Je, unaziona ndoto zako rohoni?

Je, unaziona ndoto zako rohoni?

dah!!Sawa ngoja nimwachie mungu tu.

Na je! Mtu akiota anasali na kukemea mapepo hua inamaanisha nini?(hii nayo inanijia mara nyingi sana tokea january ya mwaka huu)yaan hata kama nimchana tu usingzi unipitie,inakuja hii ndoto.
Aisee uko vizuri sana kiroho.. Yani iko so automatic.. Sio tatizo bali unapaswa kumshukuru Mungu kwa hilo.. By the way jaribu tiba ya chumvi.. Ndoto nyingi mbaya zinatoka na hata wadeni watukutu wanaweza kuanza kukulipa.. Jaribu utaona
 
sawa mkuu.Ngoja nifanye tiba ya chumvi fasta
 
Muda haujatimia am sure hata 45 hujafikisha..
Kuna wengine muda hutimia asubuhi
Wengine mchana
Wengine jioni
Jifunze toka kisa cha mpanzi kwenye Bible
Kweli hata 40 Bado kidogo lakini siyo sababu ya Mimi kutotimiza ndoto! Inaniuma kabisa ikiwa mtu ukiwaza jambo baya mara Moja kukufikia lakini jambo zuri unasugua got Hadi basi yaan
 
Aisee uko vizuri sana kiroho.. Yani iko so automatic.. Sio tatizo bali unapaswa kumshukuru Mungu kwa hilo.. By the way jaribu tiba ya chumvi.. Ndoto nyingi mbaya zinatoka na hata wadeni watukutu wanaweza kuanza kukulipa.. Jaribu utaona
Chumvi inakuaje
 
Chumvi inakuaje
 
niwekee link ya sehemu ya pili ya huu uzi wa chumvi nmeutafta siuoni mkuu
 
Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu
 
Back
Top Bottom