Ushauri: Umri unakimbia na nikiangalia sina mchumba serious wa kuoa

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Wakubwa na wadogo ninakuja kwenu kwa unyenyekevu mkuu nikiwaomba ushauri.

Binafsi nikijiangalia umri unakimbia sana kwa umri wangu huu kuna rafiki zangu wana watoto hata wanne ila mimi sina hata 1, kuna wenye wako na Wachamba ambapo muda wowote wanaweza kuoana ila mimi bado sijapata mchumba serious wa kutengeneza naye maisha.

Mpaka wakati mwingine najiuliza nina tatizo gani Je itafika wakati nami ntakua na familia yangu safi kabisa.

Kwa sasa kutokana na umri wangu mpaka jamii inayonizunguka wamekua wakinishauri kijana fanya mpango uoe jibu langu Je ntaoa nani sasa.

Je, Kuna mtu aliyejihisi naye kachelewa kuoa ila mwisho wa siku alimpata mtu sahihi wa maisha yake

Karibuni kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom