Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

Na wewe kwa mawazo yako wote hao wamejijengea nyumba? Watu wengi ni wapangaji.
Wewe mtaalam wa kwenye mtandao tuambie hapo ungejenga chamber ngapi kwa ajili ya vyoo tisa vilivyo juu hivyo! Na ungeunganisha vipi kwenye septic tank.

Amandla...
Mtu kuwa fundi kazi yake sio kujenga tu ndio maana wanalipwa
 
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Dah,huo ufundi wa hovyo kabisa kabisa, yaani bomba za uchafu zimetoka directly chooni kwenda kwenye chamber kubwa?
 
WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama

F3C13FA1-65A6-404B-81D4-DA6EE180AD0B.jpeg
 
Kwenye hili suala tunatakiwa wote tumuombe radhi fundi aliyejenga. Amejenga kwa kutambua hali halisi ya eneo na kuwa kutokana na hali ya jengo na shida ya maji. Kuushusha uchafu kwenye chamber halafu ndio uende kwenye "septic tank" haitawezekana bila maji yanayotoka kwenye tenki la juu. Kwa alivyojenga, maji ya kopo moja la Tanbond litapeleka uchafu wote kwenye "septic" ambayo sio septic kweli bali ni tenki la kawaida la kukusanya maji taka yote. Angejenga kwa namna ambayo wataalamu sisi tungependa, vyoo visingefanya kazi. Hongera sana Fundi mwenzangu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom