Je, unamjua James Gayo (KINGO)?

Je, unamjua James Gayo (KINGO)?

1478864975003.jpg
 
Katuni za Kingo ni nzuri sana kwa kuwa zinafanya ubongo ufanye kazi sana ni kama mafumbo vile. Na ukishaielewa unaburudika sana. Uzuri wake hazina kizuizi cha lugha. Mtu yeyote wa taifa na lugha yoyote anaweza kuzielewa vizuri.
Katuni zake zilishavutia gazeti moja la Zambia nilishangaa siku moja nakuta gazeti la Zambia lina katuni za kingo.
 
Nafikiri Bwana Gayo wa Kingo atakuwa amekula simbi kwa ndugu Charles Champlin toka England,
Maana huyo mchekeshaji alikuwa anatenda kimya kimya...and he was great kama Kingo wa leo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom