Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

Je, uchawi upo au ni uzushi tu?

Sasa hivi kidau kimepanda mara 10 kutoka dola za Kimarekani milioni 5 mpaka milioni 50 kumkamata rais wa Venezuela Nicolas Maduro.

Yani wachawi kama wapo kweli wanashindwaje kuchukua hizo dola milioni 50 za Kinarekani?

Dola milioni 50 si pesa ndogo ujue mkuu?
Hamna kitu wengi ni wapiga debe tu kaka kina comrade_kipepe Immortal Techniques na wenzake hamna kitu.


Uchawi haupo, mazingaobwe yapo, watu wanaojiita wachawi, waganga wanaofanya ujinga flani wapo. Uchawi ni propaganda za kwenye Jamii.
 
Back
Top Bottom