The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,835
- 3,294
Hahahaha jamaa mchochezi ww et pozi la kusisimuaView attachment 989966
Kijana wa KIHIJRA akiwa amekula "pozi"lenye kusisimua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha jamaa mchochezi ww et pozi la kusisimuaView attachment 989966
Kijana wa KIHIJRA akiwa amekula "pozi"lenye kusisimua.
Ndo nani huyo mkuuSasa hivi ndio naanza kuelewa kwanini Atal Behari Vajpayii alikuwa hana mke wala mtoto.
Kuna Uwezekano mkubwa Atal Behari Vajpayii alikuwa Khusra.
Waziri Mkuu wa India ambae kwa sasa ni Marehemu alitoka kwenye Chama cha Kihindu cha BJP.Mkuu fafanua kidogo uyo atal behari ni nani na kafanya nni.samahan mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule muuza simu?Kuna mmoja hapo anafanana na jamaa mmoja wa humu JF alikua anaitwa MUNAWAR
Kweli kabisa, wengine vibaruani mabosi wetu ni wahindi, tukisoma habari kama hii sijui tunaangaliana nao vipi hapa kazininimejaribu kupata taarifa zao zinatisha kwa kweli
Mambo mengine ni bora usiyafahamu ubaki na ujinga wako
Na Mimi najua Mungu yupo tena cyo kwa nadharia nimemwona dhahiri, shida ya imani nipale inapokuwa potofu, na imani ni imani, iwe potofu au ya kweliMungu yupo!
Kwahiyo uyo aliye lala hapo ni kidume.View attachment 990151
Marehemu Mahatma Ghandi hakuwa na Noma na kwa Makhusra.
Waziri Mkuu wa India ambae kwa sasa ni Marehemu alitoka kwenye Chama cha Kihindu cha BJP.
View attachment 990137
True!Na Mimi najua Mungu yupo tena cyo kwa nadharia nimemwona dhahiri, shida ya imani nipale inapokuwa potofu, na imani ni imani, iwe potofu au ya kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahha akikukera una imagine na yeye ni hijra alafu unampotezeaKweli kabisa, wengine vibaruani mabosi wetu ni wahindi, tukisoma habari kama hii sijui tunaangaliana nao vipi hapa kazini
Hehehhehe
Sent using Jamii Forums mobile app