Je, ulishawahi kuletewa pigo sizo na wageni wako? Weka mkasa wako, yangu hii hapa

Katka kitabu chetu (Qur'an) Mwenyezi Mungu ameruhusu kula vichinjwa vya mayahudi na manaswara (wakristo) na kuoa mabinti zao...Ila kwa condition maalumu.

Mfano apo Kwenye kula vichinjwa... huyo mnyama asiwe amechinjwa kwa ajili ya ushirikina tuu Ila kama kachinjwa kiustaharabu na kwaajili ya mboga tunaruhusiwa kula vzur tu.

Sema ndo hvyo wengi wavivu kusoma dini yao ndo mana wanajipa uzito haliyakuwa uislamu ni mwepesi sana.
Alaa kumbe jamani, shida ni kusoma na kuelewa
 
Alikuja mgeni binamu yangu na mtoto wake Wa Miaka nane alikua na matatizo na mume wake zamani zamani hivi , sasa kumbe alikua akinunua matunda ya kula anaficha kwenye bag lake lake nguo Ili hasiwe ana share na watu wengine pale home ambao Hao watu wengine hawakua ni walaji ni watu wakugusa kugusa na kuacha yet vyakula vya nyumbani Kwangu vinakaa kwenye fridge

sasa siku moja Ali nunua parachichi akasahau kutoa , UKatokea msiba mgeni akaenda Mwanza , bag la nguo zake likabaki Kwangu , baada ya siku chache bag la mgeni likaanza kutoa funza binti wa kazi kuangalia kuna nini , kufatilia tukaanza kuto maparachichi,machungwa na mahindi ya Kuchoma kwenye bag la nguo la huyo binamu yangu mgeni
Tukamuuliza mtoto wake ni vitu vya nani hivi , mwanae akasema mama aliniachia nikisia njaa nije Chumbani usiku

Nyumbani Kwangu hakuna Shida ya chakula , kuku, nyama, samaki vegetables ni vitu vya kawaida sana kukuta Vimejaa kwenye fridge , sijui alificha kwa malengo gani
Daa jamani aibu ya mwaka ,sasa aliporudi aliwambia nini
 
Kuna chalii yangu tulisoma nae chuo, siku moja akaomba kufikia gheto kwangu maana alikuwa mkoa tofauti na alikuwa amekuja kufuatilia mishe za ajira. Gheto langu ni chumba kimoja tu na sebule na choo/bafu ndani, sasa kimbembe Kesho yake asubuhi aliamka mapema kabla yangu akaingia kuoga, dah mwamba katoka bafuni namcheki ametengua taulo langu anajifuta fresh tu mpaka matakoni, bafuni katumia mswaki wangu na ninao mmoja tu huo huo, mlango wa bafuni hafungi then kashusha mzigo huko harufu inarudi room yote yaani ni kama mtu ambaye hana ustaarabu kabisa, Malapa ya bafuni anazunguka nayo mpaka sebuleni na yana maji maji aiseeee!!!! Nikashindwa vumilia nikamchana live kuwa asepe siku hiyo demu wangu anakuja kulala baadaye usiku! Kama ana akili alielewa
 
Mimi kuna wakati niliitwa kwenye interview mkoa wa mbali na nilipokua naishi. Sasa ktk ule mkoa kuna ndugu yangu alikua ameolewa huko basi nikawasiliana nae kwamba ntafikia kwake. Kufika nikawa nimechoka balaa maana ni ile safari ya kutoka saa 11 alfajiri unafika saa 3-4 usiku.

Basi walinipokea vizuri tuu na baada ha kuoga na kula tukapiga stori mbili tatu huku mimi na shemeji tukishusha vibia viwili vitatu walivyoagiza. Mda uliposogea mi nikaomba nikapumzike maana interview ilikua ni kesho yake asubuhi. Nikawa nimewaambia nikishamaliza interview ntakaa angalau siku chache ili nione one mazingira. Sasa chumba kilichokuepo kulikua na kitanda kimoja kikubwa kiasi na nililala mimi, mdogo wake shemeji, na dogo mwingine sijui alikua nani sijui. Mimi nililala katikati.

Usiku wa manane nikawa nimebanwa na mkojo. nikasogea kichakani kama kawaida na kuumwaga wa kutosha tuu ile unaelekea kuisha isha ndio nakurupuka usingizini hamad! Aisee nikakuta mambo yameharibikaa!!!! Yaani pale nilipolala, nguo nilizovaa zote ziko chapachapa!! Kwakweli sijawahi kupata wakati mgumu kama siku hiyo maishani! Kucheki saa inaelekea saa 11 asubuhi mda wowote watu wataamka! Nilijilaani sana kwanini nimekuja huku ona sasa naadhirika. Sikua na ujanja. Ikabidi niamke alfajiri hiyo kabla ya watu wote.. nikaoga fastafasta kimyakimya nikachukua vitu vyangu nikanyata na kutokomea mitaani. Hadi leo sijawahi kanyaga ule mkoa na kwanza nikisikia yule ndugu amekuja hua namkwepa kwa nguvu zote tusije tukakutana.
Pole sana, vipi sahizi umeacha kukojoa kitandani?
 
Ilikua rahisi tu, ungewahi kuamka ukabadili nguo then ukarudi kitandani. Unamsogeza dogo mmoja sehemu uliyomwaga kojo (crime scene), then unalala.

Asubuhi sana, unakua wa kwanza kuamka. Wakati wa kusalimiana na dadaako, unalalamika "sijalala kabisa, madogo wamekojoa kitandani".

Unadhani dadaako angewaita madogo muanze kusutana eti wewe ndio umekojoa? Bila shaka dadaako angekuamini wewe mtu mzima mwenzie tena ukiwa na advantage ya ugeni.

Ona sasa unavyoishi kama digidigi kwa kumkwepa dadaako. Jifunze fitna za chama tawala asee!

Na siku nyingine usirudie kubugia bia hovyo hovyo ugenini kiazi mbatata wewe!
kweli mkuu fitna za chama tawala unaziweza,ww unafaa kuwa crime mastermind.
 
Ilikua rahisi tu, ungewahi kuamka ukabadili nguo then ukarudi kitandani. Unamsogeza dogo mmoja sehemu uliyomwaga kojo (crime scene), then unalala.

Asubuhi sana, unakua wa kwanza kuamka. Wakati wa kusalimiana na dadaako, unalalamika "sijalala kabisa, madogo wamekojoa kitandani".

Unadhani dadaako angewaita madogo muanze kusutana eti wewe ndio umekojoa? Bila shaka dadaako angekuamini wewe mtu mzima mwenzie tena ukiwa na advantage ya ugeni.

Ona sasa unavyoishi kama digidigi kwa kumkwepa dadaako. Jifunze fitna za chama tawala asee!

Na siku nyingine usirudie kubugia bia hovyo hovyo ugenini kiazi mbatata wewe!
Haaaa nacheka kama vizuri ila daa alipata wakati mgumu sana
 
Kuna chalii yangu tulisoma nae chuo, siku moja akaomba kufikia gheto kwangu maana alikuwa mkoa tofauti na alikuwa amekuja kufuatilia mishe za ajira. Gheto langu ni chumba kimoja tu na sebule na choo/bafu ndani, sasa kimbembe Kesho yake asubuhi aliamka mapema kabla yangu akaingia kuoga, dah mwamba katoka bafuni namcheki ametengua taulo langu anajifuta fresh tu mpaka matakoni, bafuni katumia mswaki wangu na ninao mmoja tu huo huo, mlango wa bafuni hafungi then kashusha mzigo huko harufu inarudi room yote yaani ni kama mtu ambaye hana ustaarabu kabisa, Malapa ya bafuni anazunguka nayo mpaka sebuleni na yana maji maji aiseeee!!!! Nikashindwa vumilia nikamchana live kuwa asepe siku hiyo demu wangu anakuja kulala baadaye usiku! Kama ana akili alielewa
taulo lako anafutia mpaka wapi? Haaaa haaaa haaa
 
Kuna dogo lake wife la kiume silipendi. Ni dogo fulan hivi litata hivi. Miaka 21 ila tayari uko kijijin limezalisha wadada wanne. Limeishia form 1C baada ya kumpa mimba mwanafunzi mwenzie. Kuna kipindi alikuja hapa dar anasomea udereva. Sasa me nikiwa nko home huwa tunapiga story na wife tukiwa chumban. Me nakua either nmelala chini chumban labda wife anapanga nguo. Sasa lile dogo me nashangaa linaingia chumban eti nalo kupiga story... linakaa kabisa kitandan tunaongea..

Siku nmerud nakuta lipo chumban kwangu limejilaza kitandan linacheza game.. wife yuko jikon anapika. Na lenyewe lina room lake lkn limeamua kulala kwetu eti kuna upepo. Nilimwambia wife uyu dogo me ananishinda.

