Je, ulishawahi kuletewa pigo sizo na wageni wako? Weka mkasa wako, yangu hii hapa

Nakumbuka wakati nimemaliza form 4 Dodoma nilipangiwa form 5 Mara sec. Kwa mara ya kwanza nasafiri peke yangu kwenda mara ckua na imani kabisa na ule mkoa nilikua safarini huku nmekata tamaa ya maisha. Nlipewa namba ya mjeshi mmoja ivi mzanzibar nkaambiwa nkifika nimpigie ataniookea nifikie kwake. Kwenye gari nlikataa na mama mmoja ivi ambae baada ya kustor nae kidogo nkagundua kwamba ni mwalimu (yeye alipandia mwanza lkn baada ya wamasai nlotoka nao dom kushuka hapo mwanza), Basi bhana naingia musoma town mida ya saa 3 na nusu ucku nikatoa cm kumpigia mwenyeji wangu nikajitambulisha vzur tukafahamiana ila nlipomwambia swala la kua nshafika aje kunifata akanambia yupo kambini zamu so niende skuli nikalale aranifata kesho.

Sasa hapo ndipo shida ilipoanza skuli cjui ipo upande gan na ntafikaje ucku huo na kuuliza nliogopa nsije nkafanywa msoc na vle nlivoonekana mwarabu mwarabu laini laini ndo nkazidi kuogopa nkabaki kukodoa macho. Basi yule madam nliekua nae akaniona sijielewi pale akaniuliza vp mwenyej wako anasemaje? nkampa mkasa ulivokua. Basi baada ya muda mume wa yule mama akaja kumfata mkewe, Yule mama alongea kitu flani ivi na mumewe baada ya muda akanifata akaita boda boda nyingine akamwambie mchukue huyu kijana mpeleke maeneo fulani (Makoko) sisi tupo nyuma tunakuja.Mtoto wa watu wakipemba nkajua leo nshauza roho lkn wacha liwalo na liwe nkakwea boda safar ikaanza.

Safar ikaanza mpaka mwisho napitishwa vchochoro sivielew lkn nkawa naomba dua tu iwr kher. Bas tukafika maeneno hayo na yule mama akafika na mumewe wakalipa boda boda nkakaribishwa ndani. Nikanyanyua begi langu na trunker nikaingia ndani nkakaribishwa mpaka sebuleni nkakuta mabinti wawili wanaangalia tv. Wakanikaribisha wakanisalimia coz walikua wadogo zaidi yangu. Kidogo moyo ukatulia nkajiona niko mahali salama.

Kwa kua nlikua na njaa na nlielewa kua pale ckua na rizk yangu nkafungua begi langu mama alinipikia keki nikifika skuli nianzie maisha. Basi nikaitoa pale nkakata kipande kidogo ilobaki nkawapa wenyeji wangu kuonesha shukrani...
Basi nikapumzika kidogo pale huku nikiandaliwa sehemu ya kulala...
Baada ya muda yule baba akaja akanambia kijana nenda chumba kile pale ukapumzike mpaka kesho tumtafute mwenyej wako. Kulikua na vyumba viwili so nkajua tu lazma ntakua nmeambiwa niingie kile cha mwanzo.

Ile nafungua mlango tu . Laa haula chumba kilikua ovyo ovyo kuna majiko humo humo kuku bata na makorokoro kibao. Nikawa natafakari ivi kweli ndo nimeambiwa nipumzike humu?? wakati naendelea kutafakari akatokea tena yule baba akanambia sio humo ni iko kingine..nikafunga ule mlango nikafungua chumba kingine ..Alhamdulillah chumba kilikua safi kabisa kitanda kimetandikwa vzur nikapiga mbonji mpaka saa tatu asubuhi mwenyej wangu akanipigia simu kuniuliza niko wapi .. bahati nzur kumbe walikua majirani tu

