Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
Kazi gani mzee?Unajuaje wewee?
Fanya kazi
Kazi gani mzee?Unajuaje wewee?
Fanya kazi
Wewee tulia na acha porojo. Fanya kazi wewe.Kazi gani mzee?
Picha yakeKwa wale wasomaji wa gazeti la mwanachi , nadhani wataaungana na mimi juu ya mchoraji wa Katuni ya " KINGO".
Ni moja kati ya katuni Kongwe,iliyojaa Elimu ,na Burudani tele.
James Gayo ,ndie mchoraji wa Katuni hiyo .Huyu jamaa ni creative na anafikisha ujumbe kwa style ya pekee mno.
Anastahili tuzo.
Big Up "James Gayo".
![]()
Huyu jamaa vibonzo vyake navipenda sana,kwanini asiwe na page Instagram au fb tu like tuwe tunapata vibonzo kila siku?Kwa wale wasomaji wa gazeti la mwanachi , nadhani wataaungana na mimi juu ya mchoraji wa Katuni ya " KINGO".