jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
Amen.God (YHWH) is good all the times. His Love, Grace and Mercy are Unfailing!!! He is an Awesome & Wonderful Savior. We must become less and He must become greater, forever and always, in Jesus Christ Name!!! Shalom
Anaitwa YHWH au YAHOWAH. Sio vyema kulitamka jina hilo hovyo. Na limetokana na mtiririko huu..JEHOVAH AU MWINGINE?
Mkuu hebu elezea kidogo uliwezaje kwenda Naigeria kwa njia ya barabara?Hayo yote uliyoyaandika , ndio nayapitia sasa. Tena yamekuwa kwa muda mrefu sana.
Ilifika mahala nikaenda SCOAN Nigeria kwa PTB Joshua kwa njia ya bara bara ( nilitumia siku 76 kufika)
Nimekuwa kiroho sana. But matatizo yapo pale pale. Na yanazidi kuongezeka mpaka kukimbiwa na watu wa karibu kabisa, uliowasomesha na kuwainua juu.
Wakwe kukuona kama mwehu, mke kukuona hufai , na kuudharau Wokovu wako.
Mara waseme sitaki Kazi, na kwamba nachagua Kazi. Wakwe wanamsisitiza mke wangu aachane na Mimi kuwa nampotezea muda, sina Kazi.
Nakuwa karibu sana na Mungu kila mara. Na ninafunga na kuomba kila mara.
Hii ni sehemu ambayo naitumia kusali mchana na Usiku..., asubuhi mchana jioni.
Usiku kabla ya saa 6 , Then saa 7-8 , na saa 9-10.
Nimetandaza vyeti vyangu vyote kuanzia chini hadi Postgraduate, na mahitaji ya watu wengine.
Natumia muda kuwaombea maadui
It's a long story. Ni safari inayokutaka ujikane nafsi yako, mke, watoto, familia, jamaa, marafiki na Ndugu zako wote.Mkuu hebu elezea kidogo uliwezaje kwenda Naigeria kwa njia ya barabara?
Oh dear! Pole sana. Mpe cousin moyo. Siku nilipojua story ya mtunzi wa huu wimbo ndo niliuchukulia kwa namna ya kipekee. Ni wimbo wenye nguvu sana. "It is well with my soul". Nikipatwa na jaribu nikianza ku-panic huu wimbo unanikumbusha jaribu langu si kitu- mtunzi wa huo wimbo alipoteza mali, fedha na watoto wanne, lakini hakufa moyo; akasema ni salama rohoni mwake, na alikuja kupata mali na watoto wengine na ushuhuda wake unatujenga mpaka leo.Duuh sina hata cha kuandika sema leo huu wimbo umenikaa sana moyoni. My poor cousin sister has given birth to triplets, unfortunately she lost all her babies. It shall be well with her soul.....by Angel Bernard
1.Nionapo amani kama shwari
Ama nionapo shidaaa
Kwa mambo yote umenijulisha
Ni salama rohoni mwanguuu
CHORUS
Salamaa, rohoniiiii
Ni salama, rohoni mwanguuuu
2. Ingawa shetani alinitesa
Nalijipa moyo kwanii
Kristo Uliuona unyonge wangu
Ulikufa kwa roho yangu
Na dhambi zangu zote, wala si nusu
Ziliwekwa msalabani
Wala sichukui laana yake
Ni salama rohoni mwangu
××××CHORUS
Eeh Bwana himiza
Siku ya kuja
Panda itakapolia
Wala sitoogopa
Ni salama rohoni mwangu
Mkuu unasema ulikamatwa,ilikua nchi gani?na sababu ya msingi hasa ni nini?It's a long story. Ni safari inayokutaka ujikane nafsi yako, mke, watoto, familia, jamaa, marafiki na Ndugu zako wote.
Ilikuwa ni safari ya Hatari sana. Nilikutana na maajabu na hatari nyingi sana. Nilishuhudia Uovu mwingi sana.
Nilipita Burundi , Congo, RCA, Cameroon, hadi Lagos Nigeria.
Niliwekwa mahabusu mara kadhaa na kuachiwa. Nililala sehemu za hatari sana. Nilipigwa na baridi za kila namna, jua , mvua, wadudu ..., ilifika wakati nikajiona kama kiuno kimetenguka kwasababu ya kulala chini + kutembea umbali mrefu.
Njaa ilikuwa kitu cha kawaida. Nilipendelea kula matunda katika safari yangu. Hakika Mungu wa ajabu sana... alininusuru na Magonjwa.
Nilijifunza mambo mengi sana njiani ( Rushwa+ Usalama+ Mazingira) na hata baada ya kurudi Tanzania, niliyaweka katika paper na kuyawasilisha kwenye vyombo husika ( Nilijitolea bure , nikachapisha makala na kuzigawa bure kwenye baadhi ya ofisi za mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar) . - KWA AJILI YA MAENDELEO YA TAIFA LETU
CONGO, RCA, CAMEROON,.. reason; Visa kuexpire + kutokuwa na visa.Mkuu unasema ulikamatwa,ilikua nchi gani?na sababu ya msingi hasa ni nini?
The Meek, pamoja na upendo wako wa dhati kwa Mungu, una tatizo. Umeelemewa. Spiritual approach haikutoshi. Kuanguka kwako bafuni wala hakuhusiani na vita ya kiroho. Uko depressed. Unaweza kubisha lakini kila unapofunguka unaonyesha dalili za mtu mwenye msongo mkali. Una mkanganyo wa identity, wa lengo la kuishi na mambo mengi. Una potential kubwa sana, lakini usipoangalia inaweza kufukiwa kabla hujaifaidia dunia. Huyo YAHWYE akuwezeshe tu maana pamoja na persecution nyingi alikuwa anafanya kazi na kumtunza mama yake aliyekuwa mjane na kugharamia shughuli zake za kimisionari.It's a long story. Ni safari inayokutaka ujikane nafsi yako, mke, watoto, familia, jamaa, marafiki na Ndugu zako wote.
Ilikuwa ni safari ya Hatari sana. Nilikutana na maajabu na hatari nyingi sana. Nilishuhudia Uovu mwingi sana.
Nilipita Burundi , Congo, RCA, Cameroon, hadi Lagos Nigeria.
Niliwekwa mahabusu mara kadhaa na kuachiwa. Nililala sehemu za hatari sana. Nilipigwa na baridi za kila namna, jua , mvua, wadudu ..., ilifika wakati nikajiona kama kiuno kimetenguka kwasababu ya kulala chini + kutembea umbali mrefu.
Njaa ilikuwa kitu cha kawaida. Nilipendelea kula matunda katika safari yangu. Hakika Mungu wa ajabu sana... alininusuru na Magonjwa.
Nilijifunza mambo mengi sana njiani ( Rushwa+ Usalama+ Mazingira) na hata baada ya kurudi Tanzania, niliyaweka katika paper na kuyawasilisha kwenye vyombo husika ( Nilijitolea bure , nikachapisha makala na kuzigawa bure kwenye baadhi ya ofisi za mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar) . - KWA AJILI YA MAENDELEO YA TAIFA LETU
Amen sis. It is well with my soul, huu wimbo umekuwa ukitupa matumaini makubwa mnoo. His life is a living testimonyOh dear! Pole sana. Mpe cousin moyo. Siku nilipojua story ya mtunzi wa huu wimbo ndo niliuchukulia kwa namna ya kipekee. Ni wimbo wenye nguvu sana. "It is well with my soul". Nikipatwa na jaribu nikianza ku-panic huu wimbo unanikumbusha jaribu langu si kitu- mtunzi wa huo wimbo alipoteza mali, fedha na watoto wanne, lakini hakufa moyo; akasema ni salama rohoni mwake, na alikuja kupata mali na watoto wengine na ushuhuda wake unatujenga mpaka leo.
Ndugu, nashukuru kwa mawazo yako mazuri. Kiufupi ni kwamba, baadhi ya matukio mengi kabla hayajayokea huwa nayaona.The Meek, pamoja na upendo wako wa dhati kwa Mungu, una tatizo. Umeelemewa. Spiritual approach haikutoshi. Kuanguka kwako bafuni wala hakuhusiani na vita ya kiroho. Uko depressed. Unaweza kubisha lakini kila unapofunguka unaonyesha dalili za mtu mwenye msongo mkali. Una mkanganyo wa identity, wa lengo la kuishi na mambo mengi. Una potential kubwa sana, lakini usipoangalia inaweza kufukiwa kabla hujaifaidia dunia. Huyo YAHWYE akuwezeshe tu maana pamoja na persecution nyingi alikuwa anafanya kazi na kumtunza mama yake aliyekuwa mjane na kugharamia shughuli zake za kimisionari.
Mpe pole sana cousin wako. Ana kipindi kigumu sana huyo, tena kwa wanawake inakuwa kumbukumbu ya mda mrefu na ni ngumu kwao kusahau. Kama mumewe hatakuwa karibu kumfariji, ni shida!!Duuh sina hata cha kuandika sema leo huu wimbo umenikaa sana moyoni. My poor cousin sister has given birth to triplets, unfortunately she lost all her babies. It shall be well with her soul.....by Angel Bernard
1.Nionapo amani kama shwari
Ama nionapo shidaaa
Kwa mambo yote umenijulisha
Ni salama rohoni mwanguuu
CHORUS
Salamaa, rohoniiiii
Ni salama, rohoni mwanguuuu
2. Ingawa shetani alinitesa
Nalijipa moyo kwanii
Kristo Uliuona unyonge wangu
Ulikufa kwa roho yangu
Na dhambi zangu zote, wala si nusu
Ziliwekwa msalabani
Wala sichukui laana yake
Ni salama rohoni mwangu
××××CHORUS
Eeh Bwana himiza
Siku ya kuja
Panda itakapolia
Wala sitoogopa
Ni salama rohoni mwangu
Haya tunashukuru brod darling. Yani hiyo mimba yenyewe Ilivyomsumbua, hadi akawa anatutania eti harudii tena daah. Mmh Tusiongee sana, tusije tukamkufuru Mungu. Tunamshukuru yeye kwa yote, atampitisha pia katika hili, ingawa kumbukumbu yake daah.Mpe pole sana cousin wako. Ana kipindi kigumu sana huyo, tena kwa wanawake inakuwa kumbukumbu ya mda mrefu na ni ngumu kwao kusahau. Kama mumewe hatakuwa karibu kumfariji, ni shida!!
Haya matatizo niliyopitia na ninayoendelea kuyapitia katika hii miezi ya karibuni, nimegundua kwamba, kufikwa na matatizo ni tatizo ila kukosa mtu wa kushare nae hayo matatizo (hata wa kumhadithia tu) ni tatizo zaidi!
Ila Mungu ndo kila kitu, i ll never lose hope!