, Zijin, one of China’s big three gold miners. In 2017, we formed a 50-50 joint venture with Shandong Gold, another one of the big three, at the Veladero mine in Argentina. In addition, two of China’s largest banks—ICBC and China Construction Bank—have joined Barrick’s revolving credit facility, the first time either has forged such a relationship with a Western mining firm".

Hivyo mkisikia Barrick imeuza interest zao za Acacia kwa Wachina, naowaomba msishangae!, naamini wale "jamaa zetu" pia ni mingoni mwa watumishi wazelendo wa Acacia, hivyo wakiona ziara za makundi ya watu kutoka China huku wakiandamana na mabosi wa Barrick, waripoti haraka sana maana usikute ni ngombe wetu wa maziwa yuko mnadani!. Wazungu ambao ni watu wako very much time conscious, ukiona wanazungumza na wewe mazungumzo yasiyoisha bila kuonyesha time concern, kama wewe ni mtu unaejua kutazama mbali, ni lazima uogope!.

Swali la Msingi ni Jee Tutalipwa?.
Kwa mazungumzo ni siri, hakuna ajuaye ni nini kimekubaliwa na nini hakijakubaliwa, my honest opinion ni kuwa hatutalipwa!, hata kile kishika uchumba cha dola milioni 300, I doubt kama tutalipwa, kwa sababu the bone of contention, ni Tanzania kuibiwa kwenye makinikia kwa vile hatujui kilichomo!. Ili tujue kilichomo ni kama tuu tutayachenjua makinikia sisi wenyewe!. Sijawahi kusikia lolote kuhusu uchenjuaji wa makinikia yale, hivyo hata zile fedha za Noah zetu, zijui kama hata robo zitalipwa!.

Lets hope for the best!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
cc. mgambilwa ni mtu na kipara kipya
 
1. Kwenye mazungumzo hakukuwa na time frame ya deni kuwa litaanza kulipwa lini? kaka naomba uniazime madini yake tarehe 2 nikipokea mshara nakulipa.... haikuwepo?
2. Mayala si bure umetumwa kututayarisha kisaikologia.
 
Kizalendo kabisa na niko upande wa watanzania wenzangu lakini kwa upeo mfinyu kabisa sioni kama tunachetu kwenye mazungumzo hayo.
Wale jamaa kutoa pesa bila kuzibackup na maelezo ya kueleweka ni kinyume kabisa na Sera zao wanazofundishana kila siku '' Barrick code of Conduct and anti-corruption''. Na wanamifano mingi tu ya makampuni makubwa kuliko hata wao ulimwenguni yalivyoingia chaka kwenye sheria yakashtakiwa na Kulipa mabilioni kama sio matrillion ya pesa wakifundishana jinsi ya kukwepa kuingia kwenye makosa ya namna hiyo. Sioni wakifanya kosa la kuwaingiza hasara kiasi hicho. Hata kama ni wizi utakuwa kisheria.
IKIWA KILICHOGUNDULIKA NA TUME YA PROF. MRUMA Hakikuwa Technically Correct tutasubiri sana. Otherwise kwa sababu ni mambo ya siri Tusubiri wahusika wenda wao wanajua kuliko wapiga domo mitandaoni huku.

Maoni.
 
Siku hizi propesa Kalamaganda Kabugi kawa kimyaa, nadhani naye keshastuka kuwa mchezo mzima ni usanii kaamua kulinda heshima yake kidogo iliyobaki baada ya kutupiga fiksi kuwa Barick wamekubali kuipa shea nono serikali ya jiwe!
 
Tuna Rais asiyejua wapi tuendako zaidi ya kufanya mipango ya kuteka, kutesa na kuua Wananchi wake mwenyewe! Na zaidi ya yote ni mahiri wa kuwanyanyapaa viongozi wenzie wenye mawazo kinzani, eti siyo RAIA wa TZ na kuwanyang'anya PASS-PORT zao.
 
Ndio nyie mnaotombewa mke alafu unajisifu kwamba umechukua hatua ya kumkanya asirudie tena. ishu hapa si kuchukua hatua tu (god damn it) zinatakiwa hatua zinazotoa suluhisho.... PUMBurAVU wewe..... mtu anakutia kidole cha matako af unamgeukia na kumnyooshea kidole kumwambia aache ujinga...? next time he's gonna put dic in yo as** na huku ukiangalia...... kuchukua hatua ni pale unapomgeukia na kuhakikisha sura imechakaa kwa mkong'oto, hiyo ndo kuchukua hatua, na hatorudia......

Tufike mahali tusifie hatua zenye dhamira ya kweli baada ya kuzitathmini na kuzichambua.... viongozi wote wa sasa ni wapuuzi tu..... hakuna maendeleo watakayoleta zaidi ya kufanya mambo yale yale kwa kuwa kiongozi wao mkuu ni jiwe.
Mkuu wendawawazimu wachache kama hawa wanasababisha watu waongee maneno makali sababu ya ushabiki wa kipumbavu kama huyo ngese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LISSU ALIISHA MALIZA.ALISEMA MTAKUMBUKA MANENO YAKE BAADAE, ALIFIKIA KUENDA MBALI NA KUSEMA MAGUFULI SIO WA KWANZA KUUNDA TUME YA MADINI NA KUTABIRI HATALIPWA CHOCHOTE KUTOKANA NA SHERIA MBOVU ZILIZOPITISHWA KWA HATI YA DHALULA. PIA ALISISITIZA KUWA MAPROFESSOR UCHWARA A.K.A PROFESSORIAL RUBBISH WAMEKOPI HADIDU ZA REJEA ZILEZILE ZA AKINA KIPOKOLA, MASHA, MBOMA NA BOMANI.
NAKUMBUKA PROF. KABUDI WAKATI ANAKABIDHI REPORT YAKE AKAANZA KUSIFIA HUDUMA NZURI YA CHAKULA NA VINYWAJI WALIZOPEWA WAKATI WA UCHUNGUZI WA TUME YAO. YAANI TUNA MAPROF. WAAJABU SANA TZ NA NJAA NDO ZINA WASUMBUA
PERSONALLY NIMEANZA KUMUELEWA NA KUMUAMINI LISSU
 
Mkuu wendawawazimu wachache kama hawa wanasababisha watu waongee maneno makali sababu ya ushabiki wa kipumbavu kama huyo ngese

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani jamaa anajitoa ufahamu mazima...... na watu kama hawa wanafanya watoto wetu waje kutulaumu kwa kutochukua hatu, coz wanawapa kichwa walioko madarakani kuendelea kufanya ujinga....... sijawahi kufikiria kujiingiza kwenye mambo haya ila sasa naanza kutafuta namna ya kufanya........ inabidi ifike wakati watu wenye akili wasimame na kusema inatosha..... tubadili uelekeo.
 
Ishu si kulipwa TU...Ishu ni kwamba atleast tumeonyesha kuthamini RASILIMALI ZETU....tatzo sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana Tunakaa kusubiri kuona mambo yakiharibika tu tupate sehemu ya kusemea PUMBA zetu LAKINI hatutaki kabsa kupongeza hatua zilizo chukuliwa kuzuia KUIBIWA RASILIMALI ZETU na hawa mabwana wakubwa....Tumpongeze JPM kwenye hili jamani
Hata kama BARRICK anaenda kuuza hisa zake kwa hao WACHINA hii ni kwa sababu tu MIANYA YAO YA KIJINGA KUTUPIGA SISI WATANZANIA IMESHTUKIWA angethubutu vipi kuuza HISA ZAKE kama tusingemshtukia????Hata huyo mchina atakaekuja LAZIMA tuanze nae VIZURI
Sasa tupongeze ujinga?
 
Back
Top Bottom