Je, Ukosefu wa fedha ulishawahi kukudhalilisha? Share experience yako

Kaka yaani natamani sana kuoa mke wa pili au kuwa na mchepuko lakini nikikumbuka nilivyoanza na mke wangu uhusiano mpaka leo nakuwa mpole,ndio maana kigezo changu cha mke wa pili lazima awe na kazi,biashara na mwenye uwezo wa kujitegemea kwa asilimia 70 lakini sio eti yeye anifanye mimi kazi kwakutegemea papuchi yake tu.Mimi na mke wangu tuna miaka kumi ya uhusiano yaani sita ya uchumba na minne ya ndoa na katika miaka sita ya uchumba gharama yangu kubwa ilikuwa kununua vocha na kumpigia lakini zile story sijui simu yangu imeingia kwenye maji wala sikukutana nayo
mkuu una mawazo kama yangu! nashangaaga sana kuona wanao mwanamke wa kushinda ndani! haingizi hata Tsh100 ndani!
mwanamke anatakiwa ajitengemea angalau 60%
 
Ukitaka kujua kuwa pesa ina nguvu kuliko breakdown nenda hospital sijamaanisha huko kuna sehemu nyingine nyingi tu...!
 
Niliwahi muacha mtu sababu hakua na pesa ingawa alikua na mapenzi ya kweli..sitasahau nilivyomjibu ovyo pande za mwenge kwa wauza chips....alafu sikujali hata hadi rafiki zangu walijisikia vibaya...ulikua ujinga wa pesa
 
Mimi napitia hali hiyo mnayosimulia kwa sasa lakin ukiniona niko na furaha sana, majaribu nimeyachukulia positive. Mungu ananiandaa kwa ajil ya mambo makubwa....... Simu nikipiga hazipokelewi hata kwa ndugu wa karibu saa nyingine, wanahis nitakuwa naomba misaada tu
Pole sana Mkuu, nakuombea kwa mungu akupe uvumilivu, hope utapata mafanikio makubwa zaidi yao
 
Niliwahi muacha mtu sababu hakua na pesa ingawa alikua na mapenzi ya kweli..sitasahau nilivyomjibu ovyo pande za mwenge kwa wauza chips....alafu sikujali hata hadi rafiki zangu walijisikia vibaya...ulikua ujinga wa pesa
Inaonekana kwa kiasi gani unajutia kitu ulichofanya, Mungu akuongoze uwe na busara zaidi katika kufanya maamuzi yako.
 
Kaka yaani natamani sana kuoa mke wa pili au kuwa na mchepuko lakini nikikumbuka nilivyoanza na mke wangu uhusiano mpaka leo nakuwa mpole,ndio maana kigezo changu cha mke wa pili lazima awe na kazi,biashara na mwenye uwezo wa kujitegemea kwa asilimia 70 lakini sio eti yeye anifanye mimi kazi kwakutegemea papuchi yake tu.Mimi na mke wangu tuna miaka kumi ya uhusiano yaani sita ya uchumba na minne ya ndoa na katika miaka sita ya uchumba gharama yangu kubwa ilikuwa kununua vocha na kumpigia lakini zile story sijui simu yangu imeingia kwenye maji wala sikukutana nayo
Mimi Kuna mwanaume nimekaa nae kama wewe hivyo. Nimemvumilia sana zaidi ya miaka Saba. Nikawa namwomba basi nitambulishe Hata kwa kwa wazazi tu. Me ntaridhika.... Me nimekukubali Jinsi ulivyo japo Huna pesa...
Kila siku ananipiga chenga tu.

Nimeamua nijiongeze nimemwacha, sasa analalamika na kunipa laana juuuu. Sasa Nashindwa hata kumwelewa.
Kama mda kanipotezea sana. Sijui anataka nizeeke kwake aje aoe mke mwingine na mimi aniache...

Ila ipo siku atanikumbuka tu.
Sio kwa kumlamba miguu vile japo hata utambulisho wa uongooo tu alishindwaaaa...
Wanaume nyinyi hapana asee.
Ila kwa moyo safi nimemsamehe bureee, Ili baraka zangu zifunguliwe...

Nilimwambia neno moja tu. IPO SIKU NAMI NTAJESHIMIKA,ila sijui ni lini..
 
Unasungumusia ile iitwayo sabuniii ya roho......Hii iko hatariii said ya dhumu
 
Yani pesa sijapata bado hadi nimekuwa domo zege....utamtongoza nani na pesa ndo sabuni ukimuomba namba baadae anakuambia anaomba hela ya birthday baadae kidogo simu imemuharibika...doh...!!wanawake muwe na huruma....!
Jibu fupi tu unamwambia mm CIO fundi simu
 
Mimi Kuna mwanaume nimekaa nae kama wewe hivyo. Nimemvumilia sana zaidi ya miaka Saba. Nikawa namwomba basi nitambulishe Hata kwa kwa wazazi tu. Me ntaridhika.... Me nimekukubali Jinsi ulivyo japo Huna pesa...
Kila siku ananipiga chenga tu.

Nimeamua nijiongeze nimemwacha, sasa analalamika na kunipa laana juuuu. Sasa Nashindwa hata kumwelewa.
Kama mda kanipotezea sana. Sijui anataka nizeeke kwake aje aoe mke mwingine na mimi aniache...

Ila ipo siku atanikumbuka tu.
Sio kwa kumlamba miguu vile japo hata utambulisho wa uongooo tu alishindwaaaa...
Wanaume nyinyi hapana asee.
Ila kwa moyo safi nimemsamehe bureee, Ili baraka zangu zifunguliwe...

Nilimwambia neno moja tu. IPO SIKU NAMI NTAJESHIMIKA,ila sijui ni lini..
inaumiza
 
kumbe Nyie mnazungumzia historia? hapa nimetoka kukopa unga wa uji jamaa gengen akawa ananizuga zuga ila kila akiona wateja anauliza "ULIKUA UNAKOPA NINI VILEEE....?", hapo sijazungumzia konda wa asubuh aliekua anasubr kila abiria wapya wakipanda anauliza "KAKA HAPO...... HIO SH HAMSIN BADO HUJAIONA" pemben kuna dada ukishuka bila hata kumuomb namb n dhambi, simu yenyewe ukimpa aandk namba inabd umpe na msumali wa kubonyezea batan, Inabd ujivishe u scofield umwambie taja tu nitahfadh kwenye ubongo
 
Halafu mbaya zaidi kwa vile wanafunzi wengi hawakuwa na pesa ya kiingilio na ni wachache sana waliweza kulipa ikamlazimu profesa wa mazingaombwe ahairishe onyesho lake kwa kudai kwamba haitamlipa. Yaani hiyo ndiyo iliyoniumiza zaidi kuona kwamba "aliyefaidi" mazingaombwe ya siku hiyo ni mimi pekee yangu kwa kuzabwa lile kofi adimu.
hahahaa ".... spare my ribs please "..
 
Kaka yaani natamani sana kuoa mke wa pili au kuwa na mchepuko lakini nikikumbuka nilivyoanza na mke wangu uhusiano mpaka leo nakuwa mpole,ndio maana kigezo changu cha mke wa pili lazima awe na kazi,biashara na mwenye uwezo wa kujitegemea kwa asilimia 70 lakini sio eti yeye anifanye mimi kazi kwakutegemea papuchi yake tu.Mimi na mke wangu tuna miaka kumi ya uhusiano yaani sita ya uchumba na minne ya ndoa na katika miaka sita ya uchumba gharama yangu kubwa ilikuwa kununua vocha na kumpigia lakini zile story sijui simu yangu imeingia kwenye maji wala sikukutana nayo
safi ".... but trust me " ukija kuoa huyo mke wa pili " ndio utakuja kuwa mwanzo wako wakuyumba kimaisha " iwe kiuchumi " au kimahusiano " ya kijamii na ki-familiar "... sikutishi " but utakuja kukumbuka haya maneno Yangu ... mkeo anatokea mkoa gani Aisee namimi unitafutie Mke huko...??
 
Kaka yaani natamani sana kuoa mke wa pili au kuwa na mchepuko lakini nikikumbuka nilivyoanza na mke wangu uhusiano mpaka leo nakuwa mpole,ndio maana kigezo changu cha mke wa pili lazima awe na kazi,biashara na mwenye uwezo wa kujitegemea kwa asilimia 70 lakini sio eti yeye anifanye mimi kazi kwakutegemea papuchi yake tu.Mimi na mke wangu tuna miaka kumi ya uhusiano yaani sita ya uchumba na minne ya ndoa na katika miaka sita ya uchumba gharama yangu kubwa ilikuwa kununua vocha na kumpigia lakini zile story sijui simu yangu imeingia kwenye maji wala sikukutana nayo
safi ".... but trust me " ukija kuoa huyo mke wa pili " ndio utakuja kuwa mwanzo wako wakuyumba kimaisha " iwe kiuchumi " au kimahusiano " ya kijamii na ki-familiar "... sikutishi " but utakuja kukumbuka haya maneno Yangu ... mkeo anatokea mkoa gani Aisee namimi unitafutie Mke huko...??
 
Mimi Kuna mwanaume nimekaa nae kama wewe hivyo. Nimemvumilia sana zaidi ya miaka Saba. Nikawa namwomba basi nitambulishe Hata kwa kwa wazazi tu. Me ntaridhika.... Me nimekukubali Jinsi ulivyo japo Huna pesa...
Kila siku ananipiga chenga tu.

Nimeamua nijiongeze nimemwacha, sasa analalamika na kunipa laana juuuu. Sasa Nashindwa hata kumwelewa.
Kama mda kanipotezea sana. Sijui anataka nizeeke kwake aje aoe mke mwingine na mimi aniache...

Ila ipo siku atanikumbuka tu.
Sio kwa kumlamba miguu vile japo hata utambulisho wa uongooo tu alishindwaaaa...
Wanaume nyinyi hapana asee.
Ila kwa moyo safi nimemsamehe bureee, Ili baraka zangu zifunguliwe...

Nilimwambia neno moja tu. IPO SIKU NAMI NTAJESHIMIKA,ila sijui ni lini..
Wow! Fursa hii,ngoja niiwahi
 
Hili tukio ni la juzi kati tu (mpaka sasa sina hela).
Ninataka kuingia na na dem gest mfukoni nina elf 15 tu picha linaanza dem anataka kula nikimuuliza anataka nini akasema chips yai..

Basi hapo hapo guest kuna kisehemu wanauza chips tukaenda kupata chips..
Akaagiza chips na soda na mimi nikaagiza hivyo hivyo.

Baada ya kula nikatoa elf 10 nikarudishiwa elf 4...ikabidi nimuulize jamaa imekuwaje wananipa buku 4 badala ya buku 5... akasema soda ni buku 1...

Hapo mnyawezi plani zangu zikawa zimeyumba maana mfukoni nikabaki na elf 9 wakati kiingilio cha guest ni elf 10..

Ikabidi niingie hivyo hivyo tu lakini akilini niko napanga mbinu zangu za kivita za kuingia gest kwa elf 9..

pale kaunta nikawaambia wanionyeshe chumba kwanza ndio nilipe waliponinyesha chumba nikamwambia yule dem aingie kwanza room mimi nikamalizie malipo counter fastaa. Dem kaingia chumbani mimi na muhudumu tukarudi kaunta kumaliza malipo tulipofika nikatoa buku 9 niliyokuwa nayo ...muhudumu akagoma..nimembembeleza hadi kidogo nipige magoti hadi akakubali..

Nikarudi room nikamkuta yule dem yupo katulia tu ile nataka kuanza mambo yangu ya kuvunja ile amri pendwa no 6. Manzi anaanza kugoma goma..nikajua hii ni danganya toto tu ...
Lakini huwezi amini hadi naondoka mule mzigo SIKUPATA anasema alikua yuko MP...

Mfukoni nilikua sina hata 100 ya nauli na hapo yule dem ananiomba nauli..

Nilimchenjia fastaa nikamwambia kama vipi tuachane tu (hapo ilikua ni defence mechanism maana sina hela ya nauli aliyoniomba) nikaondoka kwa hasira.

Balaa likaanza la kurudi gheto kwa miguu nimetembea kuanzia saa 11 jioni hadi saa 3 usiku ndo nafika home nimechoka nakuta home maji hakuna nikalala njaa (nilishindia chips ile niliokula mchana)

MJINI USIOMBE UKAWA HUNA PESA UTAPATA TABU
hahahaa " huu uzi bwana
 
Back
Top Bottom