Je, ulishawahi kuletewa pigo sizo na wageni wako? Weka mkasa wako, yangu hii hapa

Kuna watu hawana aibu kibomu hata mgonjwa anaombwa tu pesa, awe tu mfanyakazi
 
Jamaa kumbe tunasherehekea siku ya kuzaliwa pamoja, Nov 8
 
Vulindela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

Mie mgeni akija kutumia kitu changu hasa nguo bila ruhusa huo ugomvi wake utakuwa mkubwa sana, hakuna jambo sipendi kama kushare nguo na mtu.
Afadhari huyo ni ndugu, Mwenyekiti wa CCM Pugu Mnadani pale aliwahi omba nimuazime T-shirt yangu ya Puma! nikampa mpaka leo haijarudi.
 
Kuna wageni wanajua kujiachia aseee!

Asa sijui ni pori la akiba la pale chini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kinyume chake ni kweli Bora mdada ajiachie wanapendezaga sana, af wana sisimua, kuliko gudume kuachia!
 
Mara paap; unakuta huyo jamaa ni shemejio mpya.
 

Hahahah
 
Hawa. Ni sisi kabisaaa na wadogo zangu yaani juzi nimebebewa kitenge kipyaa ht sijashona wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nyumbani tulipata mgeni (Shemeji yake mama) mida ya jioni, maza kapika menyu ya familia nzima, by the time msosi umewekwa mezani, gari la maji lilifika home kwahyo nyumba nzima ikawa busy kuweka matank vizuri, kuhakikisha jamaa hawatuibii maji (wale wakazi wa kinyerezi wanaelewa shida ya maji).
Maza akamwambia mgeni anza tu kula, sisi tunamalizia hii kazi, mpaka tunakuja kumaliza kazi tunamkuta Mgeni katoka dinning kahamia seating room na stick mdomoni ile kuangalia mezani hotpot zipo empty, jamaa kafuta menyu ya familia nzima peke ake, ile maza anaenda mcheki, bila aibu akasema "Asante sana Shemeji"
Nyumba nzima ilimind, tukalala njaa
 
Asante sana shemejiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Vulindela πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

Mie mgeni akija kutumia kitu changu hasa nguo bila ruhusa huo ugomvi wake utakuwa mkubwa sana, hakuna jambo sipendi kama kushare nguo na mtu.
Nguo tu, unajiandaa hivo?
 
Nyuzi za aina hii watu wanazipenda sana maana ndo sehemu yao ya kuonesha umahiri wa kutunga story

Usishangae mtu anaesema " alikuja mgeni nyumbani kwangu" na yeye mwenyewe ni mgeni kwene nyumba ya mtu
 
Pindi tupo home kifamilia tunaishi kwa uncle,siku hiyo uncle alikuja na rafiki yake ambae alikuwa mpole Sana umri wake ni wa Kati tuu,Ile time ya msosi si ndio mgeni akasogezewa pot la ubwabwa aanze kujipakulia,eehee bwana alichotufanyia ..
..!!..uncle alitamani kumwambia " na wenzio bado hatujapakua"....alijaza plate karibia robo tatu ya pot..
...Kama ndio alikuwa anakula kwa Mara ya mwisho..
Nilim'mind Sana ukizingatia siku hiyo asbh nikugonga chai andazi 2 nikiwa na matumaini ya mchana ki"cover... Yaani alikichafua siku hiyo huyo mgeni.. bakuri la mboga mchuzi alijichotea Kama ye ndio alipika,hakuongea neno lolote nilikuja kumsikia akiaga....hakuna aliyemuitikia....
..kwa masela zaidi ya mke wa uncle....
 
ndugu sio powa soksi zimekauka na bao la punyeto nimecheka sana


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
shemeji Asante kwa msosi, vp uyo mgeni aliendelea kukaa au ilikuwaje

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni utani brooo
 
Hapo mama na baba kabila moja kwa hiyo mashemeji hawaoni aibu.
 
tobaaaah
 
Reactions: EEX
Mtu anakuja kwako anajipulizia perfume zako kama anaoga πŸ™†πŸ½β€β™‚οΈ Watu ni shida sana kila mtu aishi kwake πŸ˜‚πŸ˜‚ japo ni ngumu jamani inabidi tuvumiliane tu.

Tukutane bar
Kwani huna chumba chako binafsi!!?
ama unalala sebuleni!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…