Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,251
- 40,816
Sasa wanazaliana na kuongezeka vp? Au kuna wanaojitoa muhanga (walokole) wa kihindu
Kuna mmoja hapo anafanana na jamaa mmoja wa humu JF alikua anaitwa MUNAWAR
Wale ni utamaduni wao bila kujali dini zao,ndio maana kuna waislamu na wakristo mashoga japo dini zao haziruhusu.Kwa hiyo UHINDU unaruhusu Mapenzi ya Jinsia Moja?!
Mapenzi ya jinsia moja vipi ilhali wamekatwa sehemu za siri?Hawa jamaa ni Mwisho wanaishi katika maisha ambayo inasemekana ni ya Kidini Kihindu.
Huamua kukata sehemu zao za siri na kuishi kama Wanawake,pia huvaa Nguo za Kike yaani Sari.
Jambo la kushangaza hakuna hata NGO moja inayosema kuwa huo ni Ukeketaji na Unyanyasaji wa Kijinsia HIJRA kama wanavyoitwa huko India pia huitwa kwenye Sherehe mbalimbali za Kijamii kama harusi nk.
Mahijra pia hujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
ziweke pm mkuuKuna baadhi ya Picha za HIJRA wakati wanakatwa Uume kwakweli huwezi kuziweka hapa...anyway lakini wao wanasema wanamuenzi moja ya miungu wa Kihindu.
Kwa pozi hili sasa naanza kuaminiView attachment 989966
Kijana wa KIHIJRA akiwa amekula "pozi"lenye kusisimua.