Je, ulishawahi kuletewa pigo sizo na wageni wako? Weka mkasa wako, yangu hii hapa

Mimi kuna wakati niliitwa kwenye interview mkoa wa mbali na nilipokua naishi. Sasa ktk ule mkoa kuna ndugu yangu alikua ameolewa huko basi nikawasiliana nae kwamba ntafikia kwake. Kufika nikawa nimechoka balaa maana ni ile safari ya kutoka saa 11 alfajiri unafika saa 3-4 usiku.

Basi walinipokea vizuri tuu na baada ha kuoga na kula tukapiga stori mbili tatu huku mimi na shemeji tukishusha vibia viwili vitatu walivyoagiza. Mda uliposogea mi nikaomba nikapumzike maana interview ilikua ni kesho yake asubuhi. Nikawa nimewaambia nikishamaliza interview ntakaa angalau siku chache ili nione one mazingira. Sasa chumba kilichokuepo kulikua na kitanda kimoja kikubwa kiasi na nililala mimi, mdogo wake shemeji, na dogo mwingine sijui alikua nani sijui. Mimi nililala katikati.

Usiku wa manane nikawa nimebanwa na mkojo. nikasogea kichakani kama kawaida na kuumwaga wa kutosha tuu ile unaelekea kuisha isha ndio nakurupuka usingizini hamad! Aisee nikakuta mambo yameharibikaa!!!! Yaani pale nilipolala, nguo nilizovaa zote ziko chapachapa!! Kwakweli sijawahi kupata wakati mgumu kama siku hiyo maishani! Kucheki saa inaelekea saa 11 asubuhi mda wowote watu wataamka! Nilijilaani sana kwanini nimekuja huku ona sasa naadhirika. Sikua na ujanja. Ikabidi niamke alfajiri hiyo kabla ya watu wote.. nikaoga fastafasta kimyakimya nikachukua vitu vyangu nikanyata na kutokomea mitaani. Hadi leo sijawahi kanyaga ule mkoa na kwanza nikisikia yule ndugu amekuja hua namkwepa kwa nguvu zote tusije tukakutana.
noma sanaa
 
Kwangu tofauti kidogo.Miaka flani ya 2000s wakati niko sec nyumbani wageni walikuwa hawakauki.Wale waliokulia dar nadhani wanajua.Mi nilikuwa nakasirika ndugu rika langu maana walikuwa wakivaa nguo zangu nikiwa boarding school nikirudi nakuta zimechakaa Tshirt shingo inapanuka imekuwa kama kiuno.Soksi zimekakamaa zimefutiwa bao(pu.nyet.o).

Kuna siku alikuja anko wangu katoka chuo cha ualimu alikuwa na utangotango sugu mwili mzima kaoga then katumia taulo langu.Kesho yake nikaenda gereji kuomba mafuta ya break nikamwambia paka kila siku afu lala hapo chini.Alimaind akaenda kusema ukienda kwa shemeji mwanae mbaguzi.

Wageni walikuwa wakiniibia nguo,viatu na ipod yangu iliniuma sana.Hata nikibadili kitasa napoenda skuli boding mdingi huku nyuma alikuwa anavunja kitasa anasema ndugu wote wa kiume wafikie chumba changu.
 
Kweli kabisa kwetu tumezaliwa wadada wanne mfululizo na tumepishana kidogo sana ukituangalia miili inafanana hivo mama alikua akinunua nguo hasemi ya nani mtavaa wote.ukubwani omekua shida mtu akikutembelea anaacha begi lake anaanza vaa zako.sasa Mimi ndo mkubwa nikishona nguo wakaiona unakuta simu imeita"hiyo nguo ni ya kwangu ntunzie" .Kama mmojawapo anasafiri inabidi mumvizie usiku kukagua nguo la sivo kila kilicho kizuri atabeba.
Hahaaaaaa, like seriously!!!
 
Kwangu tofauti kidogo.Miaka flani ya 2000s wakati niko sec nyumbani wageni walikuwa hawakauki.Wale waliokulia dar nadhani wanajua.Mi nilikuwa nakasirika ndugu rika langu maana walikuwa wakivaa nguo zangu nikiwa boarding school nikirudi nakuta zimechakaa Tshirt shingo inapanuka imekuwa kama kiuno.Soksi zimekakamaa zimefutiwa bao(pu.nyet.o).

Kuna siku alikuja anko wangu katoka chuo cha ualimu alikuwa na utangotango sugu mwili mzima kaoga then katumia taulo langu.Kesho yake nikaenda gereji kuomba mafuta ya break nikamwambia paka kila siku afu lala hapo chini.Alimaind akaenda kusema ukienda kwa shemeji mwanae mbaguzi.

Wageni walikuwa wakiniibia nguo,viatu na ipod yangu iliniuma sana.Hata nikibadili kitasa napoenda skuli boding mdingi huku nyuma alikuwa anavunja kitasa anasema ndugu wote wa kiume wafikie chumba changu.
Ungekua unaanisha begi lako na vitu vya thamani unafungia kwa mzee au ata stoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katik hizi ishu za ndugu nazo msala.

Way back tulienda ktk msiba wa bibi upande wa dingi. Katik mijumuiki, tulikutana na mtoto mmoja wa ndugu, dogo ni mjanja na very smart, akili nyingi sana. Mama akaona huyu ili future yake iende sawa, itabidi niende naye mjini, asome, huku kijijin ataishia kulima na kuoa.

Sasa mama yake, akaambiwa,akaomba kama mnataka kutusaidia, nenden na kaka yake, ambaye alikuwa rika langu kabisa,mimi nikiwa kidato cha pili, yeye aliacha shule kitambo hata kusoma hajui. Mama akatafakari sana, akaona nisije onekana mchoyo, sawa, tukaondoka naye.

Kufika mjini, route zikaaanza kuwatembelea watu wote wa kijini ambao anajua wapo mjini, na wengine walikuja kumuona, kuwa finally kaja town. FRESH OFF THE BOAT.
Mama akamshauri dingi, apelekwe memkwa, ajue kusoma na kuandika, asome, amalize darasa la saba,kisha veta apate ujuzi atafutiwe kazi atasaidia ndugu zake.

Bro, kaaanza kusoma, visopusopu, hela alizokuw anapewa ili asion life gumu shulen, akazimake. Kukiwa kuna kazi ya kuleta vibarua, mama anatupa sisi weekend tunapiga, hela tunazuia sisi. So jamaa akakwa na vijihela, ana waka kidogo tofauti na mara ya kwanza. Sasa kama unavyojua jogoo la Shamba akawa akaitaman, akatambe bush wamuone,kuwa ana shine na bado alikuwa na mentality ya kutaka kutahiliwa bush kwa kisu ili aonekane mwamba.

Kat kati ya muhula wa masomo, anasumbua home, kuwa anataka akatahiriwe kijijini, sijui nan anamrubuni huu upupu, sijui watu wa bush anao omgea nao ktk simu, atajua yeye. Dingi aka mwambia, tumeshapigw tohara kijijin haisaidiii lolote ktk miasha, tulia soma tukutengenezee life au uendee December. Dogo haelewi. Mara aanzs maneno,kwa ndugu akipiga simu anaomgea upupu.

Dingi akirudi, job tu. Anaanz kulalamik, mara kujikalia kiunyonge, sebuleni. Kila saa anakumbushia, mzeee akaona kero, mama akaona kero, na sisi tunaboreka anavyoleta drama pale home.

Sikuhiyo, dingi akarudi, akamwabia jiandae, kesho utarudi kijijin ukatimizs malengo yako. Mwamba akafurahi,shangwe lote. Kufika bush, nayey amesha kuwa mtoto wa town, anawaka, madem anawatafuna. Akaenda kutahiliwa, baada ya kupona, akaona aoe kabisa kama wenzie aache mke ndo aje tena town.

Dingi, akaon mtu akisha oa si ndo usumbufu mwingin ataleta tena, tohara kasumbua hivi. Home wakafunga viooo, anapiga simu anaomba eti atumiwe nauli arudi, nauli za kuchezea zimatoka wapi. Kalalamika, kalia weee. Mwisho wa siku akawa mkulim mzuri tu, ata kusoma na kuandika na ishu za future yake ikapotea hivo.

