Je, unaziona ndoto zako rohoni?

Je, unaziona ndoto zako rohoni?

Unataka kuwa nani maishani.. Unataka kufanya nini maishani. Hiyo roadmap utaiona rohoni mwako kila uendapo, kila ufanyalo na hata katika usingizi na uchovu mwingi utajiona wewe katika uhalisia wako ndani ya hizo ndoto zako

Haijalishi utachelewa muda gani kuzifikia Kila mmoja wetu ana muda wake wa kupata. Wengine wanachelewa na wengine wanawahi. Sometimes ni heri kuchelewa lakini ufike milele kuliko uwahi kisha ufeli kabla kesho haijapambazuka. Kuchelewa kupata utakacho ni maono pia.

Usiishi kwa kihoro cha kuchelewa kutimiza ndoto. Usibabaike na waliokutangulia.. Jenga msingi wako rohoni ukitumainia yajayo. Lakini usibweteke ila usitumie mkato pia. Usiyalazimishe mafanikio yako kupitia njia zisizo sahihi. Usitumie kafara na nguvu za giza. Utapata kwa wakati huo. Lakini itakapofika kupata kwa halali. Haramu itakuwa imeshanajisi njia yako na anguko lako litaanzia hapo.
Mimi ni Mwanasheria mkubwa na maarufu sana hapa nchini na nje ya mipaka yetu. U-nguli wangu huo kwenye sheria sambamba na kuwasaidia maelfu ya wahitaji wa huduma ya sheria na kuleta furaha nyusoni na myoyoni mwao, unaningizia kipato kikubwa na hivyo kunifanya kuwa mtu tajiri pia. Huu ni mwaka wa 6 sasa (kutoka 2017) ninapambana kufaulu mtihani wa shule ya sheria (Law School) na sifanikiwi. Matokeo yametoka juzi tarehe 25.04.2022 ambapo bado sijafaulu, ni somo moja (komponenti moja) tu lililobaki. Nimetumia jitihada zote za kibinadamu (kujiandaa vizuri, kujibu kwa usahihi nk) kuhakikisha nafaulu somo hilo lakini limekwama. Nimefanya mitihani ya somo hilo zaidi ya mara 8 lakini sijafanikiwa kufaulu. Kimahesabu, wapo watu waliokua mwaka wa kwanza wa shahada ya sheria wakati mimi nasoma Law School 2016/2017, wamemaliza shahada yao (miaka 4) na kusoma Law School na kufaulu na sasa ni mawakili (Seniors), mimi bado nipo palepale, kutafuta ufaulu. Kibinadamu nimechoka sana, maana nakosa namna ya kufanya. Mfumo wa usahishaji wa mitihani ya Law School ni wa siri sana hivyo hata ukukata Rufaa ni vigumu kujua kama imefanyiwa kazi kihalisia au la. Naomba sana Mungu nishinde vita hii na nisikate tamaa. Sielewi ni kwa nini ndoto yangu hii inazuiwa au inachelewa kutimia, nimemuomba Mungu anioneshe kikwazo na kunipa njia sahihi ya kukitatua, naomba waamini mniombee pia niweze kufanikisha ndoto yangu. Maumivu ni makubwa kwa kuwa kufeli kwa mitihani sio tu kunachelewesha ndoto bali pia kunafanya kipato kisipatikane mezani, naishi kwa misheni town ilhali mimi ni Mwanasheria mkubwa na maarufu. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi - ila kibinadamu, tunapenda mambo yaende kwa wakati uliopo. Mshana Jr
 
sajo pole sana kwa hili kuna kikwazo mahali kuna mkwamo na inawezekana kabisa ni matendo ya binadamu.. Naomba sana ukiweza tumia ile tiba yetu ya chumvi ya mawe walau kwa mwezi mmoja.. Kama hicho kitu kinatokana na matendo ya binadamu kuna vingi vitajitokeza kipindi cha tiba
Pili kuna kitu kinaitwa laana za kifamilia nitakupa link yake kama hujaisoma hiyo mada.. Hiki kitu kinatesa wengi hivyo hebu chungulia huko kwenu kama hakuna kesi kama hiyo

Tati inawezekana kabisa wakati haujatimia, kwakuwa sometimes kucheleweshewa jambo kuna maana ya kutakiwa kuwa mahali bora zaidi

All in all tiba ya chumvi ndani ya mwezi mmoja inaweza kukupa majibu mengj kwakuwa hata hicho unachokipata pengine kinaingia kwenye mikono iliyotoboka.. Ila usiumie sana nothing last forever..kukichwa kutambazuka.. Hata usiku uwe mrefu kiasi gani, hata kiza kiwe kinene kiasi gani..KUTAPAMBAZUKA TUU

Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako, nimefarijika sana. Toka andiko lako nilipolisoma na ulivyoweka link za tiba ya chumvi nimezisoma kwa umakini, nitaifanya.
 
