run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,829
- 3,138
mkuu una mawazo kama yangu! nashangaaga sana kuona wanao mwanamke wa kushinda ndani! haingizi hata Tsh100 ndani!Kaka yaani natamani sana kuoa mke wa pili au kuwa na mchepuko lakini nikikumbuka nilivyoanza na mke wangu uhusiano mpaka leo nakuwa mpole,ndio maana kigezo changu cha mke wa pili lazima awe na kazi,biashara na mwenye uwezo wa kujitegemea kwa asilimia 70 lakini sio eti yeye anifanye mimi kazi kwakutegemea papuchi yake tu.Mimi na mke wangu tuna miaka kumi ya uhusiano yaani sita ya uchumba na minne ya ndoa na katika miaka sita ya uchumba gharama yangu kubwa ilikuwa kununua vocha na kumpigia lakini zile story sijui simu yangu imeingia kwenye maji wala sikukutana nayo
mwanamke anatakiwa ajitengemea angalau 60%