Kipindi fulan nilimiliki stationery. Sasa kuna ishu ilizingua so nikafunga biashara bidhaa zote nkarudisha home. Kwamba siku ntajipanga tena nifungue. Sasa kunae siku nmeingia room kwake kuna kitu nilikua natafuta. Kufungua chini ya godoro nakuta diary za stationery 2 mpya, peni zile za 1500, albam za picha zile kubwa kashabandika pic zake. Ina maana aliingia chumban kwangu akaanza kupekua. Maana vile vitu viko chumban na viko chini ya mabox sana.

Aisee nilipata hasira, nkasema wakwe wanifikiri watakavyo huyu dogo namtimua. Nilifoka sana, afu nkasema wife, me natoka, narud baada ya saa 1, nikirud sitaki kumkuta huyu hapa.

Kweli dogo akasepa, akaenda kwa mama yao mkubwa sinza.
Hahahahah wewe legend
 
Nina kesi wadogo zangu wako kusini huko wakapigiwa simu na mdogo wangu mwingine Yuko dar kwamba Kuna mgeni tena mkaka(wao ni wasichana) hana pa kufikia wampokee anakuja kuanza kazi kweli akapokelewa huu mwezi wa pili hana hata dalili za kuondoka.Kibaya zaidi ana amri "harakisheni chakula nawahi kazini" hivi napanga Safari niende nikamfukuze wao wameshindwa
 
Alikuja mgeni binamu yangu na mtoto wake Wa Miaka nane alikua na matatizo na mume wake zamani zamani hivi , sasa kumbe alikua akinunua matunda ya kula anaficha kwenye bag lake lake nguo Ili hasiwe ana share na watu wengine pale home ambao Hao watu wengine hawakua ni walaji ni watu wakugusa kugusa na kuacha yet vyakula vya nyumbani Kwangu vinakaa kwenye fridge

sasa siku moja Ali nunua parachichi akasahau kutoa , UKatokea msiba mgeni akaenda Mwanza , bag la nguo zake likabaki Kwangu , baada ya siku chache bag la mgeni likaanza kutoa funza binti wa kazi kuangalia kuna nini , kufatilia tukaanza kuto maparachichi,machungwa na mahindi ya Kuchoma kwenye bag la nguo la huyo binamu yangu mgeni
Tukamuuliza mtoto wake ni vitu vya nani hivi , mwanae akasema mama aliniachia nikisia njaa nije Chumbani usiku

Nyumbani Kwangu hakuna Shida ya chakula , kuku, nyama, samaki vegetables ni vitu vya kawaida sana kukuta Vimejaa kwenye fridge , sijui alificha kwa malengo gani
JF raha sana aisee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kuna wakati niliitwa kwenye interview mkoa wa mbali na nilipokua naishi. Sasa ktk ule mkoa kuna ndugu yangu alikua ameolewa huko basi nikawasiliana nae kwamba ntafikia kwake. Kufika nikawa nimechoka balaa maana ni ile safari ya kutoka saa 11 alfajiri unafika saa 3-4 usiku.

Basi walinipokea vizuri tuu na baada ha kuoga na kula tukapiga stori mbili tatu huku mimi na shemeji tukishusha vibia viwili vitatu walivyoagiza. Mda uliposogea mi nikaomba nikapumzike maana interview ilikua ni kesho yake asubuhi. Nikawa nimewaambia nikishamaliza interview ntakaa angalau siku chache ili nione one mazingira. Sasa chumba kilichokuepo kulikua na kitanda kimoja kikubwa kiasi na nililala mimi, mdogo wake shemeji, na dogo mwingine sijui alikua nani sijui. Mimi nililala katikati.