Bwana mshana hivi hii inakuaje unaona ndoto then hio ndoto ndo inakua mwongozo wako wa siku na yale matukio ulioyaona ndotoni unakutana nayo mchana kama yalivo mpaka unasema hii si nimeiona jana nilivo lala nisaidie ufafanuzi wake ndugu.
 
Hizo ni ndoto maono
 
Ahaaa lkn vip kama nikiota jambo baya je si linaweza nitokea kama nisipofata mana kuna siku niliota jambo baya siku inayofuata nilipigwa roba na kuporwa simu mbili na hela juu lakini kama ningeifata ndoto yasingenitokea
We kaka una maono makubwa sana ya ndotoni, na hiyo ni karama yake Mungu anayomjalia yeyote kwa kadri itavyompendeza kupitia nguvu za Roho Mtakatifu.

Wiki 3 zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na ndoto za mauaji mengi zaidi hasa na kujikuta miongoni mwao nabaki pekeyangu. Nilikuwa nikiamka na kusali usiku wa manane lakini zile ndoto hazikuacha kutojirudia kwa siku 3 mfululizo.

Niliota watu wameuwawa kwa bastola, mara mapanga, mara mikuki na mishale.

Ilibidi nitumie silaha nzito sana kutokomeza zile roho chafu za mauti(maombi ya kufunga kwa zaidi ya siku 2 mfululizo).

Siku ya 5 kwa wiki hiyo hiyo walitokea panya roads na kucharanga charanga Watu zaidi ya 25 mapanga na wawili kufariki dunia baada ya kufikishwa Hospitalini na kuzidiwa kwa majeruhi makubwa waliyoyapata tokana na uvamizi huo wa panya roads.

Matukio hayo yalitokea umbali wa mitaa mitatu tu kufikia mtaa niliokuwa mimi.

Ukiota ndoto za matukio mabaya, amka wakati huo huo na kuzikemea kwa maombi na hakika hautatokewa na madhara yoyote katika maisha halisi.

Basi itunze hiyo karama ndugu kwa kuomba mara kwa mara, kufunga na kusali wakati wowote na jitahidi maisha yako yaakisi tabia yake Mungu kihekima ili uzidi kushuhudia ukuu wake Mungu.
 
Utimilifu wa ndoto katika maisha ya mafanikio huanzia rohoni na si mafanikio tuu bali kila jambo katika maisha bila kujali uzuri ama ubaya wake! Kwakuwa roho ndio asili na ndio chanzo cha kila kitu katika ulimwengu wa mwili?

Je unaziishi ndoto zako? Ama bado hazijatimia? Je unaziona ndoto zako katika uhalisia wake! Ni kama vile upandavyo mazao kondeni.. Unajiona tangu maandalizi ya shamba, kupanda palizi kukomaa na hatimaye mavuno! Utimilifu wa ndoto..! Je unaiona hii picha kwa vipande? Hatua kwa hatua?

Hapa tofautisha ndoto hizi za rohoni na ndoto zile za kichwani. Ndoto za Alinacha. Ndoto za kuota una pesa mingi bila mipango, unaendesha ndinga kali unachukua bebes za viwango, kasri lenye kila aina ya starehe nknk.. Sio ndoto hizi ambazo waotaji wake hawawazi mwanzo wa kufikia kupata bali wanawaza mwisho wa matokeo ya kupata na kutumia..ndio maana ziko kichwani juu na sio rohoni ndani!

