komamgoHana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.
JokaKuu
Imekuwa vyema kama vyombo vya habari vitakuwa vimeanza kubadilika na kuanza kumfanyia "coverage" mgombea huyo wa Urais Tundu Lissu, ambapo hapo awali walikuwa wanaogopa kuripoti habari zake
Tukiamini sasa kuwa SAA YA UKOMBOZI ishawadia!
Mpuuzi huyo achana naye, anahofia BUKU SABA YAKE iko mbioni kutoweka.Wewe umesikia tusi?
Kama hukusikia jua walinyofoa (edit)
Hakuna speech asiyotoa bila kuwaita wenzake majina ya ajabu .
Yaani yeye anajua kila kitu, anaweza kila kitu, wenzake wote ni zero, wenzake hawajui chochote. Yaani hata watanzania nao hawajui kabisa , yeye peke yake anajua na anaweza na anaomba mchango kwa lazima.
Hofu, hofu, hofu.Wewe umesikia tusi?
Kama hukusikia jua walinyofoa (edit)...
Ndiyo maana katika ilani ya Chadema, inavitaja vitu vitatu, navyo ni Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu..........Hofu, hofu, hofu.
Kuthibitisha hofu waliyonayo,..
Uhuru wa kutukana wengine?
Nchi ya matusi ?
Hiyo haipo TZ
Labda ubelgiji
Basi nikiwa kama RAIA na Mtanzania , katiba inakuta uniheshimu Mimi na kile ninacho kisikia. Mwambieni anatukana wenzake.
Kuna mtu route za makananisani haziishi ila binadamu wenzake anawaona kama wanyama.Mgombea Urais kupitia Chadema jana Jumatano alifanya "Press conference" na vyombo vya habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na wamiliki wa vyombo hivyo.
Jambo la kushangaza ni kuona kuwa hata chombo cha habari cha Umma, Televisheni ya TBC, ambayo gharama za uendeshaji wake tunaibeba walipa kodi wa nchi hii, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, nacho hakitaki kumripoti mgombea huyo wa kiti cha Urais!
Kwa namna ya jinsi inavyotoa ripoti, na kuzifanya habari za Rais John Magufuli, kuwa ni "lazima" zipewe kipaumbele, zinafanya chombo hicho cha habari nchini cha TBC, kuwa kama ni chombo cha propaganda za CCM!
Kinachotakiwa na vyombo vya habari hapa nchini ni kuondoa hofu ambayo imetanda miongoni mwao, katika kuripoti matukio ya kampeni ya mgombea huyo wa Urais wa chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA na kufanya kuwa fair kwa kutoa nafasi iliyo sawa kwa vyama vikuu hapa nchini vya CCM na CHADEMA.
Swali kubwa ninalojiuliza, je baada ya Tundu Lissu kufanya hiyo "press conference" vyombo vya habari hapa nchini vimeanza kubadilika na kuona hakuna "consequences" za kuanza kumripoti huyo mgombea Urais wa chama kikuu cha upinzani nchini cha CHADEMA?
Sasa mbona mikutano ya jamaa chuchu, Titi kama barakoa, nitakupa mama angu ?Hana issue za kuripotiwa , hakuna MTU wa kuripoti matusi na kejeri za muungano . Yeye akazane kuita wenzake , Wajinga, wapuuzi, washamba, Dictator, atukane majina yote lakini hakuna media yeyote itaripoti maneno hayo tena.
Nikiona kijana anatetea CCM na conclude kuwa ni mvivu,mnafiki, muongo.Wewe umesikia tusi?
Kama hukusikia jua walinyofoa (edit)
Hakuna speech asiyotoa bila kuwaita wenzake majina ya ajabu .
Yaani yeye anajua kila kitu, anaweza kila kitu, wenzake wote ni zero, wenzake hawajui chochote. Yaani hata watanzania nao hawajui kabisa , yeye peke yake anajua na anaweza na anaomba mchango kwa lazima.