majata
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 431
- 179
wajumbe, tumpime raisi wetu kiasi gani anakubalika kwa kumpa asilimia za ufanisi wake tangu aingie madarakani 2005 kulingana na mtazamo binafsi wa kila mjumbe, hii naona itamsaidia kuboresha zaidi utendaji wake na kurekebisha mapungufu fulani ambayo tunayaona wazi wazi ktk utawala wake.