kwa busara zako naamini kabisa ungezaliwa miaka ya 1200 ungekua mwanafalsafaMaji ya natililika zaidi kwenye mteremko
Kwasababu tayali yapo kwenye position nzuri kuna haja ya kujiongelesha mwenyewe kwanza huyo mtu mwingine atakuja tu kutia mhuri
Kuna watu walinikatili aiseekwa busara zako naamini kabisa ungezaliwa miaka ya 1200 ungekua mwanafalsafa
Pombe + Maji ya baridi + SupuPombe + maji ya baridi+ supu ...... Nalala tuu
Labda bia moja Ila tatu kuendelea lazima ninywe maji aseeh na supuPombe + Maji ya baridi + Supu
Unalala š
Thread 'Mazungumzo yasiyosikika' Mazungumzo yasiyosikikaJe, una tabia ya kujiongelesha mwenyewe?
Mfano kujipa maoni binafsi au kujiambia: Hiki ninachofanya si sahihi sitaki tena Kuna wakati kujisemesha mwenyewe ni muhimu sana ukweli ni kwamba hakuna anayekujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe.
Kuna tabia zipo ndani yetu ambazo si rahisi mtu wa nje kuziona au hata akiziona asikuambie moja kwa moja Wengine wanaamini wewe ni mtu mzima unajitambua hivyo wanakuacha bila ushauri
Lakini ukweli ni huu tabia mbaya (wengine huiita dhambi) huanza kidogo kidogo, halafu zinakutafuna taratibu mpaka siku unakuja kushtuka tayari umechelewa Mfano wa tabia ambayo unaweza kuanza kuijirekebisha mwenyewe
1. Umalaya kwa jinsia zote
Hii ni tabia ya kuwa na wapenzi wengi bila utulivu wa kuchagua mmoja huu ni ufsikaš¤Ø
Tabia hii huleta madhara mengi
Kukosa amani ya moyo
Kuishi kwa hofu mda wote macho jujuu unahisi kufumaniwa au kuumbuka mda wowote
Hatari za kiafya
Kupoteza heshima binafsi
Ni muhimu kujithamini mwili wako
Mbali na hapo Azuma ni deilee
Badala ya kuishi maisha ya mchanganyiko usio na mwelekeo tafuta mwenza anayekufaa na utulie nae hakuna mkamilifu, lakini kuna mtu ambaye mapungufu yake unaweza kuvumilia tulia nae
Kwa wanaume pia tabia hii huathiri nguvu muda na hata uchumi wako Unajikuta unatawanya nguvu na kipato chako bila mwelekeo
Mwanaume unataka kushindana k utaweza ?
Wewe mwanamke una haribu kiungo hicho mwisho kiwe kama sikio la tembo š
Jiambie leo
Nataka kubadilika Sitaki tena hii tabia
Je, wewe unajiongelesha mwenyewe ili kubadilika?
Ni tabia gani ungependa kuacha?
Karibuni
Tabia zingine nitazitaja kwenye comment š
It's me again ShesRise_1 š
Kwa nini unakuywa majiLabda bia moja Ila tatu kuendelea lazima ninywe maji aseeh na supu
Inaonekana huku JF hakuna jipyaThread 'Mazungumzo yasiyosikika' Mazungumzo yasiyosikika
Thread 'Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?' Hivi, huwa ukiongea peke yako unaongea na nani?Inaonekana huku JF hakuna jipya
Kongole kwa wadau
Nitapita huko niokote kitu
Chukua muda wa kuzipumzisha hisia | JamiiForums Chukua muda wa kuzipumzisha hisiaUlevi kupita kiasi
Kuna tofauti kati ya mnywaji na mlevi
Mnywaji anajua mipaka yake lakini mlevi mlevi mbwaa hana ajualo
Kama unakunywa, hakikisha una mipango ikibidi kabisa
Tenga fungu maalum kwa ajili ya ulevi
Hakikisha pesa hiyo haiathiri mahitaji muhimu ya maisha yako
Sio tena ulevi unaanza kuharibu mambo yako ya msingi basi hapo si kawaida tena
Kama upo hivi jiambie
Nataka kubadilika sitaki tena kuendeshwa na ulevi
Ukikaza fuvu siku utalewa chakali
Na kuna vijana wa hovyo watakufundisha namna ya kunywa kwa staha
(3,367) Simama imara ni mapito tu, usijichanganye | JamiiForums Simama imara ni mapito tu, usijichanganyeTabia ya ugomvi na hasira kupita kiasi
Kuna watu wana tabia ya ugomvi kila wakati hata sehemu ya kuongea kwa utulivu, mtu anapayuka na kupandisha jazba bila sababu ya msingi
Tatizo la tabia hii ni kwamba hujui utakutana na nani kuna watu ni fyatu watu wana mambo mengi kichwani na wengine hawana cha kupoteza kabisa ukiwachokoza watu wa sample hii kitakulamba matokeo yanaweza kuwa mabaya sana
Kuna mtu alikua anadaiwa pesa za watu badala ya kulipa akawa jeuri na kusema kabisa kumwambia mdai kua sitakulipa na hakuna kitu utafanya
Jamaa anaedai akaona hapana
Hizi dharau tena nimemwaga jasho langu akaona hana cha kupoteza
Cha kukipoteza tayali kimepotea
akatafuta kisu akakaa chonjo sehemu fulani jama alipo katiza tu akamtia cha moyo akafa hapo hapo
ndio maana nikasema tabia mbaya matokea yake yana kuumiza wewe mwenyewe binafsi sio mtu mwingine
Nitajifunza kudhibiti hasira zangu na kuongea kwa utulivu.
Hapa kwenye hasira hata mimi binafsi baado na jiongelesha hua mtu akinichokoza wakati mwingine ni kama nakosa uvumilivu
Mzee wa Mitanange nakuona bhanaššThread 'Mazungumzo yasiyosikika' Mazungumzo yasiyosikika
Nani tena ulie mmisi kijananimekumiss sana!
wwNani tena ulie mmisi kijana
Asante
Poleš¢
Pole gani tenaPoleš¢