mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,509
- 57,506
nilikuwa naletewa chips yai.nakula kidogo nazigawa.Hatari,Mazingira machafu..Nakumbuka kuna Father aliletwa Full kuhara..Misosi mingi ili letwa kama sio Ninja hugusi
nilikuwa naletewa chips yai.nakula kidogo nazigawa.Hatari,Mazingira machafu..Nakumbuka kuna Father aliletwa Full kuhara..Misosi mingi ili letwa kama sio Ninja hugusi
Kuna siku nilipata vihela halafu nikaingia kazin usiku ilikua 2022 nikamwambia mlevi mwenzangu twende tukagonge kinywaji tukatoka tukaenda mafiati pale mbeya jamaa yangu akachukua malaya na mm nikachukua tukaingia chumbani kufanya yetu baadae yule jamaa wakazinguana na yule demu nasikia makelele wanagombana na yule malaya hakumlipa tukatoka tukazunguka huku barabarani kwa anaepajua mafiati atanielewa bc kuna pub hv tukaingia kupata moja moto moja baridi ghafla yule malaya kaenda kuleta wahuni wakamuweka mtu kati jamaa kumbuka hapo tuna uniform za kazini mm nilivyoona timbwili nikaa mbali kama vile yuda nachek ile mbungi kwa mbali kwa sababu yule jamaa yangu yale matatizo alijitakia ikabid mwamba ampe yule malaya chake sasa kumbe kile kilikua ni kiashiria kibaya kwa siku ile tukaendelea kunywa hela ikaisha sasa sehemu ya kwenda kutoa ni kwa wakala tukakutana na jamaa wawili ambao walikua mdananda wakasema huku nyuma kuna wakala tukaenda ni sehemu hatari sana kufika pale kwa wakala ni duka limefungwa lkn huyo muuzaji yupo ndani kuna kijisehemu kidogo anafungua hapo unampa hela anakupa huduma tumefika pale tukakuta foleni kubwa maana yule jamaa anauza hadi vilevi kwa nyinyi wadaslaam si mna smart gin kule kuna master hyo hatari sasa wakati tunasubiri ghafla wazee wa kazi hawa na buduki wameshika nadhan walikua wanakamata wazurulaji ilikua saa sita hyo kumbuka hapo tumetoroka kazini na tumevaa uniform tukafungwa pingu safari kituoni pale mwanjelwa lkn kabla ya kufika pale kituoni walikua wanaendelea kufanya doria bc tukazunguka nao tukafika sehemu gari ikasimama askari akashuka akaenda kwenye kichochoro akamkuta jamaa kamuinaisha malaya wakashikwa na wao nikawaambia kama mna hela wapeni hao kweli wakawapa wakaachiwa kwasababu kwa muda tuliokaa nilijua walikua wanataka nini wale askari hasa mmoja hv ndyo alikua kiherehere sana ana sura fulani ukimuona utasema huyu jambazi tukafika kituoni kuna sehemu tukarundikwa pamoja na wanawake nadhani ni mapokezi ikabid pale nifunguke nikaona hii ngoma ngumu hapa hatutoboi mechi hii ya ugenini ikabidi nimwambie askari bhana mm ni mtumishi sehemu fulani nipo na mwenzangu c unaona tumevaa na uniform akasema subiri akaona ulaji huu zikapita dk mbili tukaitwa tukaambiwa tusaini sehemu kama tutaleta hela nazani ilikua zuga akasema kesho mapema tupeleke 40000 Yule askari akatugawia na bangi sijui waliikamata wapi tukapewa bangi tukaondoka ingawa kwa sasa nimeacha bangi unaaenda mwaka wa pili sasa tulivyotoka pale tulikuwa na wenge mlango waliotutolea ni tofauti na tuliojia walitutolea upande ule kama unaenda chuo cha Teofilo kisanji bc kule tukawa tunasonga mbele tukajikuta tupo mbali hatujui tunarud vp tulichoka sana tukaiona bajaji tukamwambia dereva tunaenda sehemu fulani akacheka akasema sasa huku mnaenda wp tulipakiwa pale tukarud job kufika job tuligundulika hatukuwepo kazin lakini ndyo hvyo tukasolveHabari,
Je ulishawahi kulala lock up au selo? Ulikuaje mpaka ukalala?
Karibuni wajumbe ili tuelimike