Unataka kuwa nani maishani.. Unataka kufanya nini maishani. Hiyo roadmap utaiona rohoni mwako kila uendapo, kila ufanyalo na hata katika usingizi na uchovu mwingi utajiona wewe katika uhalisia wako ndani ya hizo ndoto zako

Haijalishi utachelewa muda gani kuzifikia Kila mmoja wetu ana muda wake wa kupata. Wengine wanachelewa na wengine wanawahi. Sometimes ni heri kuchelewa lakini ufike milele kuliko uwahi kisha ufeli kabla kesho haijapambazuka. Kuchelewa kupata utakacho ni maono pia.

Usiishi kwa kihoro cha kuchelewa kutimiza ndoto. Usibabaike na waliokutangulia.. Jenga msingi wako rohoni ukitumainia yajayo. Lakini usibweteke ila usitumie mkato pia. Usiyalazimishe mafanikio yako kupitia njia zisizo sahihi. Usitumie kafara na nguvu za giza. Utapata kwa wakati huo. Lakini itakapofika kupata kwa halali. Haramu itakuwa imeshanajisi njia yako na anguko lako litaanzia hapo.

Maisha sio leo maisha ni kesho na kesho ni kubwa kuliko Jana, kuliko juzi, kesho ni kaka mkubwa wa leo. Usibweteke ila ziishi ndoto zako katika njia sahihi. Hata kama hujapata na hata kama muda haujatimia lakini ishi kwenye maandalizi ya KUWA utakaye kuwa!
Dressing code yako
Matendo yako
Mienendo yako
Maono yake vyote viashirie utakayekuwa baadae. Haijilishi ndoto zako ni kuwa
Mama wa nyumbani anza sasa
Msanii mkubwa anza sasa
Kiongozi mkubwa anza sasa
Mfanyabiashara mwenye mafanikio anza sasa
Mtu maarufu anza sasa
Paroko, Sheikh, mchungaji anza sasa
Mtunzi maarufu anza sasa
Mwanasayansi na jasusi anza sasa!

Kuna baadhi ya ndoto za rohoni hujidhihiri kwa watoto wadogo tangu mwanzo.. Maana matendo na mienendo yake huchora ramani inayoonekana!

Kumbuka hakuna ndoto za rohoni zinazojifunua uwe
Tena
Malaya
Jambazi
Mdangaji
Tapeli
Mwizi
Muongo nknk
Hayo ni matendo ya giza baada ya ndoto kufa kwa sababu zozote zile!

Kama kila ukijiangalia mawazoni kuna mahali unatamani kuwa lakini rohoni unaona kiza..achana na hizo fikra.. Hutafika popote..

Nawatakia Jumamosi njema ya Pasaka
Jr[emoji769]
16.04.2022
Uzi wako ni wamaana sana."hua Kuna vitu napata vya maana sana.akubariki mungu kwa kutuongezea ELIMU dunia.
 
Mimi ni Mwanasheria mkubwa na maarufu sana hapa nchini na nje ya mipaka yetu. U-nguli wangu huo kwenye sheria sambamba na kuwasaidia maelfu ya wahitaji wa huduma ya sheria na kuleta furaha nyusoni na myoyoni mwao, unaningizia kipato kikubwa na hivyo kunifanya kuwa mtu tajiri pia. Huu ni mwaka wa 6 sasa (kutoka 2017) ninapambana kufaulu mtihani wa shule ya sheria (Law School) na sifanikiwi. Matokeo yametoka juzi tarehe 25.04.2022 ambapo bado sijafaulu, ni somo moja (komponenti moja) tu lililobaki. Nimetumia jitihada zote za kibinadamu (kujiandaa vizuri, kujibu kwa usahihi nk) kuhakikisha nafaulu somo hilo lakini limekwama. Nimefanya mitihani ya somo hilo zaidi ya mara 8 lakini sijafanikiwa kufaulu. Kimahesabu, wapo watu waliokua mwaka wa kwanza wa shahada ya sheria wakati mimi nasoma Law School 2016/2017, wamemaliza shahada yao (miaka 4) na kusoma Law School na kufaulu na sasa ni mawakili (Seniors), mimi bado nipo palepale, kutafuta ufaulu. Kibinadamu nimechoka sana, maana nakosa namna ya kufanya. Mfumo wa usahishaji wa mitihani ya Law School ni wa siri sana hivyo hata ukukata Rufaa ni vigumu kujua kama imefanyiwa kazi kihalisia au la. Naomba sana Mungu nishinde vita hii na nisikate tamaa. Sielewi ni kwa nini ndoto yangu hii inazuiwa au inachelewa kutimia, nimemuomba Mungu anioneshe kikwazo na kunipa njia sahihi ya kukitatua, naomba waamini mniombee pia niweze kufanikisha ndoto yangu. Maumivu ni makubwa kwa kuwa kufeli kwa mitihani sio tu kunachelewesha ndoto bali pia kunafanya kipato kisipatikane mezani, naishi kwa misheni town ilhali mimi ni Mwanasheria mkubwa na maarufu. Wakati wa Mungu ni wakati sahihi - ila kibinadamu, tunapenda mambo yaende kwa wakati uliopo. Mshana Jr
Aisee pole sana, wakati nasoma shahada yangu ya pili niliteseka na kupata machungu nusu niache shule na nilipata depression na kuugua kisa shule, but I was farting and praying na nikakumbuka kutoa sadaka na fungu la kumi na nilikuwa nasali naiombea sadaka iondoe kikwazo chochote a day nimetoa sadaka hyo baada ya kutoka kanisani mikitembea mjini nilikutana na mtu akaniombea simfahamu that day I vomited na weak hiyo nikapigiwa simu nikakusanye vitabu ni graduu Hadi nilishangaa, na kazi yangu ilikuwaga Haina makosa imepitia editing had za ma Prof ila ilikuwa ngumu kutoboa, I believe Kuna vitu watu hufanyizia wengine Ili ucheleww kufia kusudi na destiny yako, so Anza maombi ufunge na utoe fungu la kumi pia usisahau kusoma Malaki 2 inazungumzia kuhusu sadaka ilinisaidia sana

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
We kaka una maono makubwa sana ya ndotoni, na hiyo ni karama yake Mungu anayomjalia yeyote kwa kadri itavyompendeza kupitia nguvu za Roho Mtakatifu.

Wiki 3 zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na ndoto za mauaji mengi zaidi hasa na kujikuta miongoni mwao nabaki pekeyangu. Nilikuwa nikiamka na kusali usiku wa manane lakini zile ndoto hazikuacha kutojirudia kwa siku 3 mfululizo.

Niliota watu wameuwawa kwa bastola, mara mapanga, mara mikuki na mishale.

Ilibidi nitumie silaha nzito sana kutokomeza zile roho chafu za mauti(maombi ya kufunga kwa zaidi ya siku 2 mfululizo).

Siku ya 5 kwa wiki hiyo hiyo walitokea panya roads na kucharanga charanga Watu zaidi ya 25 mapanga na wawili kufariki dunia baada ya kufikishwa Hospitalini na kuzidiwa kwa majeruhi makubwa waliyoyapata tokana na uvamizi huo wa panya roads.

Matukio hayo yalitokea umbali wa mitaa mitatu tu kufikia mtaa niliokuwa mimi.

Ukiota ndoto za matukio mabaya, amka wakati huo huo na kuzikemea kwa maombi na hakika hautatokewa na madhara yoyote katika maisha halisi.

Basi itunze hiyo karama ndugu kwa kuomba mara kwa mara, kufunga na kusali wakati wowote na jitahidi maisha yako yaakisi tabia yake Mungu kihekima ili uzidi kushuhudia ukuu wake Mungu.

Asante sana ndugu kwa kunitia moyo pia kuna dhambi flan flan hiv nikizitenda kwa siri aisee napata mapigo kwa haraka sana na huwa naona kabisa kuwa hii nimefanya chukizo kwa muumba wangu,,ndugu ni mengi yananitokea kama harufu za vifo kwa familia yangu ndo nakua wa kwanza kuona kuna mtu anaondoka muda si mrefu na kweli inatokea kuna siku moja nilikiona kifo kabisa kwa ndugu yangu nikasema saaa nifanye nini juu ya hili kweli nikapotezea yamkini ningefunga na kuomba kisitokee labda kisinge tokea kuna wakat naona kabisa roho yangu inaona mambo mabaya yakitokea katika ulimwengu wa roho na nisipo omba yasitokee hua yanatokea mpka najiuliza je nikasomee uchungaji ili nianze kutoa huduma hadharani au niwe napambana nayo tu ki namna yangu lakin huwa najipa moyo kama MUNGU amepanga nijekua mtia huduma za kiroho muda ukifika siwezi kuzuia.
 
Back
Top Bottom