Kwa kwel sitahau siku ile na wema alonifanyia yule mama na mumewe .. nilikua nikiwatembelea sana mpaka nilipomaliza six na siku nlipoenda kuchukua cheti kwa bahati mbaya nlikwenda nkakuta amesafiri sijamuona tena mpaka leo ila Mungu awabariki sana popote walipo
 
Walikuja wageni kwangu nikawachinjia kuku kumbe bwana ni Waislam (nilikuwa na najua ila sikutilia manani ishu ya kuchinja) alooo si wakanizilia makuku yote mawili mimi na familia yangu wakaamua kula mchicha nikajifanya sielewi tulikula kuku wenyewe wakala michicha, yaani mi ninunue kuku wawili then nielekezwe nani wa kuwachinja utafikili wakichinja Waislam wataongezeka mapaja na hipsi.
...Huo Ugali ama wali si ulipikwa na Mkristo, ama Mashariti yanaishia kwenye Kuku tu?
 
Nakumbuka wakati nimemaliza form 4 Dodoma nilipangiwa form 5 Mara sec. Kwa mara ya kwanza nasafiri peke yangu kwenda mara ckua na imani kabisa na ule mkoa nilikua safarini huku nmekata tamaa ya maisha. Nlipewa namba ya mjeshi mmoja ivi mzanzibar nkaambiwa nkifika nimpigie ataniookea nifikie kwake. Kwenye gari nlikataa na mama mmoja ivi ambae baada ya kustor nae kidogo nkagundua kwamba ni mwalimu (yeye alipandia mwanza lkn baada ya wamasai nlotoka nao dom kushuka hapo mwanza), Basi bhana naingia musoma town mida ya saa 3 na nusu ucku nikatoa cm kumpigia mwenyeji wangu nikajitambulisha vzur tukafahamiana ila nlipomwambia swala la kua nshafika aje kunifata akanambia yupo kambini zamu so niende skuli nikalale aranifata kesho,

Right post in the wrong thread. Ila hongera kwakuwa na shukurani.
 
Walikuja wageni kwangu nikawachinjia kuku kumbe bwana ni Waislam (nilikuwa na najua ila sikutilia manani ishu ya kuchinja) alooo si wakanizilia makuku yote mawili mimi na familia yangu wakaamua kula mchicha nikajifanya sielewi tulikula kuku wenyewe wakala michicha, yaani mi ninunue kuku wawili then nielekezwe nani wa kuwachinja utafikili wakichinja Waislam wataongezeka mapaja na hipsi.
Ndo ujifunze kuheshimu imani za watu
 
Kweli kabisa kwetu tumezaliwa wadada wanne mfululizo na tumepishana kidogo sana ukituangalia miili inafanana hivo mama alikua akinunua nguo hasemi ya nani mtavaa wote.ukubwani omekua shida mtu akikutembelea anaacha begi lake anaanza vaa zako.sasa Mimi ndo mkubwa nikishona nguo wakaiona unakuta simu imeita"hiyo nguo ni ya kwangu ntunzie" .Kama mmojawapo anasafiri inabidi mumvizie usiku kukagua nguo la sivo kila kilicho kizuri atabeba.
Hahahah i love you people,hiyo ni nzuri kwanza mnachangamka na pia mnakuwa mnapendana....i have two baby girls age gap 2 years nadhani nitatumia mbinu ya mama ako😂😂
 
Nakumbuka wakati nimemaliza form 4 Dodoma nilipangiwa form 5 Mara sec. Kwa mara ya kwanza nasafiri peke yangu kwenda mara ckua na imani kabisa na ule mkoa nilikua safarini huku nmekata tamaa ya maisha. Nlipewa namba ya mjeshi mmoja ivi mzanzibar nkaambiwa nkifika nimpigie ataniookea nifikie kwake. Kwenye gari nlikataa na mama mmoja ivi ambae baada ya kustor nae kidogo nkagundua kwamba ni mwalimu (yeye alipandia mwanza lkn baada ya wamasai nlotoka nao dom kushuka hapo mwanza), Basi bhana naingia musoma town mida ya saa 3 na nusu ucku nikatoa cm kumpigia mwenyeji wangu nikajitambulisha vzur tukafahamiana ila nlipomwambia swala la kua nshafika aje kunifata akanambia yupo kambini zamu so niende skuli nikalale aranifata kesho,
Sasa hapo ndipo shida ilipoanza skuli cjui ipo upande gan na ntafikaje ucku huo na kuuliza nliogopa nsije nkafanywa msoc na vle nlivoonekana mwarabu mwarabu laini laini ndo nkazidi kuogopa nkabaki kukodoa macho. Basi yule madam nliekua nae akaniona sijielewi pale akaniuliza vp mwenyej wako anasemaje? nkampa mkasa ulivokua. Basi baada ya muda mume wa yule mama akaja kumfata mkewe, Yule mama alongea kitu flani ivi na mumewe baada ya muda akanifata akaita boda boda nyingine akamwambie mchukue huyu kijana mpeleke maeneo fulani (Makoko) sisi tupo nyuma tunakuja.Mtoto wa watu wakipemba nkajua leo nshauza roho lkn wacha liwalo na liwe nkakwea boda safar ikaanza.
Safar ikaanza mpaka mwisho napitishwa vchochoro sivielew lkn nkawa naomba dua tu iwr kher. Bas tukafika maeneno hayo na yule mama akafika na mumewe wakalipa boda boda nkakaribishwa ndani. Nikanyanyua begi langu na trunker nikaingia ndani nkakaribishwa mpaka sebuleni nkakuta mabinti wawili wanaangalia tv. Wakanikaribisha wakanisalimia coz walikua wadogo zaidi yangu. Kidogo moyo ukatulia nkajiona niko mahali salama.
Kwa kua nlikua na njaa na nlielewa kua pale ckua na rizk yangu nkafungua begi langu mama alinipikia keki nikifika skuli nianzie maisha. Basi nikaitoa pale nkakata kipande kidogo ilobaki nkawapa wenyeji wangu kuonesha shukrani...
Basi nikapumzika kidogo pale huku nikiandaliwa sehemu ya kulala...
Baada ya muda yule baba akaja akanambia kijana nenda chumba kile pale ukapumzike mpaka kesho tumtafute mwenyej wako. Kulikua na vyumba viwili so nkajua tu lazma ntakua nmeambiwa niingie kile cha mwanzo.
Ile nafungua mlango tu . Laa haula chumba kilikua ovyo ovyo kuna majiko humo humo kuku bata na makorokoro kibao. Nikawa natafakari ivi kweli ndo nimeambiwa nipumzike humu?? wakati naendelea kutafakari akatokea tena yule baba akanambia sio humo ni iko kingine..nikafunga ule mlango nikafungua chumba kingine ..Alhamdulillah chumba kilikua safi kabisa kitanda kimetandikwa vzur nikapiga mbonji mpaka saa tatu asubuhi mwenyej wangu akanipigia simu kuniuliza niko wapi .. bahati nzur kumbe walikua majirani tu

Kwa kwel sitahau siku ile na wema alonifanyia yule mama na mumewe .. nilikua nikiwatembelea sana mpaka nilipomaliza six na siku nlipoenda kuchukua cheti kwa bahati mbaya nlikwenda nkakuta amesafiri sijamuona tena mpaka leo ila Mungu awabariki sana popote walipo

Ilikuwa mwaka gani?
 
Walikuja wageni kwangu nikawachinjia kuku kumbe bwana ni Waislam (nilikuwa na najua ila sikutilia manani ishu ya kuchinja) alooo si wakanizilia makuku yote mawili mimi na familia yangu wakaamua kula mchicha nikajifanya sielewi tulikula kuku wenyewe wakala michicha, yaani mi ninunue kuku wawili then nielekezwe nani wa kuwachinja utafikili wakichinja Waislam wataongezeka mapaja na hipsi.
Aisee. Basi mi nitakuwa nafanya hivyo kila ninapopata ugeni wa kiislamu
 
Back
Top Bottom