Je, wajua kuwa mazungumzo yetu na Barrick ni mazungumzo tu? Mwenye uamuzi wa mwisho ni Acacia!, Kwanini hakushirikishwa?!. Je, Tutalipwa?.

Rais Magufuli na mwenzake Waziri Kabudi ni vichwa maji!wanapenda visifa vya kijinga kijinga kuliko ukweli halisi....wamepigwa mimba na Barrick!
 
Wewe endelea tu kuimba mapambio ya CCM unajua kabisa CCM hamna kitu Ni matapeli maafisa was kutupa umekazana tu na mada zako zisizokuwa na kichwa Wala miguu , wenzio kina Kabudi kijazi wameweka malioni mifukoni .
 
Back
Top Bottom