Je umeachwa? Usilie, Jipe moyo, Songa mbele

hahahhaaaa eti ungepona kwa fimbo!!! pole sana mwaya! so Nicas Mtei kuacha na kuachwa kote kubaya tuuuuu......
unafanya mchezo wewe?
kwanza nilikuwa form six, ni mwaka wa mtihani huo......
wenzangu wapo shule mimi nipo wodini natundikiwa drip.....
hakuna malaria wala typhoid iliyoonekana......
wanadhani labda nilikuwa nasoma sana huko shule, wanahangaika na drip za glucose, angalau nipate nguvu maana sijala siku kadhaa....... kichwa kinauma vibaya sana......
unafikiri wangejua kuwa ni sababu ya huo upuuzi nisingepata fimbo kweli?
 
hahahahhaha hata wakijua leo lazma wakuadhibu aisee.....
 
hahahahaaaaa nayajua hayo maumivu!!! sana tuuu!!!
ya kuwa pendapenda!!!
 
hahahahhaha hata wakijua leo lazma wakuadhibu aisee.....
ha haaa, kuna kakangu mtoto wa mama mkubwa alijua, tulikuwa marafiki sana.....
akanitia mkwala nihakikishe nafaulu mtihani, nikifeli tu anamwaga sababu za kufeli home, jasho lilinitoka
 
hahahhaaha kweli ulikuwa utoto tu
 
kinachoshangaza kwenye kuacha wewe mwenyewe ndo unafanya maamuzi......
na unafanya hayo maamuzi kwa sababu ambazo ni nzuri tu kwako.....
unaona unakuwa bora zaidi bila haya mahusiano
but still unaumia :A S 39:

ina maana unakuwa hauna uhakika na maamuzi uliyoyachukua au?
 
sidhani kama sababu ni kutokuwa na uhakika......
ni maumivu tu kuwa huyu mtu ulikuwa unampenda lakini huwezi kuendelea naye tena.....
ndo maana baada ya muda unapona na kuendelea na maisha
 
Kuachwa?
Inauma kweli unaweza kulia hadi ukatoa machozi ya damu, machozi yatasaidia nini.
Just imagine mtu aliyekuacha zaidi ya miaka kumi iliyopita leo anakutumia gari ndogo ya kutembelea,
anakuletea mafurniture kibao ya kisasa, hivi hii itasaidia kukufanya usahau machozi uliyolia?
 
Black-sad-man.jpg
sad-man.jpg

Nice topic Nicas Mtei...lol
Lakini hivi wanaume huwa wanaachwa?!?
Na wakiachwa huwa wanapata msongo wa mawazo..kweli?!?
Hawa jamaa hapa naona kama wanawaza pesa, mtoto, spouce au ndugu wa karibu yuko ICU au labda kazi zimeleta stress kidogo...
Lakini suala la mwanaume kutoa machozi sababu ya kuachwa...labda kama tungekuwa Mumbay..ama New Delhi..

Mtazamo na mawazo tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom