Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,027
- 2,252
Hivii huyu jamaa anapatikana kwa social medias??
Hivii huyu jamaa anapatikana kwa social medias??
Hahaaaaaa. hii post imenikumbusha magwiji wa sanaa hii kama vile Oscar Makoye (tolu), Noah yongoro, Abdul kingo, Nathan mpangala (kijasti), Gaston Nnunduma, King kinya, Danny Mzena, Aloys James, nk
Nimewahi kukutana na mfanyakazi wa duka la vitabu nchi moja ya jirani na akanibishia sana kuwa James Gayo sio Mtanzania.
Kwa wanaojua 'fasihi' ya Kingo isije ikawa anaelezea juu ya 'jiwe walilolikataa wajenzi feki' then likapata matumizi kwa 'wajenzi makini'.