Je unaamini Binadamu alikuwa Sokwe?

Je unaamini Binadamu alikuwa Sokwe?

Hizo habari za binadamu kuwa sokwe umefundishwa na nani? Kwenye sayansi hakuna kitu kama hicho.

Mkiwa shule muwe mnatilia maanani yanayofundishwa, itawasaidia kuepukana na kutoelewa somo ma kuobeba taarifa zisizo sahihi.
Kwenye sayansi mbona hizo habari zipo,....Darwin alisema Mtu asili yake ni "Sokwe"......... Darwin anasema kwamba "modern humans evolved over millions of years from earlier species of PRIMATES through a process called natural selection.

Sasa kama sio kweli kwamba Darwin anasema Binadamu anatokana na Sokwe tuambie "Primates ni nini...?
 
Ndio maana nasema watu wawe wanakuwa makini darasani. Hata modern humans wapo kwenye ORDER ya primates. Kwahiyo primates haimaanishi nyani. Ni kundi kubwa la viumbe wakiwemo binadamu.
 
Sawa let's assume ni kweli watu hawakua makini darasani,..jibu swali,. Ni nini maana ya Primates?

Kisha tutaendelea tujue Darwin alimaanisha nini aliposema Binadamu wanatokana na Primates.
 
Primates ni ORDER kwenye classification. Hata binadamu wapo kwenye ORDER hiyo pamoja na viumbe wengine wanaofanana nao kama sokwe, nyani N.K

Taarifa zote hizi zipo kiganjani mwako!
 
Unazunguka ila kimsingi kwa mujibu wa nadharia ya Evolution Binadamu wanatoka na Sokwe ( yaani Ape-like ancestor),.... Na ukiingia deep zaidi Evolution theory inasema kwamba Nyani, Sokwe na Binadamu wanatokana na Ancestor Mmoja (Ambaye ancestor huyo hajulikani ni nani)

Kimsingi hii nadharia inafanya kudhania tu haipo sahihi 100% ..... Huwezi ukasema Ndege wote wanatokana na ancestor mmoja kisa tu umeona wamefanana baadhi ya vitu.,
 
Duh!
 
Charles Darwlin
He proposed that humankind originated from man-like apes (first quote) in Africa and that humans are most allied to chimpanzees and gorillas (second quote). Further, Darwin seems to have thought that our progenitors were more like chimpanzees than gorillas (third quote).

Na Theory of creation inasema
God made Adam from dust, in God's image, “the Lord God formed the man from the dust of the ground and breathed into his nostrils the breath of life, and the man became a living person”(Genesis 2:7)

We upo Upande Gani?
Na kwa nini wametufundisha shuleni kwenye History sisi tulikuwa ni apes
Naamini hivyo kwani hapa kwetu wapo Wazee wa Gombe tena wanatuongoza.
 
Back
Top Bottom