Kwa wale wasomaji wa gazeti la mwanachi , nadhani wataaungana na mimi juu ya mchoraji wa Katuni ya " KINGO".
Ni moja kati ya katuni Kongwe,iliyojaa Elimu ,na Burudani tele.
James Gayo ,ndie mchoraji wa Katuni hiyo .Huyu jamaa ni creative na anafikisha ujumbe kwa style ya pekee mno.
Anastahili tuzo.
Big Up "James Gayo".
Was born in 1962View attachment 230365
James Gayo ni mchoraji katuni bora kuliko wote Tanzania. Niliambiwa kuwa ni Mwalimu wa kwaya kanisani. Hakuna anayemfikia