Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,247
Mama zetu wana mengi saana...huenda pia alitukanwa tusi tusilolipenda wanaume la kuambiwa kwanza huyu sio mwanao.mzee wako aliamua kuchomoa betri.huwezi jua labda aligundua wewe sio mtoto wake
Hittin Blunts And Bustin Nuts
Sisemi hakuna wanaume wanaochomoa betri kwa akili zao finyu.
Ila mama zetu wanaharibu saana saana....huyu jamaa akiishi na mke wake kwa miaka 2 mfululizo atamsamehe baba yake.