round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,037
Ni ushauri wa bure kabisa.
Kabla hujapelekwa lockup hasa kwa makosa ya kawaida jaribu kumalizana nao mapema, lugha wanayoelewa ni pesa $$$, mara nyingi mnaweza malizana kwa kiasi kichozidi laki 1, jipinde unavyoweza wape hio pesa, ukifika kituoni kuna mnyororo mrefu na kiasi kinaongezeka
Hakikisha unapigia simu watu wako wa karibu hasa familia na ndugu, ukiingia kituoni ni ngumu kupata simu
Watu wengi huwa wanapuuzia haya kwa kudhani watatotoka asubuhi, kosa kubwa sana ! unaweza kukaa zaidi ya wiki hadi mwezi na wakikuchoka wanakutupia mahabusu waweza kaa miaka