Catherine
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,261
- 758
Nimenunua TV mpya aina ya Bongo Star search, nataka waje waione
hahahaha!!!! wengi muonekano wao wa nje na wanapoishi huwa ni tofauti na ndio maana hawapendi kukaribishana majumbani
Nimenunua TV mpya aina ya Bongo Star search, nataka waje waione
Nimegundua wafanyakazi wengi wa Dsm na miji mingine mikubwa hawana utamaduni wa kupelekana majumbani.
Vikao mara nyingi huishia kwenye nyamachoma.
Je kwanini hali hii?
Mimi hapa ofisini kwangu nimejaribu sana kuwakaribisha wenzangu nyumbani kwangu, lakini wamegoma katakata kunitembea.
hahahahahahaha!!!!! hiyo ni noumer.,,,ngoja nikuchekeshe,kuna jamaa alienda nyumbani kwa boss wake,na huyo boss ni mnene vibaya mno,kufika msalani wakakuta kamba....guess ilikuwa ni ya nini.........mzee akikata gogo hawezi kunyanyuka,mpaka aji-support na kamba...hiyo stori imesambaa ofisini kwao mpaka ikanikuta mimi...full vituko,usiwaalike.
Mi wala sipendi waje kwangu, watanivurugia uhusiano na mke wangu mpya! Wasubiti tukizeeka nitawakaribisha.
ongeza chenga tu,wakija wengine ni umbea tupu...ooh,mshahara wote ananunulia simu,kumbe kapanga,,,,ngoja nikuchekeshe,kuna jamaa alienda nyumbani kwa boss wake,na huyo boss ni mnene vibaya mno,kufika msalani wakakuta kamba....guess ilikuwa ni ya nini.........mzee akikata gogo hawezi kunyanyuka,mpaka aji-support na kamba...hiyo stori imesambaa ofisini kwao mpaka ikanikuta mimi...full vituko,usiwaalike.

hahaha, umenikumbusha munene mmoja wa msd alikuwa anatuambia kuna jamaa ofisini kwao kafiwa na mtoto. siku wanaenda msibani wakadhani wamepotea. accounts clerk ana jumba la maana kuliko la mkurugenzi:majani7:
umbea haukwepekiwatu hawataki umbea na kuchimbana
Mi nadhani mkipanga ratiba vizuri inawezekana kutembeleana.
Nimegundua wafanyakazi wengi wa Dsm na miji mingine mikubwa hawana utamaduni wa kupelekana majumbani.
Vikao mara nyingi huishia kwenye nyamachoma.
Je kwanini hali hii?
Mimi hapa ofisini kwangu nimejaribu sana kuwakaribisha wenzangu nyumbani kwangu, lakini wamegoma katakata kunitembea.
Mbavu zangu Kaka!!Nimenunua TV mpya aina ya Bongo Star search, nataka waje waione
hilo mimi silijui kwa kwelihuyo bosi hajisaidii ofisini? maana chooni kunaonyesha hamna kambaza kusapoti au haja ikimbana anarudi home?