Je, unampa JK asilimia ngapi za uongozi bora?

Je, unampa JK asilimia ngapi za uongozi bora?

kwa uongozi bora 0% kwa bora uongozi 100%
 
Sema % ngapi kwa JK kuwa bora kiongozi. Maana yeye yupo kwa vile nchi haiwezi kuwepo bila ya kuwa na kiongozi.
 
nampa zote 100%, sioni alipokosea.
Lazima utakuwa na makengeza ya akili. Ni Mungu tu aliye na 100%, wengine wote wana mapungufu sana mfano wa madhaifu makubwa ya JK ni ukigeugeu, kutokuwa na muono wa mbali wa maamizi yake e.g kujivua gamba. Hayo ni baadhi ya mapungufu hivyo 100% haipo tena!
 
Nitampa F ya uongozi, A ya kueneza udini katika nchi isiyo na udini, A ya kuwafuga mafisadi, A ya kusafiri, A ya kutabasamu, A ya kuhongwa suti, A ya kutojua matatizo ya nchi anayoiongoza ( Hajui kwa nini Tanzania ni masikini) na mwisho kabisa A ya ushikaji. Kwa ujumla katika mambo ya msingi atascore F na katika mambo yasiyo ya msingi (mizaha) atafaulu kwa kiwango cha A.

kama ni mtihani una A
 
Mi nitakuwa na mtazamo tofauti kidogo, naona wanajf hatujaelewa tumeambiwa tumgrade kulingana na yale aliyoyafanya, sasa kutaja mabaya afu unampa 100% si dhani kama ni sahihi. Imagine we ni mwl mwanafunzi akikosa inamaana utampa maksi kwa kukosa au utamnyima maksi kwa kukosa? Mi kama ningekuwa mwalimu afu wanasema ni evaluate ningempa 15% (F): kaweza kuweka uhuru wa kutoa maoni, aliruhusu mjadala wa Richmond kujadiliwa bungeni, Kaasisi udini, anakumbuka ufisadi, anagawa mali asili kwa wageni, ameruhusu tuibiwe wanyama pori wetu hasa mnyama wa Taifa yaani Twiga, ameruhusu downs walipwe bil. 111, ameshindwa kuitii demokrasia na akakubari kuwa rais huku kaiba kura, kashindwa kudhibiti mfumko wa bei, kaongeza deni la taifa . Kwa performance hii anastahili 15%
 
To be fare this Dr deserves 15% at least a little press freedom as we do!
 
Je, unampa JK asilimia ngapi za uongozi bora?
Hii ndio title ya thread, kwa hapa mmeulizwa 'uongozi bora", hayo mengine yameshajadiliwa sana. Tuendelee ....
 
Mr Kikwete unachangamoto nyingi, lakini kuna mambo ya wazi yanaonekana katika utendaji kazi wako "KULINDANA" pale makosa ya utendaji yanapotokea ndo maana uongozi wako umeoonyesha kutojali Maendeleo kwa Wananchi na Maisha kuwa Magumu na thamani ya Shilingi kuaanguka kila kukicha. 45% ya kweli na yenye utafiti wa uongozi wako inakustahili mpaka sasa, sijui ikifika 2015 utafikia wapi.
Nakutakia kazi njema Mkuu.
 
Maria 1047 mbona kidogo sana? ungekuwa Mwl wanafunzi wako wote wata-fail mitihani yako
Naona kama Maria 1047 amempendelea kumpa marks nyingi asizostahili. Kama mimi ningetangulia kum-access ningempatia 0.001 tu au 1/1000
 
Nitampa
F ya uongozi,
A ya kueneza udini katika nchi isiyo na udini
A ya kuwafuga mafisadi
A ya kusafiri
A ya kutabasamu
A ya kuhongwa suti
A ya kutojua matatizo ya nchi anayoiongoza ( Hajui kwa nini Tanzania ni masikini)
A ya ushikaji ktk serikali yake
F na katika mambo yasiyo ya msingi (mizaha)
hapo ukifanya mara 0 unapata
f40
 
mbona mnamlaumu bure rais wetu na chama chake wametufanya tuendelee sana kila kona ya nchi hasa vijijini watu wamepiga hatua kuuubwa mno. Lakini tatizo kuendelea kwetu ni kwa kurudi nyuma na HATUA KUBWA ZIMEPIGWA KURUDI NYUMA. AMEKUBALI YEYE AENDELEE MBELE ILI MRADI SISI TURUDI NYUMA.... CCM JUU JUU JUU ZAIDI NA WANANCHI CHINI CHINI CHINI ZAIDI. hiki ndicho kilichopo
 
50% kwa kuwa kigeugeu kwenye maamuzi yake,50%kuchekacheka 2 hata ktk masuhala yacyoitaji kucheka.Hizo ndo % zangu kwake.
 
wajumbe, tumpime raisi wetu kiasi gani anakubalika kwa kumpa asilimia za ufanisi wake tangu aingie madarakani 2005 kulingana na mtazamo binafsi wa kila mjumbe, hii naona itamsaidia kuboresha zaidi utendaji wake na kurekebisha mapungufu fulani ambayo tunayaona wazi wazi ktk utawala wake.

Umjui JK,huyu jamaa hata ukienda kumpigia kelele sikioni hawezi kusikia..nampa 0.99% na hii bado naumia.
 
Kwa upeo wangu naamini kuna mambo kadhaa lazima uyapitie ili kusema huyu ni kiongoz bora kwa asilimia fulani Hivyo wanazuon na wataalam wa masuala ya utawala naomba mtusaidie ili tuweze kuchangia ki-kuntu zaidi.
 
Back
Top Bottom