Je, unamjua James Gayo (KINGO)?

Je, unamjua James Gayo (KINGO)?

Nimewahi kukutana na mfanyakazi wa duka la vitabu nchi moja ya jirani na akanibishia sana kuwa James Gayo sio Mtanzania.
Kwa wanaojua 'fasihi' ya Kingo isije ikawa anaelezea juu ya 'jiwe walilolikataa wajenzi feki' then likapata matumizi kwa 'wajenzi makini'.
 
iangalie vizuri kabla haijapatikana copy halisi iliyo safi
kn.jpg
 
Nimewahi kukutana na mfanyakazi wa duka la vitabu nchi moja ya jirani na akanibishia sana kuwa James Gayo sio Mtanzania.
Kwa wanaojua 'fasihi' ya Kingo isije ikawa anaelezea juu ya 'jiwe walilolikataa wajenzi feki' then likapata matumizi kwa 'wajenzi makini'.

Gayo ni mtanzania nshawah kumwona kwenye TV
 
Hahaaaaaa. hii post imenikumbusha magwiji wa sanaa hii kama vile Oscar Makoye (tolu), Noah yongoro, Abdul kingo, Nathan mpangala (kijasti), Gaston Nnunduma, King kinya, Danny Mzena, Aloys James, nk
 
Hahaaaaaa. hii post imenikumbusha magwiji wa sanaa hii kama vile Oscar Makoye (tolu), Noah yongoro, Abdul kingo, Nathan mpangala (kijasti), Gaston Nnunduma, King kinya, Danny Mzena, Aloys James, nk

Mmnhh we vitz unalinganisha na Mercedes Benz.Gayo na hao wengine waaapi na waapi!wacha kuchezea kazi za watu!!!
 
Gayo's cartoons made The EastAfrican Newspaper to be banned in Tanzania!
 
Haongei. Ni matendo tu, hali inayomfanya afikirie zaidi kufikisha alichokilenga. Respect sana kwake!
 
Ha ha kumbe tupo wengi tunaomfatilia huyu jamaa
 
Nikichukuaga gazeti la mwananchi lazima nipashe kichwa kidogo kwa kumsoma Kingo. Jamaa wa long sana.
 
Huyu jamaa ni moja kati ya cartoonist wenye akili sana.Namkubali hua hasubirii matukio ya kisiasa,katuni zake hua nzuri sana kila siku.Tena wakati mwingine itakubidi ufikirie ili kuielewa.

Huyu pamoja na yule aliyekuwa anamchora Bi Mkora siku hizi sijui yuko wapi................Katuni za Bi Mkora zilikuwa zinanichekesha sana. Hawa wangeweza kujiendeleza wakatengeneza kauni za video za kiswahili wakaziuza watoto wa kibongo wakawa wanaangalia katuni za bongo na sio tom and jerry kila siku au ben ten.
 
Bora mmemkumbuka mapema maana kwa hulka ya kitanzania, vipaji hugundulika kwenye wosia wa marehemu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom