Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

Duuh pole sana.

Tatizo mna maneno mengi ya kuudhi. Mnaongea mno had mwanaume anakosa pumzi na kujaa hasira.

Mimi huwa ninavumilia tu maana hata ukisema ni kupiga haisaidii
Natamani sana ungenijua mimi!
Sio kila anayepigwa ni muongeaji, ila naheshimu sana mawazo yako!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nilikua nakuandikia gazeti la pole.. Na ndo uzidishe mahaba kwa bwana shemej.. Si ndivyo ulivyoamua bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa bahati mbaya ujue!
 
Ushawahi nyanyua mkono wako kumpiga mkeo, mpenzi,Demu??
Sababu ilikuwa nini ?
Je ni sahihi kumpiga MWANAMKE/MKEO/MPENZI??

MWANAMKE USHAWAHI KUPIGWA NA MPENZI/MUME WAKO ULIJISIKIAJE?


Kama ushawahi Kumpiga mkeo/mpenzi sababu ilikuwa nini? Na baada ya hapo ulichukua hatua gani kulimaliza hilo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nilishawahi kumpiga mkewangu na hatua hiyo ilikua ni hatua ya Tatu ya kumchukulia hatua.
Ninasema hatua hiyo ni ya Tatu kwa maana katika kutoa Onyo ziko hatua 3 katika ngazi ya familia
1 Hatua ya kwanza kumuonya kwa njia ya majadiliano na kumwachia nafasi ya kujitetea.
2. Hatua ya Pili ni kumuonya kwa kumfokea Pasipo kumwachia nafasi ya yeye kujitetea(Kukasirika kupita kiasi)
3 Kumuonya kwa kumpiga na kumpa nafasi ya kujitetea
4 Kumwacha na kumpa stahiki zake mlizohangaika kutafuta mkiwa wote.
Na Mimi baada ya kumpiga! Na alipokua akiendelea na tabia ambazo zilizokua hazikubaliki ndani ya mlango wa serikali yangu hatua nilioichukua ya kumaliza tatizo ilikua ni kumwacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert umeanza lini kuacha kuniita ktk mjadala bomba kama huu[emoji848]....yani nimehuzunika sana Chifu.

Ke siyo bondia wa kupigana naye lkn inapobidi akafanya kosa kubwa tena kwa mapuuza bac ni lazima achezee tu kichapo
Kweli upendo huvumilia, sipati picha huyo jamaa ungekuwa humpendi jinsi ambavyo ungepaki mabegi haraka kwa kisingizio cha kupigwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert umeanza lini kuacha kuniita ktk mjadala bomba kama huu[emoji848]....yani nimehuzunika sana Chifu.

Ke siyo bondia wa kupigana naye lkn inapobidi akafanya kosa kubwa tena kwa mapuuza bac ni lazima achezee tu kichapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah pole mzee, hivi kumbe haukupita humu kamanda, hii uzi jana tumeishambulia kuanzia mida ka hii mpaka saa 3 page inaelekea 30 watu walikuwa hot sana ndani ya huu mjadala!
 
Back
Top Bottom