Ohh!Kumbe ndoto ikijirudia hua inamaanisha,mi nlikua napuuzia.
Em nambie hii inaweza kuwa na maana gani,inajirudia sana hii ndoto,inansumbua sana.
Kipindi cha nyuma nliwahi kumfanyia mtu kazi (ni baba,ana family ya mke na watoto 2)ni mwanajeshi,anavaa v3),lakini ktk malipo alinidhulumu 330k.Kuna siku nkamkumbusha akanijibu'usinifosi kukulipa,ukirudia tena kunikumbusha siku lipi.'basi mi sijawahi kumkumbusha mpaka leo ni miaka miwili yupo kimya. Huwa najiuliza sana,kwanini anidhulumu wakati uwezo wa kunilipa anao na katka kazi me nayeye hatukuwahi kuwa na tofauti au mgogoro wowote jamani?
Tangu mwezi wa6 mwaka jana nimekua nikiota bado natumikishwa kwenye ileile kazi na huyu boss wangu. Hii ndoto inanisumbua sana,kwa mwezi naiota mara 6.Yan hata alhamis ya juz nimeiota.