Je ulipokuwa mdogo ulitamani kufanya kazi gani ukubwani?

my dream job was a detective...bahati mbaya detective work doesnt really pay much bt i used to fancy such a job... i've got a much better job now but i wish i were a cop.....
 
nilitamani kuwa dakitari lakn nilipoteza matumaini f6 baada ya kudanganywa na washikaji na kukimbilia uhasibu! ningefanyaje maoparasheni hapo muhimbili!

Karibu sana, bado hujachelewa! Ila uwe umejiandaa kukesha theatre na 24hrs labour ward call na kulipwa 10,000Tsh. Usiogope wamesema ni wito
 
BT ! Mbona umenimaka, hadi nimekua mpole ?
Kioja ki-wapi ?
Nani asoyajua marinda hapa jamani ?
Kwani we wayajua marinda ya aina ngapi ?
Hadi uulize ni ya Sketi au ?
Hembu nitajie aina uzijuazo, then ndo namie nikujibu!

mi najua marinda ya nguo......
Sketi, na suruwali enzi zile zilikuwa na kijirinda kimoja cha kishkaji kila upande
 
huu ni ukweli kabisa nilichotamani ndivyo nilivyokuwa. Nilitamani sana kuwa mwalim wa masomo ya sayansi Mungu aliangalia haja ya moyo wangu sasa mimi mpaka leo ni mwalimu nafundisha chem A-level na cheo changu shulen ni mwalim wa darasa la vi pcm. raha zaid nafundisha wanafunzi wakaka tu.
 
mi najua marinda ya nguo......
Sketi, na suruwali enzi zile zilikuwa na kijirinda kimoja cha kishkaji kila upande

Si unaona sasa!
Bora kumbe umeniuliza, mie kimahesabu yangu nilikua nakuzungusha ili nijue mapana yako ya uelewa katika neno MARINDA!
Sasa BT udhati sikukusudia marinda ya nguo! Mtu wangu.
Yapo Marinda tofauti na hayo, nakuachia homework ufanye utafiti kuyajua sawasawa ?
 
Maskin dj b52 kwenye one n two watu oyoooooo hahaaaa wewe inategemea ulikua na umri gan wakat unawaza hilo jambo

beibe nasty unancheka....lol
napenda sana nataka niombe part time mahali niwe nawapa watu burudani
Wakati huo nilikuwa under 18
 
Last edited by a moderator:
mimi wakat nipo mdogo yan primary nilikua na ndoto yakusoma sekondari na kweli nilijitahid nilivokuwa sekondari nilivoanza form one kuna masomo ambayo naturally niliyapenda bookkeeping n commerce na nilikua sifany mzaha juu ya hayo masomo na yakanisaidia niende a level bt bahat mbaya mtihan wangu wa f6 nilifanya hospital n matokeo hayakuwa mazuri saana bt niliweza kwenda chuo na mpaka leo namalizia mwaka wangu wapil n natazamia kuingia watatu mambo ya uhasibu na business adminstration n nilijaribu kuchukia accounts bt at the end of the day najikuta nipo hukuhuku kwenye hiyo fani so mim nilitaman kuwa mtu wa mambo ya biashara n as days go on naona brighter future ahead of mee.
 
Mie nilichokitamani na leo ninachokifanya ni vitu viwili tofauti..
Ingawa bado natamani kile nilichokitamani mwanzo .
 
kwa kweli wakati niko primary nilitamani sana kuwa polisi au Mwalimu lakini baadae nilipopata akili nikagundua ningepotea
 
Back
Top Bottom