Usiku wa manane nikawa nimebanwa na mkojo. nikasogea kichakani kama kawaida na kuumwaga wa kutosha tuu ile unaelekea kuisha isha ndio nakurupuka usingizini hamad! Aisee nikakuta mambo yameharibikaa!!!! Yaani pale nilipolala, nguo nilizovaa zote ziko chapachapa!! Kwakweli sijawahi kupata wakati mgumu kama siku hiyo maishani! Kucheki saa inaelekea saa 11 asubuhi mda wowote watu wataamka! Nilijilaani sana kwanini nimekuja huku ona sasa naadhirika. Sikua na ujanja. Ikabidi niamke alfajiri hiyo kabla ya watu wote.. nikaoga fastafasta kimyakimya nikachukua vitu vyangu nikanyata na kutokomea mitaani. Hadi leo sijawahi kanyaga ule mkoa na kwanza nikisikia yule ndugu amekuja hua namkwepa kwa nguvu zote tusije tukakutana.
hii kitu inaitwa usithubutu kukutwa na bwana pepsi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna chalii yangu tulisoma nae chuo, siku moja akaomba kufikia gheto kwangu maana alikuwa mkoa tofauti na alikuwa amekuja kufuatilia mishe za ajira. Gheto langu ni chumba kimoja tu na sebule na choo/bafu ndani, sasa kimbembe Kesho yake asubuhi aliamka mapema kabla yangu akaingia kuoga, dah mwamba katoka bafuni namcheki ametengua taulo langu anajifuta fresh tu mpaka matakoni, bafuni katumia mswaki wangu na ninao mmoja tu huo huo, mlango wa bafuni hafungi then kashusha mzigo huko harufu inarudi room yote yaani ni kama mtu ambaye hana ustaarabu kabisa, Malapa ya bafuni anazunguka nayo mpaka sebuleni na yana maji maji aiseeee!!!! Nikashindwa vumilia nikamchana live kuwa asepe siku hiyo demu wangu anakuja kulala baadaye usiku! Kama ana akili alielewa
Duh kuna usemi wanasema kila mtu na utashi wake ama kweli kuna watu wachafu sana duniani hapa uyo mtu mimi namtimua siku iyo iyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naaam Kila jema huanzia kwenye Malezi...
Kweli kabisa kwetu tumezaliwa wadada wanne mfululizo na tumepishana kidogo sana ukituangalia miili inafanana hivo mama alikua akinunua nguo hasemi ya nani mtavaa wote.ukubwani omekua shida mtu akikutembelea anaacha begi lake anaanza vaa zako.sasa Mimi ndo mkubwa nikishona nguo wakaiona unakuta simu imeita"hiyo nguo ni ya kwangu ntunzie" .Kama mmojawapo anasafiri inabidi mumvizie usiku kukagua nguo la sivo kila kilicho kizuri atabeba.
 
Mimi kuna wakati niliitwa kwenye interview mkoa wa mbali na nilipokua naishi. Sasa ktk ule mkoa kuna ndugu yangu alikua ameolewa huko basi nikawasiliana nae kwamba ntafikia kwake. Kufika nikawa nimechoka balaa maana ni ile safari ya kutoka saa 11 alfajiri unafika saa 3-4 usiku.

Basi walinipokea vizuri tuu na baada ha kuoga na kula tukapiga stori mbili tatu huku mimi na shemeji tukishusha vibia viwili vitatu walivyoagiza. Mda uliposogea mi nikaomba nikapumzike maana interview ilikua ni kesho yake asubuhi. Nikawa nimewaambia nikishamaliza interview ntakaa angalau siku chache ili nione one mazingira. Sasa chumba kilichokuepo kulikua na kitanda kimoja kikubwa kiasi na nililala mimi, mdogo wake shemeji, na dogo mwingine sijui alikua nani sijui. Mimi nililala katikati.

Usiku wa manane nikawa nimebanwa na mkojo. nikasogea kichakani kama kawaida na kuumwaga wa kutosha tuu ile unaelekea kuisha isha ndio nakurupuka usingizini hamad! Aisee nikakuta mambo yameharibikaa!!!! Yaani pale nilipolala, nguo nilizovaa zote ziko chapachapa!! Kwakweli sijawahi kupata wakati mgumu kama siku hiyo maishani! Kucheki saa inaelekea saa 11 asubuhi mda wowote watu wataamka! Nilijilaani sana kwanini nimekuja huku ona sasa naadhirika. Sikua na ujanja. Ikabidi niamke alfajiri hiyo kabla ya watu wote.. nikaoga fastafasta kimyakimya nikachukua vitu vyangu nikanyata na kutokomea mitaani. Hadi leo sijawahi kanyaga ule mkoa na kwanza nikisikia yule ndugu amekuja hua namkwepa kwa nguvu zote tusije tukakutana.
Bora wewe ulijikojolea Kuna jamaa alijinyea tena wslikua retreat ya wafanuakazi.alidamka asubuhi na mapema.ambacho sikumwelewa yule kijaka Bora angebaki Mana jtatu anaingia kazini kila mtu anajua ilikua aibu
 
Duh!!!! Huyo hakuwa na malinda.
 
Back
Top Bottom