Muda huu ana watoto zaid ya wa nne, hana mishe ya kueleweka, alikuja town kusaka maisha, akaotoa mchongo, mdogo sana. Akaona alete mkewe mjini n watoto. Hela ya kula,kodi ikawa ishu, anakuja kuomba umsaidie nauli airudishe familia kijijini.

Kila mtu, anaupumbavu ila huu sio poa.ukisaidiwa saidika
 
Huyo ana asili ya uchoyo. Tena Upo kwenye damu kabisa
Alikuja mgeni binamu yangu na mtoto wake Wa Miaka nane alikua na matatizo na mume wake zamani zamani hivi , sasa kumbe alikua akinunua matunda ya kula anaficha kwenye bag lake lake nguo Ili hasiwe ana share na watu wengine pale home ambao Hao watu wengine hawakua ni walaji ni watu wakugusa kugusa na kuacha yet vyakula vya nyumbani Kwangu vinakaa kwenye fridge

sasa siku moja Ali nunua parachichi akasahau kutoa , UKatokea msiba mgeni akaenda Mwanza , bag la nguo zake likabaki Kwangu , baada ya siku chache bag la mgeni likaanza kutoa funza binti wa kazi kuangalia kuna nini , kufatilia tukaanza kuto maparachichi,machungwa na mahindi ya Kuchoma kwenye bag la nguo la huyo binamu yangu mgeni
Tukamuuliza mtoto wake ni vitu vya nani hivi , mwanae akasema mama aliniachia nikisia njaa nije Chumbani usiku

Nyumbani Kwangu hakuna Shida ya chakula , kuku, nyama, samaki vegetables ni vitu vya kawaida sana kukuta Vimejaa kwenye fridge , sijui alificha kwa malengo gani
 
Mimi kuna wakati niliitwa kwenye interview mkoa wa mbali na nilipokua naishi. Sasa ktk ule mkoa kuna ndugu yangu alikua ameolewa huko basi nikawasiliana nae kwamba ntafikia kwake. Kufika nikawa nimechoka balaa maana ni ile safari ya kutoka saa 11 alfajiri unafika saa 3-4 usiku.

Basi walinipokea vizuri tuu na baada ha kuoga na kula tukapiga stori mbili tatu huku mimi na shemeji tukishusha vibia viwili vitatu walivyoagiza. Mda uliposogea mi nikaomba nikapumzike maana interview ilikua ni kesho yake asubuhi. Nikawa nimewaambia nikishamaliza interview ntakaa angalau siku chache ili nione one mazingira. Sasa chumba kilichokuepo kulikua na kitanda kimoja kikubwa kiasi na nililala mimi, mdogo wake shemeji, na dogo mwingine sijui alikua nani sijui. Mimi nililala katikati.

Usiku wa manane nikawa nimebanwa na mkojo. nikasogea kichakani kama kawaida na kuumwaga wa kutosha tuu ile unaelekea kuisha isha ndio nakurupuka usingizini hamad! Aisee nikakuta mambo yameharibikaa!!!! Yaani pale nilipolala, nguo nilizovaa zote ziko chapachapa!! Kwakweli sijawahi kupata wakati mgumu kama siku hiyo maishani! Kucheki saa inaelekea saa 11 asubuhi mda wowote watu wataamka! Nilijilaani sana kwanini nimekuja huku ona sasa naadhirika. Sikua na ujanja. Ikabidi niamke alfajiri hiyo kabla ya watu wote.. nikaoga fastafasta kimyakimya nikachukua vitu vyangu nikanyata na kutokomea mitaani. Hadi leo sijawahi kanyaga ule mkoa na kwanza nikisikia yule ndugu amekuja hua namkwepa kwa nguvu zote tusije tukakutana.
Mnh jamani umeshindwa hata kufua Mashuka dah, ila na uhakika Ndugu zako wote watakua wanajua,
 
Ndugu kama hao ni shida
Katik hizi ishu za ndugu nazo msala.

Way back tulienda ktk msiba wa bibi upande wa dingi. Katik mijumuiki, tulikutana na mtoto mmoja wa ndugu, dogo ni mjanja na very smart, akili nyingi sana. Mama akaona huyu ili future yake iende sawa, itabidi niende naye mjini, asome, huku kijijin ataishia kulima na kuoa.

Sasa mama yake, akaambiwa,akaomba kama mnataka kutusaidia, nenden na kaka yake, ambaye alikuwa rika langu kabisa,mimi nikiwa kidato cha pili, yeye aliacha shule kitambo hata kusoma hajui. Mama akatafakari sana, akaona nisije onekana mchoyo, sawa, tukaondoka naye.

Kufika mjini, route zikaaanza kuwatembelea watu wote wa kijini ambao anajua wapo mjini, na wengine walikuja kumuona, kuwa finally kaja town. FRESH OFF THE BOAT.
Mama akamshauri dingi, apelekwe memkwa, ajue kusoma na kuandika, asome, amalize darasa la saba,kisha veta apate ujuzi atafutiwe kazi atasaidia ndugu zake.

Bro, kaaanza kusoma, visopusopu, hela alizokuw anapewa ili asion life gumu shulen, akazimake. Kukiwa kuna kazi ya kuleta vibarua, mama anatupa sisi weekend tunapiga, hela tunazuia sisi. So jamaa akakwa na vijihela, ana waka kidogo tofauti na mara ya kwanza. Sasa kama unavyojua jogoo la Shamba akawa akaitaman, akatambe bush wamuone,kuwa ana shine na bado alikuwa na mentality ya kutaka kutahiliwa bush kwa kisu ili aonekane mwamba.

Kat kati ya muhula wa masomo, anasumbua home, kuwa anataka akatahiriwe kijijini, sijui nan anamrubuni huu upupu, sijui watu wa bush anao omgea nao ktk simu, atajua yeye. Dingi aka mwambia, tumeshapigw tohara kijijin haisaidiii lolote ktk miasha, tulia soma tukutengenezee life au uendee December. Dogo haelewi. Mara aanzs maneno,kwa ndugu akipiga simu anaomgea upupu.

Dingi akirudi, job tu. Anaanz kulalamik, mara kujikalia kiunyonge, sebuleni. Kila saa anakumbushia, mzeee akaona kero, mama akaona kero, na sisi tunaboreka anavyoleta drama pale home.

Sikuhiyo, dingi akarudi, akamwabia jiandae, kesho utarudi kijijin ukatimizs malengo yako. Mwamba akafurahi,shangwe lote. Kufika bush, nayey amesha kuwa mtoto wa town, anawaka, madem anawatafuna. Akaenda kutahiliwa, baada ya kupona, akaona aoe kabisa kama wenzie aache mke ndo aje tena town.

Dingi, akaon mtu akisha oa si ndo usumbufu mwingin ataleta tena, tohara kasumbua hivi. Home wakafunga viooo, anapiga simu anaomba eti atumiwe nauli arudi, nauli za kuchezea zimatoka wapi. Kalalamika, kalia weee. Mwisho wa siku akawa mkulim mzuri tu, ata kusoma na kuandika na ishu za future yake ikapotea hivo.

Muda huu ana watoto zaid ya wa nne, hana mishe ya kueleweka, alikuja town kusaka maisha, akaotoa mchongo, mdogo sana. Akaona alete mkewe mjini n watoto. Hela ya kula,kodi ikawa ishu, anakuja kuomba umsaidie nauli airudishe familia kijijini.

Kila mtu, anaupumbavu ila huu sio poa.ukisaidiwa saidika
 
Ndugu kama hao ni shida
Hivi umesha kutana na ndugu ambao hakuna kukumbukan kwa salam yaani wanakuona wewe kama fursa??

ndio mtu una shida lakini jifunze kusoma nyakati na kuto kuwaza kila muda mwenzio anazo zipo zipo tu.

Ukiona simu, sio ishu za salamu au kujulian hali, ndugu wa ain hizi wao ni kibomu. Ukisema hata umchek umsabahi, subiri kibomu
 
Kuna dogo lake wife la kiume silipendi. Ni dogo fulan hivi litata hivi. Miaka 21 ila tayari uko kijijin limezalisha wadada wanne. Limeishia form 1C baada ya kumpa mimba mwanafunzi mwenzie. Kuna kipindi alikuja hapa dar anasomea udereva. Sasa me nikiwa nko home huwa tunapiga story na wife tukiwa chumban. Me nakua either nmelala chini chumban labda wife anapanga nguo. Sasa lile dogo me nashangaa linaingia chumban eti nalo kupiga story... linakaa kabisa kitandan tunaongea..

Siku nmerud nakuta lipo chumban kwangu limejilaza kitandan linacheza game.. wife yuko jikon anapika. Na lenyewe lina room lake lkn limeamua kulala kwetu eti kuna upepo. Nilimwambia wife uyu dogo me ananishinda.

Kipindi fulan nilimiliki stationery. Sasa kuna ishu ilizingua so nikafunga biashara bidhaa zote nkarudisha home. Kwamba siku ntajipanga tena nifungue. Sasa kunae siku nmeingia room kwake kuna kitu nilikua natafuta. Kufungua chini ya godoro nakuta diary za stationery 2 mpya, peni zile za 1500, albam za picha zile kubwa kashabandika pic zake. Ina maana aliingia chumban kwangu akaanza kupekua. Maana vile vitu viko chumban na viko chini ya mabox sana.

Aisee nilipata hasira, nkasema wakwe wanifikiri watakavyo huyu dogo namtimua. Nilifoka sana, afu nkasema wife, me natoka, narud baada ya saa 1, nikirud sitaki kumkuta huyu hapa.

Kweli dogo akasepa, akaenda kwa mama yao mkubwa sinza.

Hii story ingekua kwa mfumo wa sauti/Voice note ningecheka sana.
 
Unakujoaje kitandani mpaka Umri mkubwa hivyoo???? Punguza ulevi mkuu
Mimi kuna wakati niliitwa kwenye interview mkoa wa mbali na nilipokua naishi. Sasa ktk ule mkoa kuna ndugu yangu alikua ameolewa huko basi nikawasiliana nae kwamba ntafikia kwake. Kufika nikawa nimechoka balaa maana ni ile safari ya kutoka saa 11 alfajiri unafika saa 3-4 usiku.

Basi walinipokea vizuri tuu na baada ha kuoga na kula tukapiga stori mbili tatu huku mimi na shemeji tukishusha vibia viwili vitatu walivyoagiza. Mda uliposogea mi nikaomba nikapumzike maana interview ilikua ni kesho yake asubuhi. Nikawa nimewaambia nikishamaliza interview ntakaa angalau siku chache ili nione one mazingira. Sasa chumba kilichokuepo kulikua na kitanda kimoja kikubwa kiasi na nililala mimi, mdogo wake shemeji, na dogo mwingine sijui alikua nani sijui. Mimi nililala katikati.

Usiku wa manane nikawa nimebanwa na mkojo. nikasogea kichakani kama kawaida na kuumwaga wa kutosha tuu ile unaelekea kuisha isha ndio nakurupuka usingizini hamad! Aisee nikakuta mambo yameharibikaa!!!! Yaani pale nilipolala, nguo nilizovaa zote ziko chapachapa!! Kwakweli sijawahi kupata wakati mgumu kama siku hiyo maishani! Kucheki saa inaelekea saa 11 asubuhi mda wowote watu wataamka! Nilijilaani sana kwanini nimekuja huku ona sasa naadhirika. Sikua na ujanja. Ikabidi niamke alfajiri hiyo kabla ya watu wote.. nikaoga fastafasta kimyakimya nikachukua vitu vyangu nikanyata na kutokomea mitaani. Hadi leo sijawahi kanyaga ule mkoa na kwanza nikisikia yule ndugu amekuja hua namkwepa kwa nguvu zote tusije tukakutana.
 
Ndugu huhisi wako entitled kupata huduma toka kwa watu wa mjini.Ila tusiwanyanyapae wao ndio wachimba makaburi kijijini wakati nyinyi mnahangaika kutafuta coaster za kusafirisha marehemu.
Katik hizi ishu za ndugu nazo msala.

Way back tulienda ktk msiba wa bibi upande wa dingi. Katik mijumuiki, tulikutana na mtoto mmoja wa ndugu, dogo ni mjanja na very smart, akili nyingi sana. Mama akaona huyu ili future yake iende sawa, itabidi niende naye mjini, asome, huku kijijin ataishia kulima na kuoa.

Sasa mama yake, akaambiwa,akaomba kama mnataka kutusaidia, nenden na kaka yake, ambaye alikuwa rika langu kabisa,mimi nikiwa kidato cha pili, yeye aliacha shule kitambo hata kusoma hajui. Mama akatafakari sana, akaona nisije onekana mchoyo, sawa, tukaondoka naye.

Kufika mjini, route zikaaanza kuwatembelea watu wote wa kijini ambao anajua wapo mjini, na wengine walikuja kumuona, kuwa finally kaja town. FRESH OFF THE BOAT.
Mama akamshauri dingi, apelekwe memkwa, ajue kusoma na kuandika, asome, amalize darasa la saba,kisha veta apate ujuzi atafutiwe kazi atasaidia ndugu zake.

Bro, kaaanza kusoma, visopusopu, hela alizokuw anapewa ili asion life gumu shulen, akazimake. Kukiwa kuna kazi ya kuleta vibarua, mama anatupa sisi weekend tunapiga, hela tunazuia sisi. So jamaa akakwa na vijihela, ana waka kidogo tofauti na mara ya kwanza. Sasa kama unavyojua jogoo la Shamba akawa akaitaman, akatambe bush wamuone,kuwa ana shine na bado alikuwa na mentality ya kutaka kutahiliwa bush kwa kisu ili aonekane mwamba.

Kat kati ya muhula wa masomo, anasumbua home, kuwa anataka akatahiriwe kijijini, sijui nan anamrubuni huu upupu, sijui watu wa bush anao omgea nao ktk simu, atajua yeye. Dingi aka mwambia, tumeshapigw tohara kijijin haisaidiii lolote ktk miasha, tulia soma tukutengenezee life au uendee December. Dogo haelewi. Mara aanzs maneno,kwa ndugu akipiga simu anaomgea upupu.

Dingi akirudi, job tu. Anaanz kulalamik, mara kujikalia kiunyonge, sebuleni. Kila saa anakumbushia, mzeee akaona kero, mama akaona kero, na sisi tunaboreka anavyoleta drama pale home.

Sikuhiyo, dingi akarudi, akamwabia jiandae, kesho utarudi kijijin ukatimizs malengo yako. Mwamba akafurahi,shangwe lote. Kufika bush, nayey amesha kuwa mtoto wa town, anawaka, madem anawatafuna. Akaenda kutahiliwa, baada ya kupona, akaona aoe kabisa kama wenzie aache mke ndo aje tena town.

Dingi, akaon mtu akisha oa si ndo usumbufu mwingin ataleta tena, tohara kasumbua hivi. Home wakafunga viooo, anapiga simu anaomba eti atumiwe nauli arudi, nauli za kuchezea zimatoka wapi. Kalalamika, kalia weee. Mwisho wa siku akawa mkulim mzuri tu, ata kusoma na kuandika na ishu za future yake ikapotea hivo.

Muda huu ana watoto zaid ya wa nne, hana mishe ya kueleweka, alikuja town kusaka maisha, akaotoa mchongo, mdogo sana. Akaona alete mkewe mjini n watoto. Hela ya kula,kodi ikawa ishu, anakuja kuomba umsaidie nauli airudishe familia kijijini.

Kila mtu, anaupumbavu ila huu sio poa.ukisaidiwa saidika
 
Nina kesi wadogo zangu wako kusini huko wakapigiwa simu na mdogo wangu mwingine Yuko dar kwamba Kuna mgeni tena mkaka(wao ni wasichana) hana pa kufikia wampokee anakuja kuanza kazi kweli akapokelewa huu mwezi wa pili hana hata dalili za kuondoka.Kibaya zaidi ana amri "harakisheni chakula nawahi kazini" hivi napanga Safari niende nikamfukuze wao wameshindwa
Unaenda kumtukusha eti kazoea mazingira haaa haaa
 
Back
Top Bottom