Je ulipokuwa mdogo ulitamani kufanya kazi gani ukubwani?

Nilitaka sana niwe Mwinjilisti nikajikuta nasomea sheria shahada ya 2 nkasomea arts with ED na sasa n mhadhiri.... Kinachoniuma ni relation yangu na Mungu sio kiviiiile ka ilivyokuwa wakati ule nataka kuwa mwinjilisti yaani negative side imekuwa na nguvu sana basi Tu
 
Nilitaka sana niwe Mwinjilisti nikajikuta nasomea sheria shahada ya 2 nkasomea arts with ED na sasa n mhadhiri.... Kinachoniuma ni relation yangu na Mungu sio kiviiiile ka ilivyokuwa wakati ule nataka kuwa mwinjilisti yaani negative side imekuwa na nguvu sana basi Tu
Kama bado unataka kuwa mwinjilisti nadhani unaweza ,kwa mungu hakuna kuchelewa Pukudu please go for it ..
 
Last edited by a moderator:
Mie nilitaman sana kuwa dokta km baba yangu but baba akawa ananambia ni kazi ambayo iko complicated sana ila nikikua nitaangalia km bado nitakuwa naipenda au la,nilipofika form 4 tu nikabadili mawazo form 6 na chuo nikajikita kwenye uana habari zaidi.
 
nikiwaaa mdogo nilitaman sanaa kuwaaa tour guides wa porini,cse kulikuwaa na anko wangu ana mihelaa akijaa zile bwebwee pale na macruzaa,kulaa wazungu kinoma nomaaa,mijengo, ananipaa bata nikiwa mdogo na vijipesaa pesaa nilitamni sanaa,mungu mkubwa ndoto yangu ilitimiaa na imefikia japo na professinal nyingine kwa sasaa ila nipo secta ya utalii kwa sasaa[tours]....ila now ndoto yangu imeamaa natamani kuwaa more professional kama muvi director doh!!!
 
Nilitamani kuwa dokta kama baba bt nimeishia kuwa mfanya biashara. Ndoto ya kuwa tabibu ziliyeyuka kutokana na kuanza biashara nkiwa shule..
 
Nilitamani sana kuwa mjasiriamali. Lakini kibaya ni kwamba sikupata ujasiri wala sikuwa na mali, mali zote zimeliwa na mafisadi
 
Bujibuji kusema ukweli namshukuru Mungu kwani tangu kinda nilikuwa natamani sana kuwa Balozi wa Kiswahili ktk Shule za Msingi na Sekondari.
Nashukuru Mungu kazi niliyoiotea,imetimia.

Shukuru Mungu aisee,mi nimetamani sana nisomee fasihi ya kiswahili mpaka nifike nayo elimu ya juu,nilichopangiwa kusoma ikawa tofauti,yaani nasoma bila kufurahia
 
Last edited by a moderator:
Hakya nani mi nilitaka kua Mungu.
Yani ndio ilikua dream career yangu.
Later nikapunguza expectation kidogo
I just want to change the world now.
 
  • Age 2-5yrs i wnted 2 b a KING
  • age 5-10yrs i realised there z something even cooler than being a king,so i wanted 2 b a Pilot
  • age10-13yrs lyf became clear nd i wanted 2 become a Scientist
  • age 14-17yrs work seemed to much work so i wanted 2 b a star
  • age 18-20yrs ok now lyf became clearer(lyk HD clear) so i wanted 2 b a BOss in my own company
  • age 21yrs-now i want 2 bcome Lowasa
Good guy out
 
Mi nilitamani kuwa mpishi, nikajifunza kwa nguvu zangu zote, nikawa mpishi mzuri, ila sasa kupika ni bidhaa adimu kwangu ila ninapokuwa na muda sifanyi makosa
 
Back
Top Bottom