Je, unampa JK asilimia ngapi za uongozi bora?

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
wajumbe, tumpime raisi wetu kiasi gani anakubalika kwa kumpa asilimia za ufanisi wake tangu aingie madarakani 2005 kulingana na mtazamo binafsi wa kila mjumbe, hii naona itamsaidia kuboresha zaidi utendaji wake na kurekebisha mapungufu fulani ambayo tunayaona wazi wazi ktk utawala wake.
 
99.9%, naacha 0.1 atuwashie umeme tu. Hayo ni maoni yangu tu.
 
5% kwa hotuba nzuri siku ya Baraza la Eid na kuongea wazi wazi kuwa serikali haitaanzisha mahakama ya kadhi wala haitagharamia uendeshaji wake!
 
Kwakweli ktk jitihada zake ktk maeneo ya kuboresha ELIMU na UHURU WA KUTOA MAONI nampa 98%.hizo 2 zilizobaki amalizie suala la madawati mashuleni.Big up JK and happy birthday.
 
Nitampa F ya uongozi, A ya kueneza udini katika nchi isiyo na udini, A ya kuwafuga mafisadi, A ya kusafiri, A ya kutabasamu, A ya kuhongwa suti, A ya kutojua matatizo ya nchi anayoiongoza ( Hajui kwa nini Tanzania ni masikini) na mwisho kabisa A ya ushikaji. Kwa ujumla katika mambo ya msingi atascore F na katika mambo yasiyo ya msingi (mizaha) atafaulu kwa kiwango cha A.
 
JK ni kichwa!!!!!!!!
Amefanya mengi yaliyowashinda watangulizi wake!
1:Amesaidia sana kumuua mgonjwa mahututi aitwaye CCM!
2:Ni rais asiyejua chanzo cha umaskini wa wananchi wake
3:Hajui kwann anaonewa kwa kulaumiwa upungufu wa umeme kwan
yeye si MUNGU!
Kwa kweli huyu ndugu anafurahisha!

BIG UP PRESIDAA,NAKUPA 100%
 
KTK 100%,NAMPA
70% kwa kuiua CCM(BIG UP SANA PRESDAA WENG WALSHNDWA)
5%uongoz bora-(uhuru wa vyombo vya habari kama JF)
25% kueneza udini ambao haupo(kaniboa sana)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom