Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
transaction zipi tena?
transactions zote.
transaction zipi tena?
Labda wanifanye msukule lakini vinginevyo "Hell No"...Eti niambie we watu wengine wanaweza kufanya mahusiano yako na deshi deshi yafe?
It has never happenedyes tf suppose upo kwenye mahusiano na binti x rafiki zake wanakuletea maneno mabaya,ndugu zako hawampendi ,na wazazi wake hawakutaki hayo mahusiano yatakuwa matamu kweli?
external factor ina nguvu sana lizzy kuwa huyaone relationship nyingi zinafail kwa sababu ya watu wa nje
Labda wanifanye msukule lakini vinginevyo "Hell No"...
Hatukatai kwamba haipo ila hao watu ni watu wanaofanya vitu kwasababu "fulani kasema. . . fulani haniungi mkono. . . fulani hapendi. . .nimesikia hivi/nimesikia vile" na sio kwasababu yeye anapenda au taka kufanya.ila kwenye society watu kama hao wapo na zipo relationship zinazokutana na situation kama izo ndo hapo utaJua impact ya jamii katika mahusiano
:lol::lol::lol:oaAhhhh afadhali. . . nlidhani utaniabisha kwa kujitambulisha kama "kichwa panzi".
mahusiano ni uwekezaji/investmentna kama investment nyingine ili iwe succesfull vitu vifuatavyo vinaitajika1-capital-pesa ni muhimu ili mapenzi yenu yaweze kusimama kama wallet inasoma sifuri nadhani majibu yake mnajua2-human resources-watu nao wana impact kubwa ili mahusiano yawe imara ,kwanza nyie wenyewe na watu waliowazunguka3-time ni lazima muwe tayari kudedicate muda wenu ili mahusiano yadumu sio kila siku mtu yupo bize bize kama mim4 place eneo la tukio nalo linacount sana kwenye mahusiano kama mpo mbalimbali au mpo eneo mmoja yote yana matokeo flani kwenye mahusiano5 mnaweza kuendelea kabla sijarudi wakuunb kama hujajipanga ni bora ukasubiri
Aisee Lizzy kuna watu wanakuwaga determined kuharibu Mahusiano ya ya watu usipime...na sasa hapo wahusika ndo mkiwa 'vichwa panzi' lazima mwende na majiEti niambie we watu wengine wanaweza kufanya mahusiano yako na deshi deshi yafe?
anhaa...kwahiyo kumbe hii mada uliyoitoa ni unajaribu ku review notes zako tu sio!??nipo kozi wewe ni yule nikujuaye au nakufananisha?
ila una "KREM" tu....mimi huwa sikariri